Aslay - Ananikomoa (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 3 тис.

  • @hassanluqman7823
    @hassanluqman7823 6 років тому +102

    Kwa kweli huyu kijana yuko na future nzuri kwa music hongera sana kijana wetu Aslay #Ananikomoa kama pia wewe ni shabiki wa Aslay naomba like yako

  • @peterjoseph1779
    @peterjoseph1779 8 місяців тому +15

    Ngoma kali kama hii shooting can only be done in +254 Kenya 🇰🇪......ndugu zanguni watanzania naomba mnipe like

  • @alphonsoalpho2495
    @alphonsoalpho2495 6 років тому +6

    Kutoka kenya aisee alsy ngoma zako ziko juu sana ukija kuchapa mziki kenya sitawahi kosa wewe ni wangu wa karibu......... Nyimbo yako yatoka ndani moyoni.......ananikomoa Best song nipe Like kaa ni ukweli

  • @valentinerobinah782
    @valentinerobinah782 5 років тому +3

    Aslay nikizikiza nyimbo zako huwa nakumbuka kipindi kigumu nimepitia ila kwa sasa nashukuru mungu .

  • @abdulmahmuod2273
    @abdulmahmuod2273 5 років тому +38

    Namkubali sana DOGO ASLAY kwani nyimbo hii huwa inaa nikumbusha enzi za mpenzi wangu wa zamani, kwani hakuwa tofauti kabisaaa na maneno ya nyimbo hii, mwendo mdundo, twende na like 👉🤙

  • @brillyisigi3325
    @brillyisigi3325 6 років тому +2

    DJ shiti omwana wefu umefika bongo ,salimia aslay mwambie kazi nzuri hiyo

  • @janerosemaranga8069
    @janerosemaranga8069 6 років тому +85

    Hata wakusemeje ..team Kenya tunakukubali....Halafu najua una mipango zuri za kimataifa,wewe usiharikishwe na watu...watu wana maneno mengi....najua masuprice ziko njiani...wanao ongea waongee tu....sisi team 254 tunakukubali...halafu ukamueka wetu DJ shittii...wewe ni fireeee

  • @edwingodfrey9566
    @edwingodfrey9566 6 років тому +10

    Nzuri sana bro. Wakenya likes la Aslay tuangushe hapa furifuri sasa

  • @nanaleetz
    @nanaleetz 2 роки тому +3

    Aslay we mchawi ngoma zako aiwezekan leo nimeziskiliza zote😘 dah aziishi ladh

  • @dennisnyaanga3681
    @dennisnyaanga3681 6 років тому +12

    kama umeona dj shitii acha like hapa

  • @gracenatasha4056
    @gracenatasha4056 6 років тому +7

    Aslay nakupenda sana... Kila unapoimba lazma nigonge like na niache comment...much love from 254

  • @sarahnduku8562
    @sarahnduku8562 6 років тому +2

    Tuko pamoja aslay endelea vivyo ivyo..kwa kweli wimbo mtamu sana huu

  • @dvjskinnyofficial2473
    @dvjskinnyofficial2473 6 років тому +48

    haya sasa nataka niwaone team aslay wa damu hapa before #1trend gonga like hapa

  • @jacksonundimu2288
    @jacksonundimu2288 3 роки тому +31

    Dj shiti thanks for representing we kenyans

  • @deulemwangolo
    @deulemwangolo 9 місяців тому +1

    Aslay ni mwamba 💪💪💪

  • @ibrahimsamir7904
    @ibrahimsamir7904 6 років тому +147

    Aslay is always my favourite artist......Kijanaa uko juu tu sana....Sijawai pata likes youtube but hope leo ndo siku yangu..Likes zishuke ka unamtambua Aslay....💪💪💪

  • @habibamohamed3738
    @habibamohamed3738 6 років тому +442

    Niko marekani na leo nimebarikiwa kukuwa mtu wa tisa kuona video hii..Naomba likes my East African brothers hata kama mimi ni mkenya

