MJUE KIJANA ABDULHAMID MWENYE KIPAJI CHA KUSOMA QURAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Kijana Abdulhamid mkazi wa Buza D'salaam mwenye kipaji cha Kusoma Quran kwa njia ya Tajweed

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @omklthomomklthom8090
    @omklthomomklthom8090 4 роки тому +406

    Mashallh kama unaipenda kur_an kama mm tujuwane bas😘

  • @hawamuhammed3695
    @hawamuhammed3695 4 роки тому +107

    Mtoto ABDULHAMID Maa sha Allah Allah Akupe Jaza Njema

  • @husseinmohamed6723
    @husseinmohamed6723 4 роки тому +29

    MaashaAllah hiko ndio kipaji,sio mtoto anakata viuno unasema kipaji Allah amuongoze kijana

  • @mussaselemani80
    @mussaselemani80 4 роки тому +62

    Maa sha Allah, Allah amjaalie kipaji chake kisiyumbe na asimame ktk misingi hiyo hyo

  • @agogotvharoune989
    @agogotvharoune989 4 роки тому +134

    daaah mashaa'ALLAH nataman nami niwe km yeye ALLAH amzidishie 'ilim zaidi

  • @khadijahkhdoo6387
    @khadijahkhdoo6387 4 роки тому +22

    Najiskia faraja kuzaliwa katika Islam,mwili wanienda vimbimbi.Mashallah mungu akujazi kheri

    • @mtaalamshekidele1661
      @mtaalamshekidele1661 4 роки тому

      Qur an inasisimua Dada yangu ikisomwa vzuri

    • @fatumahassanmasudi5923
      @fatumahassanmasudi5923 4 роки тому

      Allah akupe maisha marefu bro

    • @PaziTuktuk
      @PaziTuktuk 4 роки тому

      Duh yani raha sana ama kweli mungu kaibariki Tanzania kwa kila kitu...mashallah...lakini mbona mbona kenya aaah yanimapka naskia wivu 🙏🙏🙏

  • @kazuhan_thobes
    @kazuhan_thobes 4 роки тому +88

    Allahu Akbar Huyu kijana ni kipaji maalum wallah
    Allah amlinde na kupaisha zaidi na zaidi katika fani hii kubwa ya kujawid In Shaa Allah
    Maashaallah Maashaallah Maashaallah

  • @fathyasaid2942
    @fathyasaid2942 4 роки тому +7

    ma sha Allah ya Allah muendelezee kijan huyu kipaji chake cha kusom qur an i wish u all the best ya Allah muindeshee kila la shari na umuingizie kila la kher ktk maisha yke km unampenda like hpo chin

  • @maryamzuheir1633
    @maryamzuheir1633 4 роки тому +38

    Mashallah Allah amuhifadhi yy nawenziw amzidishi kipaji zaidi na zaidi ili iwe mafanikio ya duniani na akher Allah mjalie MTT huyu watu wenye uwezo ili tuwe na vipaji na cc HP Tanzania

  • @hildababyabdullah5627
    @hildababyabdullah5627 4 роки тому +13

    Mashaallah mashaallah mashaallah Allah akuzidishie ufaham ktk ilmu inshaallah bba Abdull hamid nakupenda sana kwaajili ya Allah

  • @rukiamshihiri4911
    @rukiamshihiri4911 4 роки тому +108

    Allah aqbar mashallah jicho la husda lisikuone

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 4 роки тому +15

    mashaAllah inapendeza kuzaa mtoto wa hv ...

