Nyumba ya Shilole imeguswa na bomoabomoa Dar?
Вставка
- Опубліковано 22 лис 2015
- Weekend ya November 22 2015 stori zilianza kwamba nyumba ya mwimbaji wa bongofleva Shilole imeguswa na bomoabomoa inayoendelea kwenye jiji la Dar es salaam, ukweli anao mwenyewe kwenye hii video.
- Розваги
nice interview, God bless you shilole together with Millard Ayo
I adore you Shishi i love your self confidence.Hard working Lady,biG UP
Wow shishi baby love u so much asnt Millard ayo mungu akuogoze kwa kaz yko
Millard ayoo anajua sana this guy is so talented, unaona kabisa interview zake zinavyopangiliwa sio MTU wa kubabaisha big up to u mamen
Shi, mdogo wangu....yan BIG UP sana. utafika!
Msema kweli uyu napenda sana interview zake, love you Shishi.
Jamani shilole unakuwa mkweli sana kila ninapo angalia interview zako najifunza mengi sana kutoka kwako kusema kweli nakupenda saaaaaaana tu
She is very smart
nachokupendea shishi msema kweli sana wala huna makuu,ubarikiwe sana na ufike mbali zaidi
shishi baby nakupenda sana yani daa unajiamini keep up
wallahi mimi nampenda shishi kweli kweli
Hongera shishi baby yaani Wewe ni msanii unayejitambua ni msanii unayejiweka huru
Kazi nzuri Millard.
Shilole mimi nakupenda sana mdogo wangu kwa jinsi unavyojiamini na unavyojua kujitafutia pesa.
hahaaa,shilole good love you unajieshimu binti tats Gud of u.
yani hutakagi kuji pyroud ss mtoto wa kishua inahusu wasanini wakike mwigeni shishi baby kueni wa kweli haya ni maisha hakuna alozaliwa na manot sote tumetafuta kwa bidii hongera sana dada shilole
Nice love you shishi wangu
Safi,,nimekukubali. Sio wale wa million 30, utasikia,,,oooh, million 300. Kwa kuongeza sifuri mbele
tHIS LADY IS SO FUNNY..i JUST LIKE IT. wewe ni hatare
kujiamini.ndio mambo yenyewe hayo shishole.yani nakupenda kwakuwa muazi dada.big up millardayo
mariam mahaba yani hadi raha
hahahahaaa hapo pa mwalim pameniumiza mbavu 😂😂😂...i luv u shishi
hahahaaaa shilole u made my day
nakupendea kitu kimoja tu,kujiamini na wala hujionei aibu,huko ndio kujua mpz,usijal utafanikiwa
tunapenda interview zake
Aha Brondy mawaiza
dah noma sana hz lugha mh
Hongera xana xhixhi
Hongera shish baby we noma
ilov this lady
Km kuna mtu anayemchukia huyu dada bac atakuwa na matatizo binafsi, hana maringo yaani anaelezea yale maisha yake halisi kabisa penda sana wewe shishi beby
This lady is a comedian aki ..waaah!..Hahaha.....keep on trying utakuja kukijua kizungu tu!
Nakupenda Sana ww nimkel
love u shishi msema kweli wengine hapo wangesema katumia milion hamsini na kuendelea lakini wewe ni mtu wakujiamini
nakukubali Dada shishibye
Nakutambua Mrembo kujiamini i like that shishi bby
hongera dada kwayote .
pretty mamy
😍😍😍😍😍😍😍
Jamani Shishi Nakupenda wallahi.
Hapa kazi tu
Big up Shishi Magu
Nakupenda sana shishi hadi naumwa
Asha Said na wapi?
penda sana dada shishii baby unajiamini hadi raha halafu nakupenda sana kwasababu ya ukweli wako
nakupenda sana mamii.
hongera shishi nyumba muhimu
kazi nzuri he Z Anti alienda wapi
Uko sawa wakulugo wanyamwez lazima tujiamin bwanaa
mungu anaangalia haja ya moyo wako dear
gud shishi umekuwa muwazi sanaaaa
Dada upo vizur
Nakupenda sana shishi
love you shishi una msimamo
millad uje umhoji wema tuone majivuno yake
mawaziri kuapishwa
Dar es salaam
+Furaha Chuma ndio ule ni hakiri dongo sana
safi sn
love u shishi
Good
Shilole bhana hahhaha Shukran millard
Ni mkweli sana huyu Binti mashaallah nice one
hongera shishi
saf sana Shilole
Kwa interview hiyo shishi nimemkubali....Nimejifuza kuwa na KUJIAMINI.........