    • @ManaL-ho9cr
      @ManaL-ho9cr 6 років тому +5

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪kenya tuko

    • @habibamohamed3738
      @habibamohamed3738 6 років тому +6

      Love ❤️ you mkenya mwenzangu

    • @ManaL-ho9cr
      @ManaL-ho9cr 6 років тому +3

      @@habibamohamed3738 pamoja🙏

    • @CoachKhalifa
      @CoachKhalifa 6 років тому +1

      tunatafuta WATU WATANO (5)walio makini na tutakaowafunza na kuwasimamia katika Project 45 ya ALPHA SUPER DIAMONDS TEAM wapate uwezo wa kutengeneza pesa ONLINE .
      UWE TU TAYARI KUJIFUNZA.
      WhatsApp +255 777 891 433. TUMA JINA NA UNAPOISHI KUPATIWA MUONGOZO...

    • @apiahmligo9684
      @apiahmligo9684 6 років тому

      HABIBA MOHAMED nice one

  • @Salmashabanimemba
    @Salmashabanimemba 11 місяців тому +1

    ❤❤❤❤🎉🎉 unajua kuimb sana

  • @hassanmbaki
    @hassanmbaki 6 років тому +11

    ASLAY FUNDI WA MUZIKI AFRIKA MASHARIKI MASHABIKI WAKO TUNAKUPENDA SANA TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI MSANII WETU

  • @levygasper7438
    @levygasper7438 8 місяців тому +61

    ambao bado mna anjoy na ananikomoa 2024 nipeni like zenu

  • @mawiamunyoto2194
    @mawiamunyoto2194 6 років тому +1

    Alafu mtu aingie UA-cam aongelelee huyu kijana shindwe. Dj shiti usibaduke hapo hii ni kuuuubwa 🔥🔥🔥

  • @bwokemwa2299
    @bwokemwa2299 6 років тому +17

    Finally, "mungu simamisha dunia nishuke, nimechoka", there it is for the future generations to know the language twists of our time. Good music as always.

  • @owenmurimi578
    @owenmurimi578 3 роки тому +5

    Aslay from Ukunda,Diani twakupenda,love mob

  • @claremadegwa2678
    @claremadegwa2678 2 роки тому +1

    Kweli nimekomolewa,kila siku visa,penzi la sikitiko ,maji nimeyanawa mimi pia nguo nimezivulia ,vibes to the soul watching all the way from asia ,God bless you .umeuliwaza moyo wangu with the song

  • @princenewton
    @princenewton 6 років тому +83

    Wangapi wanakubaliana na Mimi Aslay anakila anachostahili kumsaidia Mwenzake (Enockbella)jamani😥😥😥Kenyaaaaa +(254)

  • @shukribante7695
    @shukribante7695 6 років тому +14

    Sijaskiza nyimbo wote lakn najua MTU huaga hakoseei 😍😍😍😍😍aslay wangu

  • @annaamir9846
    @annaamir9846 Рік тому +1

    Uyu kijana uwa namkubali sana

  • @wanzia
    @wanzia 6 років тому +81

    Aky aslay ngoma zako hufil the heart and soul.. I know will do a cover of your song one day ama collabo na wewe.... Lots of love... Aki patieni aslay likes

  • @andrewkiplagat5373
    @andrewkiplagat5373 6 років тому +329

    Aslay kwa ukweli nakutambua saan 254 twakupenda sana wangwana nipeeni like Moja tu na roho yangu itatulia legoo

    • @kintujensen9648
      @kintujensen9648 6 років тому +2

      Andrew kiplagat yuko vzr

    • @benotyiambo179
      @benotyiambo179 6 років тому +1

      Good god is good

    • @hermankamarikigalavaidaywa1213
      @hermankamarikigalavaidaywa1213 6 років тому +1

      ua-cam.com/video/skAkXozf_Cg/v-deo.html
      MSANII ASLAY ASEMA KUWA ANA KAZI NA OTILE BROWN NA KAMWE HATAJIUNGA NA WASAFI
      ANASEMA ANA HAJA SANA YA KUFANYA NGOMA NA NYASHINSKI NA KUWA MASHABIKI WAKE WENGI NI WA KUTOKA KENYA
      TAZAMA INTERVIEW HII
      USISAHAU KU SUBSCRIBE

