Mimi Robert Gaudence,nakushukuru sana kwa mafundisho yako ya mwaka 24 kwakweli huna deni kwa Mungu kwa sehemu yako umesema kweli, Mungu anisaidie kuyaishi yote Mema uliyofundisha na uliyotafasili kwa Nabii Aston Adamu Mbaya, Mungu akubariki na kukufunulia mafunuo zaidi ya Roho Mtakatifu mwaka 25, Mungu akuzidishie hekime kwa Jina la YESU KRISTO Amina.
Hapa ni ukweli kabisa Mungu akasema wambie watumishi wangu waache kupenda dunia waache Tamaa ni makosa kuthamani. MUNGU alionyesha asira sana juu ya watumishi akasema wanapoteza watu watu na kuwanyang'anya Mali zao wakisema nimetuma, akasema sio mimi nimesema walishe kondoo zangu? Akasema ongea na watumishi wambie wamrudie yeye na kuwacha tamaa. Mtumishi wa MUNGU hili uliubiri ukweli naona kama ni Mungu alinena ndani mwako, ila wengi awatapenda kusikia hili. 1'john 2v15 to 17
Amen, Amen, na Mimi pia nawashukuru sana kwa yote, mme kua Waaminifu mwaka mzima huu, Na shukuru sana na Bwana awa Bariki ktk jina la Yesu Kristu
Amen 🙏 🙏 Asante MUNGU akuzidishie na akubariki 🙏
Merci! Merci! Pasteur de Dieu
Amen, ubarikiwe daima
Amen
Amen.baba ubarikiwe sana .
Mimi Robert Gaudence,nakushukuru sana kwa mafundisho yako ya mwaka 24 kwakweli huna deni kwa Mungu kwa sehemu yako umesema kweli, Mungu anisaidie kuyaishi yote Mema uliyofundisha na uliyotafasili kwa Nabii Aston Adamu Mbaya, Mungu akubariki na kukufunulia mafunuo zaidi ya Roho Mtakatifu mwaka 25, Mungu akuzidishie hekime kwa Jina la YESU KRISTO Amina.
Babaangu BWANA AKUBARIKI SANA na azidi kukung'arisha rohoni na mwilini. AMEN
Amina Mtumishi wa Bwana
Mafundisho mazuli mtumishi ubarikiwe
That's true mtumishi twambie kweli ili tupone
Kwa kweli apo ni kweli kabisa ubarikiwe mtumishi,endelea na moyo huo wa kutuambia kweli maana unatuweka huru
Hapa ni ukweli kabisa Mungu akasema wambie watumishi wangu waache kupenda dunia waache Tamaa ni makosa kuthamani.
MUNGU alionyesha asira sana juu ya watumishi akasema wanapoteza watu watu na kuwanyang'anya Mali zao wakisema nimetuma, akasema sio mimi nimesema walishe kondoo zangu? Akasema ongea na watumishi wambie wamrudie yeye na kuwacha tamaa.
Mtumishi wa MUNGU hili uliubiri ukweli naona kama ni Mungu alinena ndani mwako, ila wengi awatapenda kusikia hili.
1'john 2v15 to 17
Amen, ubarikiwe sana