Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
SAFI SANA SEMAJILA CAF MUNGU YUPO UPANDE WETU
Yanga bingwa
Amna kitu hapo nyie endeleeni kujenga timuu
Mngekuwa mnajua mngepigwa mechi nne mfululizo??? UBINGWA mtausikia kwenye Bomba!
Endeleeni na ushindi wenu wa mchongo😂😂😂😂😂😂😂
Anabweka.kwa maumivu ya kugongwaara 4 mfululizo hana jambo huyo
Mwsho wa msimu kombe la asali linawahusu😂😂 maana kila msimu sherehe zenu n yanga kufungwa ila kombe linaenda😮😮
Utakula harufu ya kombe wewe. DHALAU kwisha
Kombe Linawaaga kiaina
Kwani simba mumekosa mchezaji mpaka mumchukue pacome tuwache ushamba huo nyinyi simba na yanga hio tabia yakuchukuliana wachezaji sio nzuri huyo mchezaji atarogwa hata mpira asicheze
Masanda mtazidi kupukutika Kam upepo wa kiangazi ,,hamna lolote ngonjera kibao
Hii ya majasusi watu nimeipenda yani wamesajir chama na bareke kuna namna wanalipwa mishahar miwili
Mbana pua povo linamtoka 😏😏
Yanga uko kwen kimetokea nini wazee wahurumiwe tuu aisee hawaelewe chochote ni ukosefu wa maharifa mwilin wajua tu juju hakuna kingine
❤🎉🎉🎉🎉🎉
Makolo amna kitu yan kidg tu shida kibao
Mtu ambaye hajuh kutofautisha Jez anaweza asijue ni msemaji wa tim gan .. Aelewekiii
Yanga mmeshachanganyikiwa hamuelewi kitu nyie
😂@@Jannatxlunner😂😂😂
@@JannatxlunnerTena vimechanganyikiwa sio padogo 😂
We ukifungwa tena utalia 😂😂😂
Duu wenye nchi tena baba wanuksi toka umekuwa msemaji wa simba, Simba fc hanachukua kombe lolote, mdomo wenye mikosi simba, yanga ndio mfalme wa Tanzania Y
Kila jambo na wakati wake we subir utalia sana
Tulia lamb asali kwanz
Baka na job wakiumia mnaumbuk hahaha bado ligi ndoimeanz
Kazi mnayo😂😂😂
Mshajaa kwenye mfumo ni mwendo wa maskitiko 😂😂😂😂
😂😂😂😂ubaya ubwela tu
semaji kama chizi tu
Kweni anashida gan kip usicho kielewa hapo au wewe ndo mkosefu wa maharifa mbona asilimia kubwa ameongelea timu yake husika
Mlianza naManzokiMayeleAziz kSasa pacomKweli hii mijutu ni mizuzu inakenua meno na kuchekelea huku wakijua wanadanganywa na Comedy wao
Ubaya ubwela
Kumbe ilikuwa inawauma Sana hao. 😂😂😂.
SAFI SANA SEMAJILA CAF MUNGU YUPO UPANDE WETU
Yanga bingwa
Amna kitu hapo nyie endeleeni kujenga timuu
Mngekuwa mnajua mngepigwa mechi nne mfululizo??? UBINGWA mtausikia kwenye Bomba!
Endeleeni na ushindi wenu wa mchongo😂😂😂😂😂😂😂
Anabweka.kwa maumivu ya kugongwaara 4 mfululizo hana jambo huyo
Mwsho wa msimu kombe la asali linawahusu😂😂 maana kila msimu sherehe zenu n yanga kufungwa ila kombe linaenda😮😮
Utakula harufu ya kombe wewe. DHALAU kwisha
Kombe Linawaaga kiaina
Kwani simba mumekosa mchezaji mpaka mumchukue pacome tuwache ushamba huo nyinyi simba na yanga hio tabia yakuchukuliana wachezaji sio nzuri huyo mchezaji atarogwa hata mpira asicheze
Masanda mtazidi kupukutika Kam upepo wa kiangazi ,,hamna lolote ngonjera kibao
Hii ya majasusi watu nimeipenda yani wamesajir chama na bareke kuna namna wanalipwa mishahar miwili
Mbana pua povo linamtoka 😏😏
Yanga uko kwen kimetokea nini wazee wahurumiwe tuu
aisee hawaelewe chochote ni ukosefu wa maharifa mwilin wajua tu juju hakuna kingine
❤🎉🎉🎉🎉🎉
Makolo amna kitu yan kidg tu shida kibao
Mtu ambaye hajuh kutofautisha Jez anaweza asijue ni msemaji wa tim gan .. Aelewekiii
Yanga mmeshachanganyikiwa hamuelewi kitu nyie
😂@@Jannatxlunner😂😂😂
@@JannatxlunnerTena vimechanganyikiwa sio padogo 😂
We ukifungwa tena utalia 😂😂😂
Duu wenye nchi tena baba wanuksi toka umekuwa msemaji wa simba, Simba fc hanachukua kombe lolote, mdomo wenye mikosi simba, yanga ndio mfalme wa Tanzania
Y
Kila jambo na wakati wake we subir utalia sana
Tulia lamb asali kwanz
Baka na job wakiumia mnaumbuk hahaha bado ligi ndoimeanz
Kazi mnayo😂😂😂
Mshajaa kwenye mfumo ni mwendo wa maskitiko 😂😂😂😂
😂😂😂😂ubaya ubwela tu
semaji kama chizi tu
Kweni anashida gan kip usicho kielewa hapo au wewe ndo mkosefu wa maharifa mbona asilimia kubwa ameongelea timu yake husika
Mlianza na
Manzoki
Mayele
Aziz k
Sasa pacom
Kweli hii mijutu ni mizuzu inakenua meno na kuchekelea huku wakijua wanadanganywa na Comedy wao
Ubaya ubwela
Kumbe ilikuwa inawauma Sana hao. 😂😂😂.