    • @asiajumanne8775
      @asiajumanne8775 6 років тому

      Asiay ukovizurisana

    • @geofreyishengoma8063
      @geofreyishengoma8063 6 років тому

      Hoya

  • @yapo4891
    @yapo4891 4 роки тому +1

    Dah mpenz shikamoo

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama 6 років тому +227

    Dj Shiti hoiyeeee🔥🔥
    Aslay bona wimbo huu umenitia huzuni mie 😤😤,alafu umeutoa ukiwa na 'homa

  • @omaryabdallah3819
    @omaryabdallah3819 6 років тому +24

    Dah hii sungura inajua jamn laaaaah big up sana mdogo etu like kama kaeleweka

  • @dottomrembossy468
    @dottomrembossy468 5 років тому

    Ni Bora kuwa na wasanii wachache wanaoimba kwa hekima na busara nyimbo tamu na nzuri zenye hisia inapendeza! Hongeza juhudi zaidi usikatishwe tamaa na makundi au mtu mmoja mmoja

  • @winnjonas3236
    @winnjonas3236 3 роки тому +4

    Kweli huu wimbo ni kama maisha yangu unampenda mtu anakudharau kweli unanigusa Sana nikisikia natokwa na machozi

  • @robertadvance2384
    @robertadvance2384 6 років тому +7

    Haya twende sawa,,, wanaomkubali aslay mikono juu!!!!!!

  • @mohammedshaik1870
    @mohammedshaik1870 5 років тому

    Kaka aslay wemkali wawa nyama Mungu akulinde katika kazi zako tena wewe usiyasikiye wanayo yasema watu omba Mungu tu naumtumainiye Mungu tu,,ila kaka yangu nina kuomba umurudishe shem mama moza ili mwenyezi Mungu akuzidishiye mibaraka zaidi kk usikubali kuowa mke wapili nono usiwe kama hao😗😗😗😚😚😍😍

  • @azariamajila7382
    @azariamajila7382 6 років тому +6

    Eee mungu baba simamisha dunia nishuke iko pouwa sanaaa

  • @djspice254
    @djspice254 6 років тому +15

    ANOTHER KILLER TUNE FROM ASLAY..LIKE KAMA UMEIPENDA...MOB LOVE FROM +254.

  • @aminahamisi7354
    @aminahamisi7354 5 років тому

    Jamani hebu muacheni aslay atambe wivu wanini Kama hahati amempa mungu chuki sio nzuri aslay sisi tuko pamoja na wewe Amina kutoka Kenya

  • @nasrasuleiman2552
    @nasrasuleiman2552 6 років тому +7

    Jaman Aslay upo juuu kama moto wa kifuuu

  • @capitalo2811
    @capitalo2811 6 років тому +7

    Naanzia 'like' Kisha ndo nasikiza. Kama ni Aslay najua ni kama Simba na Yanga!!!+254 represented

  • @frankjully5457
    @frankjully5457 6 років тому +2

    hii nyimbo ilivyotoka nilisema dogo abadilike kimuziki Leo zaidi ya wiki mbili dogo hajafikisha views million moja wakati aslay ilikuwa wiki tu anafikisha badilisha muziki wako

  • @victorgriffins5632
    @victorgriffins5632 6 років тому +4

    ASLAY the only man who sings sense in all his songs.. ukiendelea hivi utaenda mbali saana bro.. NAPENDA SANA NYIMBO ZAKO BRO.. zidi kwasha moto na usirudi nyuma

  • @blaise7380
    @blaise7380 6 років тому +27

    How can someone dislike this kind of Mastercraft. Haters in 2018 will all become likers in 2019. Your talent touches my soul. I hope one day we Can do a show in Dubai.

