UNYAKUO NA MAANDALIZI YA SIKU ZA MWISHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • #Mezayabusara #Shalomtvonline
    Ungana na Bishop Gamanywa kupitia / bishopsylves. . Yesu ni zaidi ya maji,mafuta,vitambaa na vitu vyote! ndio maana tunatangaza bali sisi tunamhubiri KRISTO. JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO HILI HAPA...www.youtube.co....
    KUUNGANA NA JUKWAA HILI TEMBELEA SHALOM TV ONLINE KISHA Subscribe.. / shalomtvonline

КОМЕНТАРІ • 17

  • @dinairenge
    @dinairenge Рік тому

    Amen napokea

  • @barakasylvester83
    @barakasylvester83 5 років тому +2

    Mbarikiwe sana kwa tafasili nzuri ya neno la Mungu.

  • @dejosh100
    @dejosh100 4 роки тому +2

    Amen, Mungu awabariki sana .

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 Рік тому

    Dini, imekuwa usengenyaji na utapeli. Roho wa mungu sio mahoka(kunena lugha zisizojulikana, miujiza feki, kusali kwa sauti kubwa(ufarisayo)), hata zumaridi wa Mwanza anafanya hayo. Matapeli wa injili wanatumia matukio yanayotendeka ulimwenguni sasa, ili kujineemesha(Yuda Eskarioti). Wamembinafsisha Mungu imekuwa ni mali yao, wanahila, wanahadaa za wazi wazi , na waongo kupindukia. Kuingia mbinguni ni wale waliomuishi kristo(kutenda yaliyo ya krsto kwa wengine, na kumpa mungu utukufu wake. Haya ndio tulioambiwa na Yesu kristo,utawapima kwa matendo yao(lakini matapeli wanasema,ukimkiri Yesu utaiona mbingu, hata shetani anamkiri na ananena kwa lugha). Matapeli hawa dhambi yao kuu ni pombe(kiini macho), kuongea kimahoka ndio kujazwa roho mtakatifu. Acheni vitisho vilivyojaa hadaa na ghiliba na kujipa mamlaka msiyokuwa nayo ili kuwadangaya wasio na uelewa. Mafarisayo walikemewa kwa vitendo vyao vya kumbinafsisha Mungu, ili wao ndo waonwe watakatifu katika jamii walimo ishi.

  • @safaribicocero4916
    @safaribicocero4916 3 роки тому

    Muchungaji asantisana hiini kweli

  • @abamwesigaufunuo
    @abamwesigaufunuo 4 роки тому

    Nabarikiwa

  • @rithersospeterkati2303
    @rithersospeterkati2303 3 роки тому

    Amen amen.

  • @deusbngika2105
    @deusbngika2105 4 роки тому +2

    Muda ni sasa

  • @safaribicocero4916
    @safaribicocero4916 3 роки тому

    Kanisa Ina nyakuliwa tube makini

  • @mbithejustus246
    @mbithejustus246 3 роки тому

    Kitabu cha ufufuo Ina baraka kukisoma kuna baraka kukisikia kitabu cha ufufuo kinafundishika kabisa

  • @mwitaadam8040
    @mwitaadam8040 4 роки тому

    Huyu mchungaji aliandaa mkutano wa injili pale ukumbi maonyesho ya sabasaba juu ya uzinduzi wa kitabu chake cha unyakuo nikafuatilia kule mkwepu street maana alisema kitabu kitapatikana hapo lkn nikafuatilia bila mafanikio wauzaji pale dukani wakisema bado bado mpk nikaacha

  • @rithersospeterkati2303
    @rithersospeterkati2303 3 роки тому

    Je kama watoto na mme hawajaokoka tujitenge nao ? Ukweli wansturusha nyuma.

  • @thomasmwakatobe8207
    @thomasmwakatobe8207 5 років тому +1

    Naomba kuuliza ....usipo batizwa na maji mengi huendi mbinguni?

  • @johnsonkayanda9989
    @johnsonkayanda9989 4 роки тому

    kuongea bila maandiko hatuezi kuamini.Toa maandiko mchungaji.

    • @sangalothmusicking4292
      @sangalothmusicking4292 4 роки тому

      ni heri kuamini bila kuona .....ukikutana na Tomaso muulize kilichomtokea maana alikua na tabia kama hiyo ya kwako

    • @sangalothmusicking4292
      @sangalothmusicking4292 4 роки тому

      Neno la Mungu na likae kwa wingi ndani yenu