FAHYVANNY Afunguka KUCHUKIWA na MAMA DANGOTE/ Awataja HAMISA, TANASHA/ Kuvaa KIGODORO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 181

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 роки тому +15

    Nampenda uyuu dada anayo tabia kama zangu za kuwa mpolee nakuwa wamoto motoo tenaaaa 💋♥️♥️♥️♥️

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 роки тому +1

    Chuiii nexti levo misic na ravnnyn Chuiii NEXTl LEVO MISIC RAVNNYN macvoice NEXTI LEVO MISiC

  • @perrygeorges
    @perrygeorges 4 роки тому +14

    Well done umejibu maswali vizuri sii kama Nana maringo tupu💕

  • @nellyflo9736
    @nellyflo9736 4 роки тому +6

    🙄🙄🙄niulize nyie watangazaji Huw munatubeba aje kichwa cha habari n tofauti na mahojiano wololo.. ..all i love you 😘 ❤ favyvanny.🔥🔥🔥🔥🔥🔥majibu huwa unajibu vizur mpole all

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 3 роки тому

      Yani wanatubeba nyanya za kuoza sana😃😀😃😀😀

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 4 роки тому +77

    Kama umesikia kuvaa kigodoro sio dhambi tupia like yako hapa😁😂😂😂

    • @deborasalum1015
      @deborasalum1015 4 роки тому

      Nikwer sio dhambi kama hujajaliwa

    • @divinebernard1047
      @divinebernard1047 3 роки тому

      Kawajibu nyinyi ambao amuchoki kutwa kumufatiliya

    • @royalkairo8819
      @royalkairo8819 3 роки тому

      Not sure if anyone cares but if you guys are stoned like me atm then you can watch pretty much all the new movies and series on InstaFlixxer. I've been binge watching with my girlfriend for the last couple of months :)

    • @huxleykylo5711
      @huxleykylo5711 3 роки тому

      @Royal Kairo yea, I have been using InstaFlixxer for months myself :D

  • @ruthmusau5190
    @ruthmusau5190 4 роки тому +8

    Nampenda uyu dada..anaprotect familia yake sana

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 роки тому +45

    Naona skuizii kaacha yale mambo yake yakusema no comment. Kama umegundua pia ww achaga like tukiendaga

    • @angelpritchard9399
      @angelpritchard9399 4 роки тому

      Aliekuwa anasem hiv ni tessy siy huy

    • @yunyun799
      @yunyun799 4 роки тому

      @@angelpritchard9399 yeye pia ali kuwa ana xema 😂😂

  • @rosemarymushi6592
    @rosemarymushi6592 4 роки тому +14

    Ongera my pambana usikubali kukatishwa tamaa

  • @katealias5255
    @katealias5255 4 роки тому +15

    Nakapenda sana haka kabinti

  • @beatricemkinga3351
    @beatricemkinga3351 4 роки тому +2

    Nakupenda dada Mungu akutunze na nyie mnaomchukia kafieni mbele uko mwacheni mtt wa watu

  • @maliamhamdun3115
    @maliamhamdun3115 2 роки тому

    Fayma love you 💕👌 pend Sana 😍🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @irenemsumba6776
    @irenemsumba6776 3 роки тому

    Hongera mdogo angu umekua pia piga kazi mdogo angu

  • @okelinawilonja2490
    @okelinawilonja2490 4 роки тому +5

    Fahyma unapendeza 😍😍😍🧡🧡

  • @venicevicent9389
    @venicevicent9389 4 роки тому +25

    Leo akili imemkaa sawa kila swali anajibu kapunguza mashauzi mxeew

    • @angelpaul2048
      @angelpaul2048 4 роки тому +2

      Kuachwa sio mchezoo

    • @nyarkebs1569
      @nyarkebs1569 4 роки тому +1

      😄😄😃😃dunia duara

    • @venicevicent9389
      @venicevicent9389 4 роки тому

      @@nyarkebs1569 alijiona kafika

    • @watakaniitaje1215
      @watakaniitaje1215 4 роки тому

      @@angelpaul2048 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani kuachwa kitu chengine aiseee ndo maana katulia mno yaani Kawa mpole

    • @halimahalima5802
      @halimahalima5802 4 роки тому

      Haha

  • @Kanicynjuguna
    @Kanicynjuguna 4 роки тому +7

    Aaaaiii Tanasha anafaa kigodoro wapi na hatuoni 🤣😅😅😅🤣🤣🤣lakini kwa hamisa tunaona tena 🤣

  • @RAYJAY-xy1jp
    @RAYJAY-xy1jp 4 роки тому +10

    Congrats 🥳🥳🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪

  • @suzienambugua6946
    @suzienambugua6946 3 роки тому

    Nampenda faymah ...u r the most beautiful baby girl

  • @emmagracerodgers2283
    @emmagracerodgers2283 4 роки тому +3

    Fayvanny❤️😍😍

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 3 роки тому +3

    Yale mapicha uliyokuwa unapiga mbona hauyafanyi tena? Au dishi limeyumba.. maisha yanapanda na kushuka naona umenyooka kweli.