  • @watambulaioci
    @watambulaioci Рік тому

    Kama umesalutiwa, alafu ukaja kuskia huhu wimbo, lazima utokwe na machozi, ohh aslay you're the best

  • @bwayeazi3782
    @bwayeazi3782 6 років тому +135

    Kama unamkubali Aslay gonga like twende zetu

  • @ntawurusigajaphet8813
    @ntawurusigajaphet8813 4 роки тому +2

    Watoe mpya waache, huu wimbo naupenda mpaka basi, love From Burundi +257, 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @wangusue7639
    @wangusue7639 2 роки тому

    from Kenya aslay I have nothing to appreciat you ila tu mbele za mwenyezi mungu

  • @nasraissa8716
    @nasraissa8716 6 років тому +17

    daah imenigusa sana achani tu mapenzi haya jamn#ananikomoa sapoti mzki mzuri

  • @luckyboiofficial4342
    @luckyboiofficial4342 6 років тому +17

    Aslay wah sauti nyororo sana keep up bro.....ur die hard fun from kenya

  • @adelinasteven5841
    @adelinasteven5841 6 років тому +1

    nakukubal na mengi Aslay kwanza una umri mdogo ila unajielewa sana,mstaarabu hutegemei brand au jina la mtu ili utoke,,,,unajiweza mwenyew keep it bro,,, i lov u to the extent i cannot explain it!!!

  • @bernardmbogo7826
    @bernardmbogo7826 6 років тому +7

    Nitaambia nini watuuuu😂😂 shitti hapo👏👏👏

  • @phineasmuthomikinoti7822
    @phineasmuthomikinoti7822 5 років тому +10

    Here we r as Kenya's .am proud of bro's like this aki

  • @你好吗你好吗-f6o
    @你好吗你好吗-f6o 6 років тому

    Aslay mungu uko sawa kabisaaa.

  • @aboefromsingda5527
    @aboefromsingda5527 6 років тому +6

    Ipo makini saana artist wangu

  • @khalidfaisal921
    @khalidfaisal921 6 років тому +133

    Kama uko hapa b4 1M nipe like😍😍asly❤️❤️

  • @asiabakari4374
    @asiabakari4374 6 років тому

    uyu mtoto nyimbo zake nazikubali sn jmn mungu akujaliy mwanangu

  • @animalhunter9780
    @animalhunter9780 6 років тому +5

    daaah blaza hii nyimbo naisi umeniimbia mimi maana nailudia ludia sana inaniusu kabisa

  • @shamsheryaj18
    @shamsheryaj18 6 років тому +13

    Unajua mwamba
    Nakuombea kheri sana kwa allah
    Kama unamkubali aslay na unamwombea kheri kwa allah dondosha like zako hapa

    • @elishajohn4001
      @elishajohn4001 5 років тому

      Nani anaxkilza hii ngoma june 2019 weka like twende sawa

    • @mchumbaneema215
      @mchumbaneema215 5 років тому

      aise nampenda San huyo jamaaa

  • @fatumaally8297
    @fatumaally8297 3 роки тому

    Nakupenda sana aslay ujawahi loses my bby

  • @yusuphtyga1302
    @yusuphtyga1302 6 років тому +11

    Mzee baba Ngoma kalii 🔥🔥🔥

    • @godfreysephania9938
      @godfreysephania9938 6 років тому

      Watu wanamkubali lakini mm nizaidi ya wote nampenda kabisa iv ameoa

  • @rapandooscar9306
    @rapandooscar9306 6 років тому +6

    Aslay si uongo hii umeweza bado nakufagilia

  • @limbumboyi1233
    @limbumboyi1233 6 років тому +1

    Hakuna wa kumfikia aslay bongo nzima kwa sasa

  • @amisisteven8339
    @amisisteven8339 6 років тому +23

    Kalii saana ! Hii nomaaa duhh👏🏽😂 .... mi simba yeye ni yanga 🤴😁

  • @dbashhussain8711
    @dbashhussain8711 6 років тому +15

    Huyu ni zaidi ya killer..... Kama unakubaliana na mimi tupia like hapa

  • @polvinjewel5487
    @polvinjewel5487 6 років тому +1

    Jamani aslay macho yangu yatakauka kwa kutokwa na machozi ,,nyimbo zako daaah!!zna hisia

  • @lysonrichard3095
    @lysonrichard3095 6 років тому +26

    Umenigusa kunakooo aslay no kam umentungia hili li ngomaaaaaaaa

  • @muhumuzarichard24
    @muhumuzarichard24 6 років тому +7

    Ladies and gentlemen who can teach me Swahili language Aslay u sing nice and I like all ur songs!!!!! beautiful beats n voice.