  • @sadathmuhaji2060
    @sadathmuhaji2060 4 роки тому +17

    Maashallah..! ALLAH amhifadhi kwa nuru njema ili iwe ni sababu ya vijana wetu wa kiislam kuipenda dini yao na kufuata yale yote mema yanayopatkana ndan yake

  • @rahmuuelbiiman8021
    @rahmuuelbiiman8021 4 роки тому +1

    Mashallah Allah kariim rahim jazakallahulkheyr Allah akutimizie ndoto zako amiin

  • @daiyomuu8445
    @daiyomuu8445 4 роки тому +11

    Bismillahi Ma Shaa Allah waminshari hasidin idha hasada Allah ape kheri na furaha katika maisha yake Amiin

    • @maryamrashid1075
      @maryamrashid1075 4 роки тому +1

      Mamshaallah mashaallah Allah awe pamoja nae ee nlshaallah

    • @samialindo6721
      @samialindo6721 4 роки тому +1

      Mashaa llah munguakujalie mwanangu

  • @omarimasanga
    @omarimasanga 4 роки тому +17

    Allah amzidishie huyu kijana kila lililo jema kwake

  • @issasaid8187
    @issasaid8187 4 роки тому +25

    الله أكبر ما شاء الله الله يحفظك من كل عين لامة والحسد .ويبارك في صوتك وعمرك.

  • @halimaali9118
    @halimaali9118 4 роки тому +2

    Mashallh allah yubarik wayuhafidh may Allah bless him,and bless me family of quran amiin ya Allah

  • @maryamzahor5738
    @maryamzahor5738 4 роки тому +21

    Alla amzidishie kipaji chake na Allah amjaalie awe mtito mwenye kuendeleza kusoma kur-an. MashaaAllah.

  • @1THEBRAIN
    @1THEBRAIN 4 роки тому +10

    Mashaallah kijana akitunzwa na akafundishwa kuisoma Quran vizuri kwa hukmu, na mazoezi ya pumzi tu. waarabu watasubiri sana @ rajai fanya jambo kwahuyu kijana Allah atakulipa

    • @mariammohamed2543
      @mariammohamed2543 4 роки тому

      Mashaallah

    • @gobagobachevu7904
      @gobagobachevu7904 4 роки тому

      Mashallwah, Mashallwah Allwah amuongoze,na kipaji chake na watt wetu Allwah awajalie

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 4 роки тому

      @@adhkaar3250 mziki gani??

    • @abdulbhaijaanabdulbhaijaan3380
      @abdulbhaijaanabdulbhaijaan3380 4 роки тому

      Msihifadhi kuwa warabu ndo waelewa zaidi wa kusoma Quran au lugha ya kiarabu na wao mpaka wasome kama watu wengine ambae ajasoma hawezi kabisa warabu wengi hawajui mpaka wasome.
      Allah ndo mjuzi zaidi

  • @binhemed326
    @binhemed326 4 роки тому +18

    mashaalah mashallah
    nmependa xn anasoma huku akitabasam
    mungu amuepushe na watu wabaya

  • @adamhasani6468
    @adamhasani6468 4 роки тому +2

    Maashaallah mtt mzur Allah akuzdshie uzd kukua ktk maadil mema na unachosoma kije kiwafae wazaz mbele ya haki nawe pia hongera wazaz wa Abdulhamid kwa malez bora pamoja na waalim wake

  • @issaibrahim7325
    @issaibrahim7325 4 роки тому +17

    Masha Allah mtoto anauwezo mkubwa sana Allah amuengeze zaid insha Allah

  • @kisanganyakiswanta1379
    @kisanganyakiswanta1379 4 роки тому +30

    Allah amjalie mwisho mwema amzidishie maarifa

  • @athumanikaroyo5999
    @athumanikaroyo5999 4 роки тому +34

    Mashaallah Allah baariq kijana huyu awe miongoni mwa wanachuo inshaallah

  • @swabraswamadi3370
    @swabraswamadi3370 4 роки тому +1

    Mashalla aki mungu amzidishiye amuepushiye mahasidi yani nimempenda sana yani Ana kiraa kizuli hadi kichwa cha goga

    • @rehemamohammed401
      @rehemamohammed401 4 роки тому

      Swabra Swamadi We acha tu mpaka machoz yanatoka hasa kwenye hicho kipande cha kwanza Allah amzidishie tu hyu mtto Wallah

