MZEE YUSUPH AMKATAA MTOTO WAKE.....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • #Kweli chops Imefanya Maojiano na Mtoto Wa MZEE YUSUPH.
    GUSA LINK KUTAZAMA FULL VIDEO
    #Subscrib #Comment #Share #Like
    ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU.....

КОМЕНТАРІ • 100

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 3 роки тому +5

    Pole sana mtoto pole sana wasikuchonganishe na baba yako bureeee

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 роки тому +2

    Mtangazaji kanjanja. Kasome tena kazi yako. Hujui kazi yako.Mpaka unafukuzwa bado ipo tu. Wewe ukweli darasa la 7.Kwendraaaa

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому +1

    Maashallah wanafanana

  • @hijahsaidy1562
    @hijahsaidy1562 2 роки тому

    Kumbe ana wana tele

  • @user-ud3ws3lz8i
    @user-ud3ws3lz8i 3 місяці тому

    Nyinyi waandishi acheni kuchunguza mambo ya watu

  • @mbuyancholla2852
    @mbuyancholla2852 3 роки тому +3

    Mzee Yusufu Ukuje haraka huku Kunajambo 👈

  • @lulually5209
    @lulually5209 Рік тому

    Hizi midea za michongo mama Samia zifungie ni za kishenzi tu hizi

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +4

    Jamani, Sasa Kakueleza Ni Babake, Sasa wewe Walazimisha Nini,Binadamu Jamani.

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 3 роки тому

    Sawa sawa bro hawo waandishi ni washezi kwa sababu ya pesa ndio zinawasumbua

  • @zainabamran6716
    @zainabamran6716 3 роки тому +1

    Jamani

  • @mwanarusimusa3620
    @mwanarusimusa3620 Рік тому

    Hiyo ni kawaida ya wanamme wote kukataa watoto wao hilo tushazoea.

  • @daniel-kh5nt
    @daniel-kh5nt 3 роки тому +2

    mpige makofi shida zao kutafuta kk tu kwenye mitandao

  • @kathyamaka6212
    @kathyamaka6212 2 роки тому +1

    Huyu mwana habari haelewi kazi yake

  • @ignalsleonard7687
    @ignalsleonard7687 3 роки тому +1

    Pole

    • @daniel-kh5nt
      @daniel-kh5nt 3 роки тому

      siyo kichaa, wewe ndiyo kichaa, mtoto wa Yusuf anajitambua kabisa

  • @rahmadizer1744
    @rahmadizer1744 3 роки тому

    Ahaahaaha mtangazaji umekutana leooo

  • @africaneyetv3589
    @africaneyetv3589 3 роки тому +1

    Nilichokipata hapo bila mtu yoyote kujua ni hivi huyu kaka ni mtoto wa mzee inawezekana walielewana na baba yake asijue mtu yeyote kama anamtoto sasa wambea wanataka kuharibu makubaliano ya watu ndio mkome umbea

  • @FFf-wq5fr
    @FFf-wq5fr 2 роки тому

    😀😀😀😀😀

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 роки тому +1

    Mna Kazi watangazaji anamtunza kwa sir🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aliaden5512
    @aliaden5512 3 роки тому +1

    Wamefanana sura but tabia hapana huyu mjeuri

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Рік тому

    Huyu nimwenqine tena

  • @davallamchambe5275
    @davallamchambe5275 3 роки тому

    😂😂😂😂😂 Master du acha vituko bhana

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 3 роки тому +3

    Nyoo umeinqiya chakike Leo mtakoma

  • @khasimgange4213
    @khasimgange4213 3 роки тому +4

    Why shout kama ni baba yako ni babako mbona unakasirika ukihojiwa, sasa ukipiga kelele hivi watu watakuelewa vipi jibu swali au kaa kimya style up boy

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 3 роки тому +1

    Huyu dogo kiboko ya waandishi wa habari aaaaa

  • @KhadijaKhadija-uc2uw
    @KhadijaKhadija-uc2uw 3 роки тому +1

    Kwan mzee mwenyewe anasemaje maana toto anamvi mzee hana

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      kuwa na mvi sio uzee kuna watoto wadogo lakin wana mvi na sasa hivi wazee huwa wanaweka dawa ili ziwe nyeusi

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      mm nina mtoto wa dadaangu anazaliwa anakua namuona ana mvi mm sina

  • @khasimgange4213
    @khasimgange4213 3 роки тому +2

    Tayari mambo

  • @mmn7480
    @mmn7480 3 роки тому +1

    kiki😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😀😀😀😀😀😀😀😁😁🤣

  • @caslidajosephat8912
    @caslidajosephat8912 3 роки тому +1

    Huyu jamaa amesoma NIT chuo Cha usafirishaji hii ni kiki.