  • @emerculateadema2545
    @emerculateadema2545 5 років тому +2

    Wimbo mtamu sana,,, jamani tumpeni aslay likes kama zote from Kenya

  • @moblack915
    @moblack915 6 років тому +16

    wewe tena wala ukoseagi,,,, kazi nzuri

  • @Judy001
    @Judy001 6 років тому +6

    Team Kenya tunakupenda

  • @MrGave
    @MrGave 6 років тому

    Good job kijana wetu

  • @naimojey3284
    @naimojey3284 3 роки тому +3

    I love listening asley songs since I was 15 am now 23 he is my hero, when ever am sad I also listen his songs keep going you will reach you goals. One love from somalia 🇸🇴

  • @veeafrika4483
    @veeafrika4483 6 років тому +11

    Daaah, Aslay you never disappoint. Jamani nyimbo zako dawa kwa moyo wangu.. Nazipenda si siri...

  • @digitalhealth545
    @digitalhealth545 6 років тому +1

    Nakupata vizuri all the way from +86, anayetamba ni mondi pande hizi but your my favorite singer I real appreciate your songs keep it up na ongeza network katika kazi utafika mbali

  • @kevinfrancokevin
    @kevinfrancokevin 6 років тому +30

    Dah... kama watoka Kenya nipe like.... team +254

    • @kitabwana9741
      @kitabwana9741 6 років тому +1

      Mjomba uko good sana nakuelewa

    • @kitabwana9741
      @kitabwana9741 6 років тому +1

      Mzee baba chochote unachotoa kwangu nimuhimu

  • @mclosfoumusic
    @mclosfoumusic 6 років тому +20

    #teamAslay say is dope... ukikomolewa itakuwa balaa ahahahaha... inaweza sana... say #dope

  • @thedragonempire4797
    @thedragonempire4797 6 років тому

    aslay na beka amukumbiki ata dungu yenu enock bella jueni ata fanyikiwa tu mwenyezi mungu yupo #enockbella# he will never try to give up

  • @uaguag7607
    @uaguag7607 6 років тому +67

    DJ shiti nakuona hapo na ndizi
    Nitaambia nini watu

  • @switchtv1001
    @switchtv1001 6 років тому +514

    KENYANS LIKES TUNAHESABU HAPA. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @abdallahesika8407
    @abdallahesika8407 3 роки тому

    Hakika Aslay uko vzr,nakukubali sana. Hicho kikombe ulichonywea maji kimenikumbusha enzi hizo

  • @kasimchohe345
    @kasimchohe345 6 років тому +112

    ngoma ya ukweli San kama unamkubali #Aslay gonga like👍 hapa

  • @milldeeke3982
    @milldeeke3982 6 років тому +42

    daaaaaah, iko Kali sana....
    🔥🔥🔥🔥💯✔️
    +254 tuzidi

    • @onlinetzmedia
      @onlinetzmedia 6 років тому

      Can you please subscribe to my channel, I work hard for it everyday ua-cam.com/channels/TZs15hG3gPgk0J7u4NgPhg.html

    • @bonifacentunzwenimana128
      @bonifacentunzwenimana128 6 років тому

      Nakubali kuahiyi nyimbo nzuli.

  • @mikejr.7717
    @mikejr.7717 5 років тому

    Asante Sana mdogo wangu kwa wimbo mzuri uliojaa mafunzo hasa kwa watu wanakomolewa kama mm. Ila Sasa sitakomolewa Tena!