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 4 роки тому +4

    Mashaa Allah jazakallah bui natamani ungekuwa nimekuzaa mie 😍😍😍

  • @albarghash9005
    @albarghash9005 4 роки тому +16

    MASHAALAH ALLAH AMZIDISHIE

  • @mozuusuleiman4702
    @mozuusuleiman4702 4 роки тому +5

    Mashallah Mashallah umenitoa machozi. Hongera sana mwanangu Allah akulinde na hasad na akujaalie uzidi kuendelezwa na kipaji chako. Allah akujaalie upate sponsorship arabuni ukaongeze kipaji uwe Shekhe mkubwa baadae. Ungekua karibu ningekutunza Wallah

    • @mogeramusa5391
      @mogeramusa5391 4 роки тому

      Yaan me mwenyewe kanitoa machozi... Allah atujalie vizazi vyetu wallah

  • @ahmadmohamed3286
    @ahmadmohamed3286 4 роки тому

    Masha Allah, vijana kama hawa wanahitajika kuendelezwa. Hii ni hazina adimu sana. Allah muongeze kipaji chake na umsogezee kila la kheri katika Maisha yake. Aaamin

  • @abasisabuni3883
    @abasisabuni3883 4 роки тому +4

    Ma Shaa Allah
    Jazakallahu khayran
    Allah amzidishie Ilimu na amkinge na hasad

  • @abdurahmanalnaufaly3835
    @abdurahmanalnaufaly3835 Рік тому +1

    بسم الله ماشاء الله بسم الله تبارك الله بسم الله إن هاذا من فضل ربنا نسأل الله أن يحفظك و أن يرفع مقامك في قراءة القرآن و تلاوته وترتيله يا رب العالمين اللهم امين يارب العالمين.

  • @faizabongo7824
    @faizabongo7824 4 роки тому +3

    Mashallah anasoma kama marehemu abdul basit abdul samad Allah amrehem shekh wetu.....

  • @user-pg2jy8xm4e
    @user-pg2jy8xm4e 5 місяців тому

    Mashaa allah. Allah amjaalie awe miongoni mwa watoto wema na akuhifadh n hasid anapo husud
    Aamin

  • @yassirabdallah1645
    @yassirabdallah1645 4 роки тому +3

    ‏ما شاء الله تبارك الرحمن ما شاء الله ما شاء الله اللهم زدنا علما وارزقني فهما أمين يا رب

  • @halimamariri5210
    @halimamariri5210 4 роки тому +1

    MashaAllah qiraa kipo uzuri wallah Allah akukuze nacho piah namaadilii yako yawe mazuri hadi mwisho wa uhai wako amiin

  • @thumabby3655
    @thumabby3655 4 роки тому +3

    Mashaallah tabaraka llah mungu amzidishie zaidi na zaidi inshaallah

  • @user-dg2qq2yv7e
    @user-dg2qq2yv7e 4 роки тому +1

    مشاءالله عليك صوت جميل وفية طراوة
    نسال الله يرفع ذكرك ويشرح صدرك بلقران خير التربية

  • @user-dp5zu9ih9h
    @user-dp5zu9ih9h 4 роки тому +5

    بسم الله ماشاء الله 😘😘
    الله يبارك فيك

  • @paizinhochafim5064
    @paizinhochafim5064 4 роки тому +7

    MashAllah mdogo wangu Allah akujarie kila lakher

  • @saidahajimgeni8893
    @saidahajimgeni8893 4 роки тому +6

    MashaAllah mashaAllah... ameen kwasote 🙏

  • @hassanmchwakachangama888
    @hassanmchwakachangama888 4 роки тому +1

    Allah amzidishie mafanikio mema Amiin amuepushie na husuda mbaya Amiin 🙏🙏🙏

  • @shafiihemed2920
    @shafiihemed2920 4 роки тому +3

    Mashaallah...mashaallah...mashaallah....Allah azidi kumuongoa zaidi yuko vzr ana sauti mzuri na anajua sn

