Lesson 25: UAINISHAJI WA VISHAZI VITEGEMEZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • Kipindi hiki kitakuza uelewa wa mwanafunzi kwa kuainisha vishazi vitegemezi kwa kutegemea majukumu yao katika sentensi. Kimefafanua kwa ubatini majukumu ya vishazi vitegemezi ikiwemo; masharti,urejeshi,njeo,nia/sababu, kuonyesha kinyume n.k. Majukumu haya yameambatanishwa na mifano maridhawa kwa kusudi la kurahisisha uelewa wa mwanafunzi. Mwishoni mwa kipindi kuna maswali ya kupigiwa mifano yanayonoa na kung'oa bongo kwa kulenga ukuzaji wa kumbukumbu na ubunifu.

КОМЕНТАРІ • 3