Afadhali James umefupisha kazi kama umekubali James kwakufikisha salama za mapenzi kwa Victoria dhidi yake na Brown 😂😂😂😂weka like na tumpee James maua yake🎉🎉🎉🎉🎉
Vick anatabia poa ila tina moto wakuotea bali sipedi hio tabiaYake na loveness namupeda na Kelvin namupeda sana ❤na brown nusunusu james hii ndio nimeona kidogo ako poa lakini nawapeda wote kabisa kiogosi Kelvin kipesi sana
Tunaoamin tabia ya tina hata kwnye uhalixia wa maixha ni hiyo hyo gonga like apa tujuane😂😂😂
so kweli bhnaa..Tena usikute uyu ndo live anatabia nzuri atr
Hio nkwel Mana uhalisia wa mutu anajulikana kupigia monekano
❤❤❤
Ndy mana ata wanapomoa mtu cast wanaangalia insyomhusu
Na ndo mana at kama ni mshabiki wa ruta man au boncena ile tarzan au love bites yule happy analia lia sana ivo bas ni character inayomfaa na anaiweza
Bwana yesu asifiwe asalaamu walekum yoyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
❤❤
Amen
Amin
Amina
@@mohamedlopa8410
Amen
Jamani mmetucheleweshea sana adi tuliimisi wangap mnakubaliana na mm gongeni like kama zote
😂😂😂😂😂😂James kiboko bwana 😂😂😂
Km wakubali James n Brown like apa please 🙏🙏 team Victoria 🥰🥰🥰🥰🥰💞💞💞🇰🇪🇸🇦🇸🇦
hizi likes mbn sipewangi Mimi ama juu Mimi NI mkenya?Ka si vo bas nipeni sai
Maua ya James yako wapi jamani😂😂😂 James nakupenda bure
❤❤❤❤❤
😂😂😂😂 mwambiee James brown anaxungukaaa
Jaman like hata kumi tu cjachelewa sana😂😂🎉
Jems umekata utepe name kupenda bule upendi kuchelewesha mambo kama blown 😂😂😂😂 safi sana❤
Nimezipenda swaga za james kama umezikubali pia gonga like jamaa anaenda step kwa step😅😅😅
Jemes amecheza bana
Kamsaidiya broun maana kama ye anafanya masiyara
Yan angekuwa karbu ningempa zawad 😂😂😂🎉🎉🎉
Mbona Tina unakua kinganganizi kwanini usifanye kilichokuleta kwasababu uligonga mwamba mwenyewe
Asante sanaa james😂😂 ebu pea james like 😂
Katika hii movie James amekuwa rafiki mwaminifu cjui huko mbeleni😂😂
Humu yuko hvy hvy, ❤, lkn kwny mtoto wa boss na dada wa Kaz mmh, James mnafkii daaah
Humu yuko hvy hvy, ❤, lkn kwny mtoto wa boss na dada wa Kaz mmh, James mnafkii daaah
Nkuambia adi raha ak na anavyomuita brown boss ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@@JullianaEmmanuel-tm5xgehhh kule James alichomaaa😅😅
H😂😂😂😂😂huku james hajawa kama kule kwa kelvi na amina na lovenes 😂😂😂😂😂 basi ukute hapo anajikaaaazaaaaaaa😂😂😂
Nataka kuonja na mm like
😂😂 onja dear
😅😅😅
Ndo mumupe like 4😂😂
@@thabitharange-vz2ru asanteee
@@emtonboyofficial1134 ongeza sauti
Kazi nzuri Wana donta🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤brown fukuza Tina katika campuni yako,, utakosa Vicky sababu ya tina😂😂😂
Brown vicky ameregea fanya mambo waja kusubaa 😂😂❤❤
Daaah ila ndugu yake James ana maneno mdomoni daaah embe na chumvi❤
Mimi Leo tenaaaa the first ❤❤ naombeni likes zenu
Wa kwanza kucomment from +254 munipee likes jamani❤
Uipeleke wapi
Team brown nmefika
Duh nasema wskwanza kumbe wa nne😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Leo wakwanza gonga like
Naomba like zenu watu wangu nimechelewa
James ww kiboko kuku yuko wapi james😂😂😂😂😂alafu brown naww una muangalia vik na nyege zote❤❤
Vick mwanibamba wakti ulikua mkli kumbe ni wewe utaingia 18😂😂brown chukua mauayko ❤❤❤❤❤❤❤
Filamu hii ni nzuri sana. Shida mnachelewa kutoa mwendelezo.
