Lesson 23 : VISHAZI
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Kipindi hiki kimefafanua kwa ubatini maana ya kishazi, aina za Vishazi na sifa zao. Mwanafunzi atafaidika pakubwa kwa kuelewa tofauti baina ya kishazi, kirai na sentensi. Isitoshe kipindi hiki kimeeleza majukumu mbalimbali ya kishazi katika sentensi. Tamatini kipindi kimeshughulikia maswali mbalimbali yaliyotahiniwa na yanayotabiriwa kutahiniwa katika mtihani wa kitaifa ya KCSE.