Mimi namku bali shishi baby nidada mzuritu anajitu na mKU bali sana
yupo vzuri
beautiful but illitrate all in all its life
upo kama Mimi unapenda kujitegemea
nampenda sana shishi ni mkweli
Vizuri dada karibu majowe namimi nipo majowe karibu majowe
daaah!!!! shishi anapenda Serengeti boyz huyu mpaka cyo vizuri!!!!
V
hongera,ukweli wako unakuweka huru,endelea kujaribu
Super woman
Du mdada unakili sana
Penda xan shishi wew uko poa
Hili mimi naliita bonge la mahojiano! nimegundua ktk mastaa wa Kibongo huyu dada anafaa kuigwa na wanaojifanya. Ni mkweli na yupo kiyeye zaidi. Kuongea ki-England sio dili, wazungu kibao hawajui na wala hawana habari! Sapa Tapa
Huyu mdada yupo muwazi sana inamsaidia .kuliko wale waa dada wanao ficha kila kitu chao..kua wazi usaidiwe .( mficha maumbile yake hapati mwana.)
shkran ayo, shilole hahaahahahaa
Hapo ndio nampendea Shilole ni kusema ukweli hayupo kama wasanii wengine
Hapa dada shilole alikuwa mwili mdogo
Shishiiiiiiiiii
ok
Hahahahahahaha kumbe uyu mwehu kweli daa msalmie mwalimu
Haaaahaa
shilole bhana😂😂😂😂😂
Afripads n ped za vitambaa unatumia ndani ya mwaka
Hi shishi baby just has u say I say ur name lv u shishi much lv dear nice job hv nice day too!!
Shilole msanii wa kusema ukweli msanii mwingine angesema milioni mia au miambili
good but usijifanye
Shishi nimsanii unaemsikiliza bila Mashaka naauna wasiwasi waanacho kiongea.
umetsh dad shish
kwa uso wake tu iyo nibomoabomoa mana ata akuangalii usoni
good interview but does it means this artist never went to school? very sad, education is the key. Now she went USA as international show but she doesn't have the key of life,which is EDUCATION.
kaka ww aliye kuambia kingereza ni elimu nani lugha ya watu iyo.
+Happygod Mmary Uliza John pombe magufuli kiangereza kama sio kwenda shule,asingetaka watu wenye madegree kama WafanYa kazi wa umma
walai enter view y shilole inafaa kua ya masaa matatu anachekesha
mawaziri waaopishwaa
wewe uko poa sana
penda sn shishi bby
lugha .......kkkkkkk
Ebana shi shi kumbuka ulipotoka dada kaza xn dad
duuu
yan uyu dd nampendea mkweli xn tena anajiamin kupita maeleze piga kz dd iko kizungu kitakuja chenye taratib
shukrani. Millard Ayo.from London
Bro ayo maswali umeandika au? maana duuuuuuuu nishiiiiiiiiiidaaaaa
Whats her instagram? She's very open its adorable I hope it doesn't come back and bite her
Nancy Kamuzora
aisee nimeipenda hii interview maana huyu mdada anaongea ukweli wake
Furaha Chuma
Agreed, I feel the same way too
Thanks@Nancy Kamuzora
anayemhoji huyu dada naona akiwa mdaku sana. Maswali mengi hapa ni ya kidaku kabisa, beautiful sister though!
Silvia Tegeja v
Confidence ndo kila kitu ktk mafanikio
Hapa maana yake ndio hiyo udaku.
shishi Trump
bhoke magaso
nakupenda sana shishi
betha Magesa
Zabron
Safi,,nimekukubali. Sio wale wa million 30, utasikia,,,oooh, million 300. Kwa kuongeza sifuri mbele
hamisi dogo 😂😂🤣🤣
big up dada nakukubali kinoma
hongera shishi