  • @hamiduidris4397
    @hamiduidris4397 6 років тому +8

    Nko France Paris ngoma kali naombeni like tano tu kama na nyie mmeuelewa huu wimbo Yaan vibe kama lote

  • @boscoblondy536
    @boscoblondy536 6 років тому +356

    wakenya mko wapi kwa likes za Dogo aslay

    • @williamyahaya8916
      @williamyahaya8916 6 років тому +2

      Nipo india ata kiswahiri sikijui lakini uu wimbo umenifanya niweze kujifunza na kuanza kuandika kiswahili kama na wewe aujui kiswahi na uu wimbo umekufanya ujue kiswahili kama mimi like apa

    • @lazarusmusau4222
      @lazarusmusau4222 6 років тому +1

      Tupo Bro naipata nikiwa Namibia tuzidi kupiga Moyo dogo Aslay zidi kuwakilisha Afrika Mashariki

    • @boscoblondy536
      @boscoblondy536 6 років тому +1

      safi kabisaa

    • @boscoblondy536
      @boscoblondy536 6 років тому

      safiii

    • @jackfesto8373
      @jackfesto8373 6 років тому +2

      bosco mutungi good sana

  • @AmaniChalale
    @AmaniChalale Рік тому

    aslay hongera sana .kwakweli ujumbe umefika kwa wote, kweli wimbo huu kama unapitia changamoto ya ndoa utatokwa na machozi.

  • @juleanngashville
    @juleanngashville 2 роки тому +14

    🔥🔥aslay never disappoint and our very own dj shiti
    Much love from kenya

  • @joantam5856
    @joantam5856 2 роки тому +2

    Congrats sir... your songs make my day better bright and jovial

  • @hemedali85
    @hemedali85 6 років тому +1

    aslay ni noma kama nawe una mkubali gonga like hapo chini

  • @ainga93
    @ainga93 6 років тому +35

    Before 100 views I was here. My best bongo artist. Still waiting ile collabo yako na Otile Brown. +254 well represented.

    • @sheikhasaid3646
      @sheikhasaid3646 6 років тому +1

      Mbona imetoka kitambo hio collabo jaman

    • @ainga93
      @ainga93 6 років тому

      @@sheikhasaid3646 waliupload then wakatoa.

  • @goneent.
    @goneent. 3 роки тому +26

    Just discovered this addictive song....bravo Aslay.😘😘😘😘😘

  • @fatyqueen346
    @fatyqueen346 5 років тому

    Nakuombea dua usonge mbele zaidi bro

  • @mohamedyally4782
    @mohamedyally4782 6 років тому +7

    wimbo mzuri km unamkubali aslay acha like

  • @xbo2_gebze577
    @xbo2_gebze577 6 років тому +6

    Dj 😊shiti vixen #kenya in the building #aslay tosha #mapenzi jamani 😋😊

  • @dickensjrramon6773
    @dickensjrramon6773 6 років тому

    napenda ngoma za aslay.....hii nayo iko top

  • @joseecontroversial8720
    @joseecontroversial8720 6 років тому +4

    Mbosso anatoa Nadekezwa, Nipepee na baadae anatoa Hodarii zote zina-hit, Aslay anatoa Natotoa, Kwatu na hii nyimbo yake ya leo zote zinabuma...anapata mawazo, anaugua vidonda vya tumbo, anakonda, ANAKUFA..

    • @raphaelbaraka7610
      @raphaelbaraka7610 6 років тому

      Anaangushwa na managent hataki kutumia pesa kuinvest kwa mziki atabakibaki,,,

  • @felixmakinda7375
    @felixmakinda7375 6 років тому +6

    With love from Thika Kenya 🇰🇪... Aslay 🔥

  • @abiliodasnevespereirajose6273
    @abiliodasnevespereirajose6273 6 років тому

    Katika mapenzi na hata mimi ni mionyesha mikono ju hukmusumbiji nilipo🙌🙌🙌. Sikh hizi ninafuatilia masomo tu basi. Ninaithaji niwe 🎓. Zimebagia miaka miwili tu basi.

  • @munyarubugaismailally111
    @munyarubugaismailally111 3 роки тому +1

    Jamaa anajuwa👊🏼👊🏼
    All the way from 🇳🇦🇳🇦