  • @calvinloveambroce842
    @calvinloveambroce842 4 роки тому +8

    Naomba kuuliza hivi harmonize na harmorapa ni ndugu wa damu moja maana wamefanana

    • @asyamgeni9819
      @asyamgeni9819 3 роки тому

      Hawajafanana hata kidogo ukiwatizama kwa karibu msijidanganye sio ndugu

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 3 роки тому

      Hahahaha

  • @biaysha8553
    @biaysha8553 4 роки тому +2

    Msambaa girl mashaAllah

  • @millicentayittah674
    @millicentayittah674 4 роки тому +9

    Interview in English pls 🙏🏾🙏🏾we don’t understand even thou we r funs 😟

  • @jescanorbeth9891
    @jescanorbeth9891 4 роки тому +15

    Jamaniii mbonaa km anaaa makengezaaa au

  • @divinebernard1047
    @divinebernard1047 3 роки тому +1

    Nakapenda aka ka dada jamani

  • @AnithaNsengiyumva-i2u
    @AnithaNsengiyumva-i2u 18 годин тому

    0:30

  • @fatmann6341
    @fatmann6341 4 роки тому +2

    Amenenepa mashallah pambana shost akuna kukata tamaa

  • @jestinakanji8168
    @jestinakanji8168 4 роки тому +5

    Apo sasa kigodorooooo,🔥🔥🔥🔥🔥💃💃

  • @wemaomarywema6852
    @wemaomarywema6852 4 роки тому +2

    Umenenepa best

  • @zulhatmsakuz1137
    @zulhatmsakuz1137 4 роки тому +17

    Baada yakuachwa kawampole mashauz yameisha mfyu

  • @restutaaloyce3972
    @restutaaloyce3972 4 роки тому +2

    Nampenda huyu dada sijui kwann watu wanamchukia

    • @beatricemkinga3351
      @beatricemkinga3351 4 роки тому

      Roho mbaya tu zinawasumbua mdada yuko poa tu

    • @queen.christelle1
      @queen.christelle1 3 роки тому

      Chunguza interview zake za zamani wakati ana ishi na Rayvanny utajua ni kwanini wanamchukia

    • @queen.christelle1
      @queen.christelle1 3 роки тому

      ila kwasasa watu wemependa kumuona anaogea kwa upole na kujibu maswali vizuri kibinadamu kwa heshima

  • @dianakaaya7983
    @dianakaaya7983 4 роки тому +1

    umejibu vzur sanaa yan

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 4 роки тому +23

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umekuwa mpole sana sikuizi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 4 роки тому +2

      Chezea wajumbe wewe🤣🤣

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 4 роки тому +1

      Alikuwa na majivuno sana wacha atuliye

    • @leticiaelias7543
      @leticiaelias7543 4 роки тому

      Umeona eeh?

    • @nurujuma5346
      @nurujuma5346 4 роки тому +1

      Ukiachwa alafu ukirudiwa lazima uwempole

    • @pili3750
      @pili3750 4 роки тому +4

      Alafu anamakengeza 😂😂😂

  • @enzompelasoka
    @enzompelasoka 4 роки тому +5

    Nice 👏

  • @ivynzuki6708
    @ivynzuki6708 4 роки тому +2

    Smart lady

  • @jeyshillyjack4470
    @jeyshillyjack4470 4 роки тому +8

    Dar, Kwani ulirudi pole pole Kwa Rayvanny

    • @mereyamhomesmariamhomes3464
      @mereyamhomesmariamhomes3464 4 роки тому +2

      Kwani kunasehem wasema kama wameachana au yalikuwa maneno ya watu tuu

    • @nellyflo9736
      @nellyflo9736 4 роки тому +3

      @@mereyamhomesmariamhomes3464 🤣🤣🤣ya watu wawili ukiingilia yatakushinda

    • @pinkygrey3459
      @pinkygrey3459 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 3 роки тому