  • @shadiashaaly3956
    @shadiashaaly3956 Рік тому +1

    Allah akuhifadh na shari za duny n akhera ❤️🇹🇿❤️

  • @gitonga7054
    @gitonga7054 4 роки тому +3

    Mashallah Tabarakallah. May ALLAH guide all our children 🙏

  • @wakiliathumani7213
    @wakiliathumani7213 4 роки тому

    MashaAllah jazakallahu khairan ,Allahu (S.W.W) amuwezeshe kijana huyo ili afike mbali katika ulimwengu wawasomaji mahili Duniani

  • @samirizomboko5005
    @samirizomboko5005 4 роки тому +5

    Ukimuangalia ni kijana wa kimaskini, kanzu yake si kama za wengine na imechanika ila ALLAH ndo ameshaamua kuwa huyu ndo aijue Qur an, ni kisu kipya ndani ya ala ya zaman, ALLAH will bless you my young brother

    • @BABDEOMILADU
      @BABDEOMILADU  4 роки тому +3

      Dah inauma sana Allah amfikishe mbali na amlinde na mabalaa

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 роки тому

    Allah Akbar Tabaraka Ramhman mjukuu wetu Allah akuhifadhi na wenzio YAARABIY Allah akuzidishie kipaji YAARABIY

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 4 роки тому +5

    Allah sub haanahu anasema hakika sisi tumeiteremsha qur ani na hakika sisi tutaihifadhi,")

  • @mariamtaffe2783
    @mariamtaffe2783 4 роки тому +1

    Mashaa Allah kijana nilipenda Sana voice Yale Allah akujalie mashaa Allah 👍👍👍👍👍👍

  • @hamissnjumba6151
    @hamissnjumba6151 4 роки тому +16

    masha allaah anapita vizuri llhamdullah Allah jalaal amzidishie inshaallah

  • @hosseinkileo7286
    @hosseinkileo7286 4 роки тому

    Mashaallah, Allah azidi kumwongoza kijana katk njia ilionyooka!

  • @babawatotobabu7229
    @babawatotobabu7229 4 роки тому +3

    mashallah allah akulinde na mahasidi akuzidishie zaidi ya hapo ameen ameen

  • @nailatyahmad7298
    @nailatyahmad7298 4 роки тому +1

    Mashaallah Alhamdulillah Allah Akuzidishie kipaji mdogowangu

  • @hamidharunsaid1666
    @hamidharunsaid1666 4 роки тому +5

    Hii ni talent dogo MashaAllah... May Allah bless you abundantly

  • @asiahassan8727
    @asiahassan8727 4 роки тому +2

    Mashallah jazak lhau kheri

  • @salumkarim69
    @salumkarim69 4 роки тому +3

    mashaa allah ...wallahi nimefarijika sana endelezwe haraka kabla ya saibu ya kidunia hyajamkabili.

  • @shuhaidaomar3347
    @shuhaidaomar3347 4 роки тому +2

    masha Allah mola akuhifadhi mwanangu akuzidishie kibaji chako ya rabiy wajalie nawenginewe wote

  • @kwekwemahendo9747
    @kwekwemahendo9747 4 роки тому +5

    ma sha Allah ALLAH AMZIDISHIE ELIMU

  • @saidnassor9105
    @saidnassor9105 4 роки тому +1

    Masha Allah, Allah akulinde sana na kila hasad na pia akuondolee kibri baada ya kujijua kuwa unakipaji cha kheri mdog wangu

  • @mohamedzyenhazmi4154
    @mohamedzyenhazmi4154 4 роки тому +14

    MashaAllah heart touching ...... May Allah protect him wherever he is@!!