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 роки тому

    Okky

  • @lulually5209
    @lulually5209 Рік тому

    Acha uongo wee pimbi wewe mwenyewe umri unafanana na mzee yusuph au pengine umemzidi umri shubaamiti wewe

  • @halimahamis3907
    @halimahamis3907 3 роки тому +4

    Wanafanana

  • @captendunga1392
    @captendunga1392 3 роки тому +2

    Mbona kama ye ndo mkubwa kwa mzee yusufu?? Kwani ye mzee yusufu anasemaje?

  • @Hellennafula48
    @Hellennafula48 3 роки тому +3

    Mtangazaji huyo mtoto wa Yusuf anafanana babake

    • @rayaali7551
      @rayaali7551 2 роки тому +1

      Huyu anae jiita mtoto ni njaa tuu kwani ukifanana na mtu ndio babayakoo au mamayakoo auu kaka au dada yakoo wangapi wamefanana na wako nchi na mataifa mbali mbali huyuu kapata watuu wamemshauwaa kumwambia kafanana na mzee yusouff sasa ka akaona ulaji wa kiki ndio huu hivyo jitu zimaaa ukajitangazie mitandaoni ati fulani babayangu ilaa kanikataa huoni aibu wa la haya kwa kujizalilishaa? Na anajijuwa haswaa ndio maana kujitia ukali na kujirusha rusha pumbaaaavu jijana dume zimaa usotafuta kazi ukafanya ukajiendeshea maisha yakoo unatafuta miteremko kwa mijanadume mwenzako hahahahaaa kwani ukisikia mfalme mzee yuspuff unadhani mfalme wa matajirii? Hahahahaaa ni mfalme wa maasi ya nguvu za sheytaan pumbaaaavu mkubwa weeeee

    • @Hellennafula48
      @Hellennafula48 2 роки тому

      @@rayaali7551 kwani c mwanae au pia wewe Kuna wivu ndani aaah I don't understand your point also I don't know where your jealous coming from awe wake asikue wake inakuuzu nn fakin

  • @endlesscute2282
    @endlesscute2282 2 роки тому

    Huyo dogo pepe wanatafuta kiki

  • @teamiq4464
    @teamiq4464 3 роки тому

    Mtangazaji ulikuwa unataka nini😀😀😀😀😀😀😀Kaka ungempa hata kichwa avimbe pua

  • @ashwramashallah7242
    @ashwramashallah7242 3 роки тому +3

    Wapuuzi nyie izo mvi kichwani vipi sasa

    • @nassirsalim6679
      @nassirsalim6679 3 роки тому

      Kua na mvi sio lzm uwe mzee bana weee vipi

  • @mbuyancholla2852
    @mbuyancholla2852 3 роки тому +1

    Unawachelewesha Minawazingua Mana hawaelewii wazingue🙄

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 3 роки тому +1

    Sio kiki hii jamani

  • @soudabdulrahman9359
    @soudabdulrahman9359 2 роки тому +1

    Acheni shobo hovyo!!

  • @hijahsaidy1562
    @hijahsaidy1562 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣mbona ana mvi babake hana

  • @ashwramashallah7242
    @ashwramashallah7242 3 роки тому +1

    Munatutafutia kiki za nini sasa wataka kupigana nini

  • @kondinhotv7091
    @kondinhotv7091 3 роки тому +2

    Sasa inaonekana mtoto ndio mkubwa kuliko baba n mvi juu

  • @monicaagapitybruno3863
    @monicaagapitybruno3863 2 роки тому

    Mbona amebadilika sana mwanzo ata kuongea alikua ajui 😂🤣🤣au ndo ameshakua maana nafatilia hii story sielewi alisema baba ake kamkataa au co uyu 😔

  • @preciousjohn9405
    @preciousjohn9405 3 роки тому +1

    Huyu mtt nae mpuz anapiga kelele za nn haaaa Sasa mbona hapigan anajirusha rusha tu kiki hiz mjin du chezea kutafuta ugali we mwisho mnajiabisha jizee hivyo anapiga kelele kukataliwa hata ingekuwa kwel

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 3 роки тому

    Hi fani ya uhandishi wa Habari na Online TV inabidi iangaliwe upya watu hawana Maadili ya kutangaza” hii habari hata haikufaa urushwe* Mwandishi Hana Professionalism ya kuhoji hata kidogo” Angevunjiwa kamera yake Sidhani kama angeipost hii habari” TCRA embu mulikeni hawa vishoka katika fani ya utangazaji” Siyo kila anayejua kuongea ni Mtangazaji” Wengine wanafaa kuwa Wapiga Debe