      Wameachana bado hawajarudiana ndio nataka no zafahyma nimuozeshe kakaangu wanaendana kbisa mana brother Wangu nimweeupee kisha mrefu nimzuri kbisa naombeni no zake

  • @nayfatsalim7828
    @nayfatsalim7828 4 роки тому +2

    Umejtahdi jmn Leo sjaskia No comment

  • @leticiaelias7543
    @leticiaelias7543 4 роки тому +11

    Yaani sahivi kisilani kimemuisha nyondo zote zimeisha kipindi yupo na ray alikuwa anajibu majivuno sana akiwa hivihv hadi raha

    • @khadijaabdallah8306
      @khadijaabdallah8306 4 роки тому +1

      Fayvan nakuoenda bule Dada angu usiskilize maneno ya watu fanya kazi mama

    • @kibadasda4395
      @kibadasda4395 4 роки тому +1

      Fahyma fanya shughuli zako tunza mwanao achana na hao wenye roho ya kwa nini halafu usiweke mambo yako kwenye mtandao wewe sasa hivi ni mama weka akiba unachokipata usijali mambo ya kwenye mitandao

  • @josephkimogele3484
    @josephkimogele3484 3 роки тому

    This girl is smart

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 роки тому +9

    Kamrembo sana😍

  • @princess-uf5ux
    @princess-uf5ux 4 роки тому +10

    Naona umetulia

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 4 роки тому +5

    They don't know anything kuhusu mavazi (wa Tz)

  • @shangwekamando2599
    @shangwekamando2599 4 роки тому +4

    Ila Hiyo miwani Kwenye macho vipi

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 роки тому +4

    Uyu dem ninzuri sana na Amekua mpole

  • @emilymideva8783
    @emilymideva8783 4 роки тому +2

    Nice interview fyvanny

  • @mwasimbega8712
    @mwasimbega8712 4 роки тому +8

    Wa 4

  • @frederickkimweri1899
    @frederickkimweri1899 4 роки тому +4

    Duka lipo wapi wajamani

  • @maurineladasha9958
    @maurineladasha9958 4 роки тому +3

    Hiyo sweeter ni pesa ngapi?

    • @husnaabdul8300
      @husnaabdul8300 4 роки тому

      😂😂😂

    • @mwanaharusialifakifaki8716
      @mwanaharusialifakifaki8716 3 роки тому

      Hawa wasanii huwa wananichekesha sana maana hapa bongo hakuna baridi ya kufaa swetar wengine huvaa viatu vya winter makoti ya winter bongo wanatafuta kuripuka🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄😀😀😀

  • @nusaybasaid3378
    @nusaybasaid3378 4 роки тому +2

    Dah kawa mpole km sio faima 2019 mwisho mwisho

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 роки тому

    Fai wake

  • @sakinahussein6656
    @sakinahussein6656 4 роки тому +4

    Duuuuuuu sikuhizi kawa mpoleeee

  • @praxedadominic5193
    @praxedadominic5193 4 роки тому +2

    Nakapenda sn aka kadada ❤️

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 роки тому +10

    Fahma anajua kuvaa jamani mwacheni

    • @mutwalesylvie7443
      @mutwalesylvie7443 4 роки тому +5

      Kweli kabisa tena kwenye I m zuchu aliva kipekee sana watu awakuagi nakubali vyakwao sijuwi kwanini

    • @blandinamnyinga8318
      @blandinamnyinga8318 4 роки тому +2

      @@mutwalesylvie7443 wivu wabongo huwa hatutaki kukubali kwamba alipewa kapewaaaa jamani""Mungu hawezi kukupa vyote"

  • @KIDEMA
    @KIDEMA 4 роки тому +3

    Tafadhali nawaomba ndugu zangu kwa Ku comment Ku Shea Ku like na Ku subscriber hakika ukifanya ivo utakua umenisaidia sana asante

  • @janembawala6009
    @janembawala6009 4 роки тому +12

    Wakisuka nywele mpya wanataka interview

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 4 роки тому +12

    Kumbe huyu bint anamacho ya kengeza🙄haraf kamevimbiana mashavu sijui kanabuga ugolo😂😂

  • @luckyvenance4576
    @luckyvenance4576 4 роки тому +2

    Mbona hamtuonyeshi hivyo vitu sasa

  • @Roncita-c5k
    @Roncita-c5k 4 роки тому +7

    Inchi za inje zipi ushawahi kwenda?kama sio SA na na nigeria?😃😃

    • @ummysalumu6606
      @ummysalumu6606 4 роки тому +2

      Ndo izo izo jamani si nchi za nje wabongo mnaboa sana

    • @Roncita-c5k
      @Roncita-c5k 4 роки тому

      @@ummysalumu6606 lol 😆 sasa nigeria na South Africa ni inchi za inje?