  • @faulatafahmi7733
    @faulatafahmi7733 4 роки тому +1

    TabaaralaAllahu Rrahman...mwanangu Allah azidi kukupa elimu ya akhera..Jicho la hassad lisikuone ...MaashaAllah Allahu Akbar

  • @hamadisuleman4858
    @hamadisuleman4858 4 роки тому +9

    Maashallah mdogo wangu

  • @aminamwinga270
    @aminamwinga270 4 роки тому

    Masha allah jazaka allahull kweir mola amuongoze mtoto Abdull panapo shindikana mola awezeshe pafunguke Aamin insha allah

  • @jasminhassan4626
    @jasminhassan4626 4 роки тому +3

    Mashaallah Allah Akukuze Zaidi Akuzidishie Ujuzi

  • @fakhirhamad1273
    @fakhirhamad1273 4 роки тому +1

    MashaAllah tustiri vipaji vya Allah jmni nimependa sana Allah akuzidishie mtoto wetu

  • @mzeeamry2501
    @mzeeamry2501 4 роки тому +9

    Allah akbar moyo wangu wavunjika vunjika kwa sauti ya mtoto huyu,Allah mlinde na umuingoze ktk njia ya kher

  • @mariamsaidi7625
    @mariamsaidi7625 4 роки тому

    Masha Allah mungu akuongoze ktk njia iliyo kuwa njema inshallah

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 4 роки тому +4

    MashaAllah alaik yah wallad Allah aftah alaik InshaAllah

  • @olaolacocacola9242
    @olaolacocacola9242 4 роки тому +1

    Hivi ni nani anaye dislike kama sio makafiri? Masha-Allah kijana wetu Abdulhamid Mungu akulinde,akuongoze na akufikishe ktk daraja la juu fildunia wal-akhera amiin..

  • @fadhilichilumba6924
    @fadhilichilumba6924 4 роки тому +4

    He reciting well while enjoying himself, mashallah

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 4 роки тому +1

    Maashaalla Allan akujaalie afya na umri mrefu kijana wetu

  • @mwawekomiuda5777
    @mwawekomiuda5777 4 роки тому +3

    Mashallah. M'mungu amzidishie asome zaidi ya hivyo na ampe umri mrefu na pia amlinde na maadui ishaAllah

  • @kibabagejunior7014
    @kibabagejunior7014 4 роки тому

    Mashalaah jazzakallah khaira,Allah akuzidishie kila lenye kher,na akuongoze ktk firdaus njema Allahuma amiin

  • @IItiswaamproduct
    @IItiswaamproduct 4 роки тому +3

    mashaallah Allah amlinde na hasadi na amzidishie kila la kheri

  • @khadijahaji1626
    @khadijahaji1626 4 роки тому

    Masha'Allah Jazakallahul kheyr. Allah akukuzie kipaji chak na akuepushie na hasad. Amiiiin

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 4 роки тому

    Mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah. paka machozi yamenitoka kwa furaha.mungu akuongoze mdogo wetu. Inshaallah ❤❤

  • @Aaliyah-jm2xy
    @Aaliyah-jm2xy 4 роки тому +3

    Abdul hameed!!i shall never forget this kid may Allah bless you may He guide you and protect you..Your parents and ustadh May Allah bless them too
    May Allah ease your affairs too

  • @almuhtaramzamil
    @almuhtaramzamil 4 роки тому +1

    MaashaAllah..ndugu yetu katika imani,Allah (S.W) amhifadhi na kila Sharri.Ameen!

  • @zaharahaji1642
    @zaharahaji1642 4 роки тому +3

    MashaAllah mungu akuongoze

  • @alikhamisame9636
    @alikhamisame9636 4 роки тому +1

    Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mungu akupe afya njema na maisha marefu yenye heri nawe Mungu akulinde kipaji chako

  • @santaslum5427
    @santaslum5427 4 роки тому +4

    Mashallah allah amjalie ufahamu zaid

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 4 роки тому +1

    Maasha Allah maasha Allah maasha Allah you make me cry when you read wamaa adeeeraka maalaiilatul qadri.

