ILE SIRI YA KUASI HIVI SASA INATENDA KAZI
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- #Mezayabusara #Shalomtvonline
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia / bishopsylves. . Yesu ni zaidi ya maji,mafuta,vitambaa na vitu vyote! ndio maana tunatangaza bali sisi tunamhubiri KRISTO. JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO HILI HAPA...www.youtube.co....
KUUNGANA NA JUKWAA HILI TEMBELEA SHALOM TV ONLINE KISHA Subscribe.. / shalomtvonline
Shukrani
Baraka tele
Neema
Reema
Nautawala wa roho takatifu ilisikuyakunyakuliwa tunyakuliwe pamoja kumlaki bwana
Hawa Ndio Watumishi Wa MUNGU Wanaohubiri Juu Ya TOBA Na ONDOLEO LA DHAMBI,, MUNGU Awabariki sana
Dadi sana Mchungaji Omarii song a mbele kuitangaza Kristo
Mungu akubariki bishop
Mungu akubariki askf kwa mafundisho haya
Heri nimesikiliza haya👂🤝👏
Sauti ya mtumishi huwa ya chini sijui kwa nn hata akiwa ibadani jaribuni kuongeza sauti.
Uzao wa ibrahim sio kindowa nikiroho yani kufata Mungu umoja wewewewe soneni fateni maandiko sahihi
🙏
Apo European Union Kuna kiti 666 hakina mtu kinamsubiri mwenyewe
Kugeuza jina imeanzia kwa Nabi Ibrahim rafiki kipenzi wa Allah na nivizuri mutu akawa namajina mazuri kama anavyosema askof iyo nikweli ila yangine mambo mengi hayajuwi cimbuko lake ebu someniiii
Na ndo mana watu lazima wabatizwe kubali na jina LA kale kujipya kama alivokuwa lbrhimu
Askofu we una uwongo mwingi tumiya quor an ico kitabo nicakusingiziyana tu Adam Allah memusamehe alimuomba palepale musamaha akashushwa ashapewa musamaha ila shetani hakuomba musamah We Adam ata yeye nicaguo ila ndiye mwanzo wazambi kuanza kuandikwa mpaka wanawe sasa wewe ukirukiya kwa ibrahim bila kuonesha wenewamepewa ufunuwo mbele ya ibrahim we unaendaje unarukaruka nenda kwamusitari kama haujuwi zungumuza unayoyajuwa
Hahaha eti Adam na hawa hawakuza wewe ukweli na uongo unacanga wameza mwaeleza vibaya ameza watoto tena mapaca habil na kabil nyinyi mwazungumuza zungumuza tu hamujuwi munalolizungumuza watoto wa Adam na hawa quor an ishamaliza kilakitu wanawe ni Abel na kabil
Hawa Ndio Watumishi Wa MUNGU Wanaohubiri Juu Ya TOBA Na ONDOLEO LA DHAMBI,, MUNGU Awabariki sana