Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
If you would like to watch English video press ➡️ Crêpes | Vegetables crêpe | How to cook easy and tasty vegetables crêpes. ua-cam.com/video/386i9Xx32Sk/v-deo.html
Pls always add details ingredients in the section pls
Sukari je?
imependeza
Naomba ujue wewe dada ni kiboko ya wapishi✅✅✅✅nakupenda wewe na mapishi yako❤❤❤❤
MashaAllah. Nimeipenda. Shukran 💐👌🏼🙌🏽
Asante sana leo nilikuwa na hamu ya kuipika na nitajifunza kupitia kwako
Wow beautiful ❤️🇺🇬
Many thanks
mashaAllah love
Safi sana. Asante🥰
Maashallah shukran kwa kutuelimisha
I love myself than anyone😍😍😍😍
Naomba utuletee pishi la mkate wa sembe habibty I really like
Uko tayari habibty check it out
MashaAllah Asante
I love it
Mashaa Allah Shukran kwa mapishi
Yani mikate hii ninavyo ipenda, na vile umeyapika vizuri hadi raha😋
Awww asante sana my Dadaz 😋😋😋👌upate na samaki na chai 🙈🙈
Ivi km sina maziwa zitakuwa mbya
I like it let me try it
Will be waiting for the feedback
Nzuri
Mashaa Allah nimeipenda
Waooooooooooh amazing
Masha Allah nimeipendaa
mashaalla nimeipenda. asante kwa kutuelimisha
Unaweza changanya na maziwa ya kopo yale fresh!?
Its so sweetLkn pilipilboga n nn jmn ....
Bell peper English
Hoho
Hoho ama capsicum
Shukran habbty❤️
Asante Dada
😍😍😍 niko jikon 😋😋😋🙏🏽🙏🏽
Masha Allah
Mi napenda kisauti chako❤❤
Awww asante sanaa…
Sasa huu ni mkate wa maji au wa maziwa Miss Chef
😅😅😅😅
Nice one
Wow naenda kupika sasa
Mashallah
Barakah Allah Fihk
Wow.. Nice pancake
Nzuri sna ila kama hauna maziwa yahivyo unaweza tumia maziwa gani ???
Ahsante, je Naweza kutumia Maziwa ya unga?
Tumia maji ni sawa pia
Ilove you ninzulisana
Maashaa allaha 😋😋😋😋😋😋👌👌
MashaAllah
Asante
Very nice
Zpo vzr👍
Nice
Makinika namii. Nimeipenda hyooo
Thanks nimesoma kitu ya maana
Pia kwangu naona maelezo kwenye video ya lugha nisio ielewa, ni you tube wenyewe ama vp
nzur
Jee naweza kupika hv hv na maziwa na ikawa mitamu
Samahan jmn naomben kuuliza lkn mie kitunguu maji sikipendi kwenye mikate
nimezipenda cn
Niipenda hiyo
Hio c mikate ya maji hio mikate ya maziwa mana mikate ya maji huchanganywa na maji
UNAWEZA TUMIA MAJI AMA MAZIWA YOTE NI MIKATE YA MAJI
I prefer kutia maziwa cz inazidisha utamu
yess
Mwanzo sikumbuki km ilikua yaandikwa maelezo ya lugha hio
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍kesho ntapika mikate ya maji
Mabachelor tupo karbu kabsaa tunafuatilia tumechoka kula vtu visvyoeleweka
Sijapendezwa na hayo maelezo yaliyo andikwa kwenye video, hasa vile ni lugha wengi hatuielewi
Icho ndio kiswahili sasa😂😂
🤤🤤🤤
Nitaaamu sana daaah
Wapenzi naombeni kuuliza pilipili boga ndo ipi?
Anamaanisha hoho
@@seraphianamhehe6365 Anhaa sawa mpz ahsante kumbe ndo hoho🤣🤣🤣
PilipilI hoHo jina jengine
Ahsant
Unajua Sana Dada kupika
je kwenye chapati hizo unweza kuweka nazi
Tofauti na maziwa naweza tumia nini?
Maji
Ahsante
Hayo maboga ni pilipili hoho au?? Sijaelewa
Ndio
I hate milk can I use water
Yes u can
😋😋😋
🥰🥰
sichokiii kujifunzaa
😍😍😍
Santeeee mamiii
Maziwa mabichi right?
Yes or maji ni sawa
@@RukiaLaltia Thank youu
@@RukiaLaltia nikiweka sukari na chumvi ni sawa
Kwann umeweka maziwa badala ya maji
Unaweza weka maji pia mm napenda maziwa
Katlesi ya veg no bub na hanna list ya ingredients tafadhali onyesha
Pambee nimependa huu upishi
Niwawapikia waarabu
🤪👌
Na je kama hutumii maziwa waeza eka maji au vp
Yes
Sasa Kate maji au Kate maziwa
Vyovyote upendavyo kuita😜
Iv pililil boga ndo pilipili hoho au
Naitwa mwema chapati ya pilipili mboga no nzru sana nauliza kama hupendi kutia maziwa yaweza kutia maji
Waeza eka maji
Asante sana
Mashaallah
If you would like to watch English video press ➡️ Crêpes | Vegetables crêpe | How to cook easy and tasty vegetables crêpes. ua-cam.com/video/386i9Xx32Sk/v-deo.html
Pls always add details ingredients in the section pls
Sukari je?
imependeza
Naomba ujue wewe dada ni kiboko ya wapishi✅✅✅✅nakupenda wewe na mapishi yako❤❤❤❤
MashaAllah. Nimeipenda. Shukran 💐👌🏼🙌🏽
Asante sana leo nilikuwa na hamu ya kuipika na nitajifunza kupitia kwako
Wow beautiful ❤️🇺🇬
Many thanks
mashaAllah love
Safi sana. Asante🥰
Maashallah shukran kwa kutuelimisha
I love myself than anyone
😍😍😍😍
Naomba utuletee pishi la mkate wa sembe habibty I really like
Uko tayari habibty check it out
MashaAllah Asante
I love it
Mashaa Allah Shukran kwa mapishi
Yani mikate hii ninavyo ipenda, na vile umeyapika vizuri hadi raha😋
Awww asante sana my Dadaz 😋😋😋👌upate na samaki na chai 🙈🙈
Ivi km sina maziwa zitakuwa mbya
I like it let me try it
Will be waiting for the feedback
Nzuri
Mashaa Allah
nimeipenda
Waooooooooooh amazing
Masha Allah nimeipendaa
mashaalla nimeipenda. asante kwa kutuelimisha
Unaweza changanya na maziwa ya kopo yale fresh!?
Its so sweet
Lkn pilipilboga n nn jmn ....