It's not also for Kikuyus. Kenyatta was also there. Kikuyus feel entitled. Out of power you cause chaos and instability. Luos are the only true patriots.
Yaani polisi wanauwa halafu wanasajili kama mtu asijulikane halafu leo hapa mnatuletea ka mtu mmekalipa serikali ili watudanganye eti yeye ndio alitekeleza mauaji akawatupa wananchi kwa maji taka
Hiyo pia ni kusingizia hiyo kugongwa na gari pia nikusingizia polisi walimuua na kama ni kugongwa na gari polisi walimsukuma kwa agongo na gari ama walimvunja ndio aseme yagongwana gari kuna ushahidi gani polisi wanajua ukweli hakuna mauaji yanatekelezwa kama si polisi hii kenya waandamanaji
@@carolinenduku8422 hata wewe utakuwa mmoja wao iwapo sisi tunazikwa hata wewe huwezi kuonea ukiwa hapo kenya sisi tutazidi kuumia wewe zidi kufurahi si umeridhika lakini kila kitu kina mwisho hakuna kilicho na mwanzo kikakosa mwisho ruto must go
Ruto and Farouk kibet should not think hii kenya niya mama ya mtu ata biwwot was there
It's not also for Kikuyus. Kenyatta was also there. Kikuyus feel entitled. Out of power you cause chaos and instability. Luos are the only true patriots.
Siku izi ruto anatembea akiua watu?
What i know is that Uliam Nebuchadnezzar zakayo will Fall 🍂
ruto must go,,a murderer cannot rule us😭😭😭💔💔,,fidhuli aliyepungukiwa na utu anafanya Nini state house,,ni president wakina nani?
Pole sana
Ruto must go
We all know who the “Butcher of Nairobi” is
Eeeish, surely this is too painful
Hamna ata adabu....na mnahitaji dialogue mkiuwa vijana ...,God shall fight for us....Genz oyiii
Ruto has failed Kenyan,he must stop politics in Kenya
So sad.. RIP Gen Z...
Tutakufa mpaka lini.....😭😭😭😭😭
Mpaka mukue na akali muzuri
Kazi ya Ruto
Ruto ni polisi ama
@@annitakoilel6045maybe ni ww ju unamtetea sana
@@annitakoilel6045ni head of state.
Hakuna kugwogwa na gari ...hii uwongo itaedelea mpaka lini....useless government
😭😭😭mungu tutakimbilia wapi sasa tusaidie😢
Its not good, everyday it's about demise
Hii huwezi kutuamlisha si Serikali . Kila mtu aliunga mkono maandamo except those who were in the government and government its self
Poleni sana
Ruto😢
😢😢😢😢 poleni sana familia
Ruto must go ! So many innocent souls we have lost
Aiiii imezidi 😮😮😮
Mungu awe nanyi
Makosa sana ruto must go
We don't want police in Kenya
Yaani polisi wanauwa halafu wanasajili kama mtu asijulikane halafu leo hapa mnatuletea ka mtu mmekalipa serikali ili watudanganye eti yeye ndio alitekeleza mauaji akawatupa wananchi kwa maji taka
Aonekane kituo Cha police then mnaripot aligongwa na gari aje Sasa🤷
Kumbe tutakufa sisi wote jameni na watoto wetu. 😢😢😢😢😢😢
Hii n nini ak, seriously yaan ivo ndo vijana wanakufa tu😢😢😢😢 very painful
Watu si WAJINGA!!!
In kenya kupotea na kupatikana maiti ni kawaida
Hawa politicians maumbwa wanafaa watoke na wamalizwe kabisa!!!
Na hii city mortuary ituambia ukweli who those people wanaleta dead body's morgue wakati mtu ametafutwa almost a month no see
Kenya cannot continue like this.
Yani huyu Ruto aende zake yani Inaskitishana hakuna cha mazungumzo na ss
So sad 😢 😢 😢 😢
Accident gani haki 😢😢😢hii Kenya wee
Aiii, watakufa wangapi
Aki ruto is amonster kenya will be free from this butcher of sugoi
RIP😢
Halafu Muna sema leta mtu atudaganye mmmh ruto
And our president is born- again christian and his wife is an evangelist.Afadhali Wajackoya na bangi zake.
The two, man n wife are worse than devil worshippers. Kanisani ni kuficha makucha. Hata Rigathi na mkewe ni mashetani tupu.
Sasa hii ni maneno gani jameni wooiyie huruma zilienda wapi jameni Kenya yetu. 😢😢😢😢 mbona wanauwa watoto wetu jameni.
Ruto is very blood thirsty. Ataua wangapi? Anaua hadi watoto wa watu really?
😢😢😢😢
Ruto must goo
😰😰😰😰😰😰ooh God
Yote haya yanafanyika kwasababu ya io serekal ya wahuni
Wanaua kwa nn,hii serikali Walahi cna imani nayo kama mama,najuta kuvote
Too much
mjinga akierevuka, mwerevu yu mashakani. kesho videos and picha za maandamano ziko kwa hii tiktok na telegram inaitwa Trending in Kenya.
Hiyo pia ni kusingizia hiyo kugongwa na gari pia nikusingizia polisi walimuua na kama ni kugongwa na gari polisi walimsukuma kwa agongo na gari ama walimvunja ndio aseme yagongwana gari kuna ushahidi gani polisi wanajua ukweli hakuna mauaji yanatekelezwa kama si polisi hii kenya waandamanaji
Muendelee nakuchochea .mtazidi nakuumia tu.
@@carolinenduku8422 hata wewe utakuwa mmoja wao iwapo sisi tunazikwa hata wewe huwezi kuonea ukiwa hapo kenya sisi tutazidi kuumia wewe zidi kufurahi si umeridhika lakini kila kitu kina mwisho hakuna kilicho na mwanzo kikakosa mwisho ruto must go
Gari aje uongo
modern day Pol Pot
Umeuwa alafu mnsema eti gari alimgongo
Another lie 😢 Kenyans