James wew eti kuku ulietafuta muda mulefu ikondani 😂😂😂na hembe na cumvi 😂😂😂😂 maneno yak james utatuua 😂😂😂😂
❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂
Mbona kelvin simuoni apa niliuona apo mwanzo halafu kazi nzuri sana James
Brown, James hajakosea ❤
Jemsi na kukubali sana umempa ukweli,wote vck hutakagi chelewachelewa itaumiza matumbo😂😂😂😂
Kabxaaa 😂😂😂😂😂😂😂
Kweli kabisa
Wakwanza leooo like zenuu apa please 🙏
😂😂😂 James anawezana na tina 😅😅 kama mnapenda James anavyo act gonga like please🎉🎉
James napenda unavyo gonga ndipo😂😂😂yaani huna mda wa kupoteza😂😂😂❤❤❤❤🎉
Kutoka DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nimechelewa kidogo ❤❤❤
😂😂😂😂😂jemsi kuku upo ndani,🤸🤸🤸🤸
huyu brown alianguka na gunia naomba James amjukue huyo kuku
Congratulations kmama 🎉🎉hapo from Kenya my brother nimekupenda Na msimamo wako ak nipe like please
Well
James kamaliza jambo😂😂😂
We brown kama huwezani peana goma😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Jaman Leo nimekua wa 100
Ila James bwana kuna movie zngn unaigiza mtu wa maana sana,
❤❤❤🎉🎉🎉🎉 kabxa nampenda huyu kaka jaman
Courage ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Afadhali James umefupisha kazi kama umekubali James kwakufikisha salama za mapenzi kwa Victoria dhidi yake na Brown 😂😂😂😂weka like na tumpee James maua yake🎉🎉🎉🎉🎉
Nawapenda Sana ❤️❤️ nipeni like zangu na mm leo
James and brown much love ❤❤❤from kenya
Kazi nzuri from Dodoma bungeni mapemaaaa
James nakukubali sana😂😂😂😂😂unanifurahishaga sana 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Safiii
Wakwanza ni Mimi apa leo naomba like ❤
❤
Number 1💕💕💕
Niko hapaa❤
💐💐💐🥀🥀🥀 haya sasa Jemsi na brauni shikeni mauwa yenu
Nmependa vile James anachanua brown❤ hongera sana James ❤🎉
Ila ukweli mchungu mnatucheleweshea sana stori jamani.
Tunaomba mtufikirie kwa hilo.
Nimewahi nawapenda sana
Leo nimewai naomba like zangu
jamani tina uyu👐👐👐
Ila victory ukitabasam mzuri sana ❤
Wakwanza tokea Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kenyans mko wapi???
Nakupenda sana jemsi jaman na brown na viki nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
Acheni kuchelewesha movie mwatuboo sana
Kwenye hii casting mbona vic hayupo wakuu @donta family
Vic yup huyo mbona Vicky yupo
@@user-xo7ns7bc8c hayupo kwenye casting ila kwenye movie yupo
Vicky ni huyo ambao anapendwa na brown .sema mtu hauko ni kelvin
@@user-qi6jt7rt7t sjui unaelewa maana ya casting mkuu! Nahisi hujanielewa bado
Napenda hii movie sana
❤❤❤❤❤❤me to ak movie nzur xan hongereni xn washiriki naona inakoenda itakua nzur zaid 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉big up
Nimewai Leo toka kenya❤
Oyoooooooo wap team kelvin like nying kwa kutuwaishia movie yetu
Brown acha kuwa na akili za kipimbi
Jaman mnachelewesha sana mpka m2 unasahau kipande kilichopita kimeishaje😢😢
Asante kaka Jemsi wewe bwana unajuwakuongea sana naunaushauri mzuli sana na unamwambia ukweli haswaa brown mana brown bubu kiukweli
James unajua unajua teina😂😂😂❤🎉🎉
Ila James unajuwaga kutufurahisha sana mambo yako kuku mnae kuchinja aaaaaaah and brown ❤
Daah!!!!! Wanawake bana
Leo wa100k gonna like Kwa wingi 😂😂
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
James Shikamoo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nimecheka et funga kifungo,,, Hapo
Nice jems
James katoboa 😂😂😂😂
Yani mshauri wa Brown wanikosha sana😂😂😂 nawapenda bure❤
Tina Tina Tina acha kinganganizi weye😂
Vick anatabia poa ila tina moto wakuotea bali sipedi hio tabiaYake na loveness namupeda na Kelvin namupeda sana ❤na brown nusunusu james hii ndio nimeona kidogo ako poa lakini nawapeda wote kabisa kiogosi Kelvin kipesi sana
Namm nimewah leo
🎉
Yan kwenye hii movie jaman james umefanya mmbo mazur xan 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamaaa anazngua na yeye brown kummke dah kwan anaona aibu
Tina wacha uzembe kazini kisa na maana unata kurudiana na Brown,wewe mwenyewe ulicheza na nafasi uliyokuwa nayo sasa sahau kabisa
Mungu awabariki sana, wote mnao fuatilia don't tv, sema amina
James naona kanogesha mambo maana broun ye naona kama haeleweki vile kupiga mistari anashindwa kazi kumudekeza Tina we subiri utamuona uyo ndo Tina
Sister vicky in reality wewe ni mrembo sana ❤nilikuon mahal
Tumeisubir kwa hamu alooo❤❤
Safi sana James simama na msimamo huo huyo ❤🎉
Nimeisubili yaani nzuri sana ila amina jamani simuoni😂😂😂😂
Mara kwanza kuacha comment apa! Naomba 100 like
Nimependa sana leo James umetishaaaaa nipo Mozambique
Ujakosea James lafikiako domo zege😂😂😂😂😂
Kenya Watching
Wote wanao penda izi vidéo za Hawa watu wagonge likes zao
Kazi nzuri wana donta🎉🎉🎉❤
Wa kwanza mm from USA 🇺🇸 nipen likes zangu
Asante sana jems kumuambia Vick ukweli ,mungu akubariki JM jms
❤❤❤❤❤❤
Next