Masiku 10 bora kuliko masiku ya mwaka mzima.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 17

  • @جزيرةعبدالله
    @جزيرةعبدالله 7 місяців тому +1

    Shukuran

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 місяців тому +3

    Marehem mama angu anaitwa marehem Shani Suleiman..alifariki 14-12-2011..jumatano saa Saba kasoro mchana muda wa adhana...nakumbuka Kila kitu ..muombee Dua shehe wng nakuomba mwambie mungu,muombee mungu wetu karim amfanyie wepes na amueke sehem salama nzuri Yani peponi. .Amin..japokuwa namim namuombeaga lakin nataka nawewe pia umuombee Dua mama angu kipenzi kabisa...mwenyezimungu amrehem uko aliko na amjalie pepo inshallah

    • @Elmitv68
      @Elmitv68  7 місяців тому

      Tunamuomba Allaah amrehemu na amsamehe madhambi yake. Aamin.

  • @AbduRaheem-k8u
    @AbduRaheem-k8u 7 місяців тому +3

    Mashallah na Asante sheikh Kwa ukumbusho na pia Kwa kutuelimisha Kwa Yale ambayo tusiyoyajua Allah akulinde na Shari Majini na watu pamoja na Sisi atujaalie kufika kwenye masiku hayo

  • @Ashoora2
    @Ashoora2 7 місяців тому

    Mashaa'Allah ahsante
    Jazzakum'llah kheri

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 місяців тому +1

    Nakupendaga Sana shehe wng baba angu Kwajili ya mungu..mungu akujalie Kila la heri na akufanyie wepesi na ubarikiwe muda wote.. mashalah shehe wng..mungu akulinde kwakila baya na mungu akupe maisha marefu yenye heri na wewe na mwenyezimungu akupe atupe mwisho mwema ..na mwenyezimungu akurehem na aturehem sore Kwa uwezo wake Allah wetu...ubarikiwe shehe wng baba angu...mashalah hakika unatuponya nyoyo zetu na unatufindisha vitu vingi vizul Kwa mawaidha yako na ukumbusho wako.... Amin amin amin🙏...

    • @Elmitv68
      @Elmitv68  7 місяців тому

      Aamin. Nami nawapenda kwa ajili ya Allaah, tunamuomba atukutanishe ktk pepo yake ya firdaus. Aamin

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 7 місяців тому

    Mungu atuwekee sheikh wetu from mwanafunzi wako NUMBER ONE UK

  • @Del_busi5
    @Del_busi5 7 місяців тому +1

    Maalim shams huwaga hatumii nguvu nyingi sana anapo tupa elim, Shukran sana maalim, ALLAH akupe pepo kwa huruma wake

  • @abuuruqayyah3200
    @abuuruqayyah3200 7 місяців тому +1

    Alhamdulilah

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 7 місяців тому

    Masha Allah! Ahsant 🤝❤❤❤

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 7 місяців тому

    MAASHAA ALLAH barakallahu feek

  • @makalohassan
    @makalohassan 7 місяців тому

    Mashaallah,baraka Allahu like.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 місяців тому

    Naomba Dua lako shehe wng..nanaomba pia umombee Dua marehem mama angu aliyetangulia mbele za haki pindi unapofanya ibada shehe wng baba angu...ombi langu ni hayo shehe wng kipenzi

  • @ZuhuraAbass
    @ZuhuraAbass 7 місяців тому

    Amiin thuma Amin

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 місяців тому

    Shehe wng baba angu naomba uniombee Dua niwe mtoto mwema na muombee Dua mwanangu ambaye mjukuu wako awe mtoto mwema na mwenyezimungu amfanyie wepes kwakila hatua na awe mtoto mwema na mwenyezimungu aturehem na atupe mwisho mwema...shehe wng niombee Dua .mwenyezimungu anifanyie wepes kwakila jambo anifungulie mambo yng..anijalie Kila la heri mim na mwanangu na wazazi Wang na familia yang..muombee Dua na marehem mama angu mungu amfanyie wepes na amjaalie awe mtu wapepon marehem mama angu...shehe wng naomba Dua lako ..Kwa baraka ya makum haya..nimim Binti ako Jamila athumani iddi..niombee Dua shehe ..muombee Dua na mwanangu afaulu mtihan wake wa form four anarisiti mwaka huu