  • @rukiakipande186
    @rukiakipande186 3 роки тому +3

    Kwanini mnaenda kuhoji vichaa huyo nishenzi anamasifa huyo kichaa

  • @annamwangaza605
    @annamwangaza605 3 роки тому

    Huyu ni mtoto wa Mzee Yusufu na kwa anavyojibu huyu mtoto inaonyesha ni kweli Mzee Yusufu kamkataa na maneno nimengi mtaani yanamuumiza sana. Sasa huyu mzee Yusuph atamkwepaje huyu mtoto mbona wanafanana sana.

  • @allyngogomi2989
    @allyngogomi2989 3 роки тому

    Ila sanyingine mnastahili kupigwa

  • @hadijalukas5959
    @hadijalukas5959 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wallah nimecheka kitarabu ya mzee yusufu du 🤔🤔🤔🤔 hii international kiki

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 3 роки тому

    Uyo mtangazaji kinganganizi ulitakiwa uzabwe kibao uondoke

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 3 роки тому +1

    Anavuta bangi huyu kengenge

  • @abdulkareemseif1892
    @abdulkareemseif1892 3 роки тому +1

    Kama jamaa anajiekti ivi

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 роки тому

    mtangazaji analaximisha kukataliwa kuwa na akili ww mtangazaji unataka nn

  • @khadijauvuruge9700
    @khadijauvuruge9700 3 роки тому

    Uyu si dogo pepe yule mchekeshaji

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 3 роки тому

    Uyu ni dogo pepe uyu komedian

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 3 роки тому

    Polesan kakayang😔

  • @halimafazeli52
    @halimafazeli52 3 роки тому

    🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄Itakuwa unakicha wekaka Sasa unampanikia nani

  • @mghazamghaza3361
    @mghazamghaza3361 3 роки тому

    Duhduh

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 3 роки тому

    Wanatafuta kiki tu

  • @hidayahassan8014
    @hidayahassan8014 3 роки тому

    Staili yako yakufike mtangazaji mwenyewe kashakuhakikishia kuwa mzee Ni baba yake nayeye ndio mwenye kauli ya mwisho Sasa umeng'ang'ana watu wako wa karibu angekung'oa meno ningefurah mkome na umbea wenu😆😆😆

  • @user-wv3th2ln4d
    @user-wv3th2ln4d 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣umbea achane jmn

    • @salimusalimu6404
      @salimusalimu6404 3 роки тому

      Assalamu ailkm dadangu vp salimu from Saudia Arabia Riyadh plzz ningeomba namba zako za wassp plz

    • @user-wv3th2ln4d
      @user-wv3th2ln4d 3 роки тому

      Waleyikum msalam warahma tulilah wabarakatuh my brother

    • @user-wv3th2ln4d
      @user-wv3th2ln4d 3 роки тому

      Sawa we nitumie namba yako kisha miye ntakutafta

    • @salimusalimu6404
      @salimusalimu6404 3 роки тому

      @@user-wv3th2ln4d namba yangu iyo ya wassp 0702945168

    • @salimusalimu6404
      @salimusalimu6404 3 роки тому

      @@user-wv3th2ln4d ushaniona wassp au bado

  • @neemafatu7885
    @neemafatu7885 3 роки тому

    Afadhali muache umbea

  • @zuwenshemedy7382
    @zuwenshemedy7382 3 роки тому

    Mkome ubeya tu

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 3 роки тому +1

    Mnqepata watu watatu km huyu mnqekoma shenzi nyiyee

  • @leahally4618
    @leahally4618 3 роки тому

    Uyu ni dogo Pepe wa comedy hamjui?😂😂😂😂😂 dah anazingua akili za watu kweli

    • @fatmazena8886
      @fatmazena8886 2 роки тому +1

      Ndio hahahaaa cjui alipotelea wapi

    • @samoredelavida3782
      @samoredelavida3782 Рік тому

      yaani nimesoma comment nyingi wameshindwa kumtambua uyu mpuuzi pepe aisee

  • @hadijalukas5959
    @hadijalukas5959 3 роки тому

    yani ukisikia kufanana ndo huku amefanana na baba yake mpaka nanilii

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 3 роки тому

      👀

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 роки тому

      sasa analia nn jmn ha ha haaa nimecheka chizi mtangazaji kimeumana

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 роки тому +1

    Sasa unalia nini mtimue kwa makofi ndio dawa yao. Umeshambiwa babake mengine yanini.