    • @juliejulie8704
      @juliejulie8704 4 роки тому +5

      @@Roncita-c5k hivi wewe Una hakili kweli sasa SA au Nigeria kwahiy nimikoa ya tz

    • @pinkygrey3459
      @pinkygrey3459 4 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ashuraussein7582
      @ashuraussein7582 4 роки тому

      @@juliejulie8704 🤣🤣🤣🤣

  • @sirlankagirl6256
    @sirlankagirl6256 4 роки тому +6

    Mie kigodolo navaa sasa muniuwe eheee😁🤪🤪🤪

  • @amourali242
    @amourali242 4 роки тому +6

    👋👋

  • @winfridapeter969
    @winfridapeter969 4 роки тому +2

    😍😍fayvan

  • @esterkimario1126
    @esterkimario1126 4 роки тому +6

    kichwa cha habar na anachokiongea ni tofaut

  • @Thesamdupendo
    @Thesamdupendo 4 роки тому +6

    Waoooo

  • @fetty1571
    @fetty1571 4 роки тому +1

    Kwa matatizo ya michirizi, makovu, nyama uzembe, kuongeza shape, hips,miguu,kutoa mikunyanzi, kurefusha nywele, kupunguza matiti, kuwa softi, n.k
    Karibu ofisini, SMS/whatsap 0693_330284

  • @Sppah697
    @Sppah697 4 роки тому +6

    Kusema ukweli hata mimi nakuchukia sana wewe Fayvanny

  • @aminafarjala2578
    @aminafarjala2578 4 роки тому +3

    Akaa mjamzito

  • @Excuvation04
    @Excuvation04 4 роки тому +1

    Hizi captions zenu za uongo zitafanya nisi-subscribe

  • @abbyjr164
    @abbyjr164 4 роки тому +2

    Tuonesheni bac ilo duka na sehemu gani

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 4 роки тому +2

    Unaiga sauti ya mrembo mmoja acha ujinga huna lolote.

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 4 роки тому +9

    Duu kigodoro kilasiku ukipiga PC unakivaa wacha uwongo

  • @xtashrayvash2996
    @xtashrayvash2996 4 роки тому +6

    Rayvanny kakwachua mtoto atali

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 роки тому +2

    👏👏👏👏

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 4 роки тому

    I love her sana🤪🤪🤪🤪

  • @saudaahmed6818
    @saudaahmed6818 4 роки тому +2

    Caption ya uongo ata siezi subitu ku subscribe

  • @neemacharles9878
    @neemacharles9878 3 роки тому

    Leo adabu mkononi dada hahaaaaaaa chezea mtanga kuachwa

  • @nassorolaizer8486
    @nassorolaizer8486 3 роки тому

    Ana meno mengi au hiyo ongea vip

    • @nurumshindo8669
      @nurumshindo8669 3 роки тому

      Waja hamuishi maneno em chunguzen yenu kwanza kaz kusema ya w2 tyu utadhan nyny wakamilifu

  • @joycestephan3270
    @joycestephan3270 4 роки тому +2

    Huhuhuhu comment zenu konkiii

  • @silvesamweli7697
    @silvesamweli7697 3 роки тому

    Leo ushauli wake kwako uko wap

  • @techy_jesse
    @techy_jesse 4 роки тому +6

    wa pili

  • @nuratysomji8145
    @nuratysomji8145 4 роки тому +1

    Mmh

    • @sharonachieng3442
      @sharonachieng3442 3 роки тому

      I love you fayvany ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️wewe mzuri sana mwaaaaaah

  • @nassorolaizer8486
    @nassorolaizer8486 3 роки тому

    Ana makengeza eeh

  • @mercywamucii1786
    @mercywamucii1786 4 роки тому +6

    Lol

  • @sumaboyclassic7071
    @sumaboyclassic7071 4 роки тому +2

    Amkome

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 4 роки тому +2

    haaaaaaa

  • @maryannqueen7356
    @maryannqueen7356 4 роки тому +4

    Ni Mimba??? Ama kunenepa??