  • @dr.bilallymaster6784
    @dr.bilallymaster6784 4 роки тому +3

    Allah mfungilie na mzidishie kheir mja wako huyu afike mbali inshaallah

  • @salamajalina7789
    @salamajalina7789 4 роки тому

    Masha allah Masha allah Wallah Mwili Una Nisisimka Kwa raha nilizozisikia Insha allah Nikirejea Tz ntafika Madrasat

  • @abdillahmahmoud6813
    @abdillahmahmoud6813 4 роки тому +4

    Mashaallah M/mungu amoondolee husda za walimwengu

  • @nfbdbxbxbdb2902
    @nfbdbxbxbdb2902 4 роки тому

    mashaallah hongera mwanangu nimependa mpaka nmetoa machozi mwenyezi mungu akuweke na kukuzidishia elmu

  • @hajisalumomari3460
    @hajisalumomari3460 4 роки тому +57

    mashallah ni kipaji kinachohitaji kukuzwa na kipate elimu zaid ili kiendelee kukua

  • @bableesalu8707
    @bableesalu8707 4 роки тому +1

    Mashallah Abdull hamid

  • @mudkhamis3078
    @mudkhamis3078 4 роки тому +28

    Maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah maashallah

  • @maalimrajabu1634
    @maalimrajabu1634 4 роки тому +2

    Maa shaa allaah Allah amzidishie ufahamu zaidi

  • @rukiaaa3719
    @rukiaaa3719 4 роки тому +4

    mashallah tabaraak Alla👌👌❤❤

  • @hamisingeruko8576
    @hamisingeruko8576 4 роки тому +2

    maasha allah mtt yuko vizuri sana m/mungu azidishie

  • @ahmadazubeir5112
    @ahmadazubeir5112 4 роки тому +9

    Namuomba Sheikh Rajjai Ayoub amtembelee huyu kijana na amchukuwe ili awe nae nyumbani kwake in shaa Allah.

    • @nurdinhemed6
      @nurdinhemed6 4 роки тому

      Nakuunga mkono sheikh ...wallah mtt anaswaut murua kabisa

    • @zuhuramuhanga5400
      @zuhuramuhanga5400 4 роки тому

      Naungana na nyie kweli amchukue atafikanae mbali inshaallah

    • @uweismohammed6959
      @uweismohammed6959 4 роки тому

      Naunga mkono

    • @mauahaji6025
      @mauahaji6025 3 роки тому

      Masha Allah ,, ivi ndivo yapasavo kulelewa watoto wa kiislaam na sio kwenye ujinga mwengine ,,jicho la husad liwe mbali nawe ,, Allah atuzidishie uwez zaid na zaid insha Allah

  • @AshiqurRahman-xk1zt
    @AshiqurRahman-xk1zt 4 роки тому +1

    Ma sha allah very hard touching tilawat. I am from India

  • @kassimomar8176
    @kassimomar8176 4 роки тому +5

    Huyu mtoto Ana kipaji Allah amzidishie

  • @malikamtajir8935
    @malikamtajir8935 4 роки тому

    Mashallah.Allah amfishe mbali kwa kipaji hiki cha dini n Allaj amuepushe n hanasa z dunia

  • @abdukadiliissa8076
    @abdukadiliissa8076 4 роки тому +38

    huyu kijana aendelezwe ili aje kuitangaza TANZANIA kama rajai ayoub ,WALLAH! mdogo lakini ALLAH Amempa kipaji.

    • @hajjialy2413
      @hajjialy2413 4 роки тому

      QARI RAJAI AYOUB NAMKUBALI SANA

  • @ashfaynakhamis7034
    @ashfaynakhamis7034 4 роки тому +1

    Mashaallah thumma mashaallah wallah sichok kumsikiliza huyu kijana Allah ambarik na amlinde na husda za walimwengu

  • @issabosco3531
    @issabosco3531 4 роки тому +5

    mashaallah, nipo zanzibár kipaji hicho tukitunze