HOUSE GIRL EP 14 || SEASON 2 || Love Story💕💕

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 796

  • @OmarJaffar-fw4lt
    @OmarJaffar-fw4lt 2 місяці тому +512

    bola MAMA tasha kamuona sania woyoowooyoooo mliofurah MAMA tasha kuona sania yupo na makumbato like hapa😂😂😂😂😂😂😂

    • @kalamapendo2701
      @kalamapendo2701 2 місяці тому +10

      Kwisha habari yake 😂

    • @DivineIngabire-lj3sr
      @DivineIngabire-lj3sr 2 місяці тому +1

      Kitakuj kumuramba we muace atatafuta papa badai

    • @Larvine
      @Larvine 2 місяці тому

      ⅝5​@@kalamapendo2701

    • @Larvine
      @Larvine 2 місяці тому

      ⅝​@@kalamapendo2701

    • @salhaomar5382
      @salhaomar5382 2 місяці тому +4

      Mungu amfichi mbafiki

  • @jumannerajabu5288
    @jumannerajabu5288 2 місяці тому +257

    Hatimaye tena movie yetu pendwa wanao jisikia furaha wanapoona Tasha na zatit wakiwa pamoja like zenu

    • @EvaMollel-hz2nr
      @EvaMollel-hz2nr 2 місяці тому +2

      Jaman nimefurah bas tu

    • @AishaTanzania-t1g
      @AishaTanzania-t1g 2 місяці тому +3

      Allah awabariki kwa baraka za babu alizowaombea tasha na zatiti hakika mmeendan san Tasha na zatiti🎉🎉🎉🎉

    • @saumodzumbo9671
      @saumodzumbo9671 2 місяці тому +2

      Tupo hapa

    • @Dayana-o4z
      @Dayana-o4z 2 місяці тому +2

      🎉🎉🎉🎉🎉mauwa kwa zatiti na tasha jamani 🎉🎉🎉🎉❤

    • @SAUDAALI-n6o
      @SAUDAALI-n6o 2 місяці тому +1

      mm naona raha Tasha akiwa na zatiti tena sana naona pia ndoa hakuna maana alichoona mama mkwe si dhani kama atamuamini tena

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 2 місяці тому +389

    Tulio furahi mama Tasha kumwona sania akiwa na papa like hap😂😂😂

  • @BintmohamedNasiri
    @BintmohamedNasiri 2 місяці тому +77

    Wangapi wamefurahi kumuona mama Tasha akimfumania sainia😂😂😂😂😂

  • @Brother-moses2vs7bi1v
    @Brother-moses2vs7bi1v 2 місяці тому +110

    Waliokua wametabiri kua Tasha atapata mke mwema Wala sio Sonia mikono juu🤚🤚🤚🤚

  • @AntonyDaniel-pr1vc
    @AntonyDaniel-pr1vc 2 місяці тому +23

    Nakuaminia msela kibendu hongora busu la kimataifa haipingwi nigaaz🤟🤟🤟🤟 one love 💕 mwanguuu👍💫💫💫💫

  • @salmaseleman3841
    @salmaseleman3841 2 місяці тому +35

    Tunaopenda couple ya Tasha na zatiti tujuane kwa likes🙏

  • @saraphinaJohn-k2m
    @saraphinaJohn-k2m 2 місяці тому +26

    Wanaopenda penzi la muhuni na keina tujuane,,muhuni akipenda anapenda kweri

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 2 місяці тому +40

    Uwiiiiii,,,nina furaha mama ake tasha ameshuhudia ujinga wa Sania ,,,,zatiti ndio wifi yetu

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 2 місяці тому +46

    dah nyie watu nikajua nitakua wakwanza kumbe mmeshafika ila mnanipa Raha sana nikikuta mmeshafika nawapenda wote tunaofuatilia hii muvi ila tuacheni kuomba like jamabi hazisaidii kitu chochote

  • @zippyMtali
    @zippyMtali 2 місяці тому +29

    Wow 👌 now am happy to see Tasha's mother she have seen everything Sania doing

  • @Manujuniorcaxton
    @Manujuniorcaxton 2 місяці тому +12

    Kibendu ndo ana n bamba mhuni lakin roho safi kabisa akili kichwan

  • @JascarMlay
    @JascarMlay 2 місяці тому +27

    Wanao furahiya mama Tasha kumuona Sania na papa kama mimi msininyime like plz

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 2 місяці тому +24

    Yaan kibendu ndo kashapenda hvyo, na muhun akipenda anapenda kwl,

    • @LilianMwaijibe
      @LilianMwaijibe 2 місяці тому +2

      Yaan Mimi nimefrah jamn mhuni kasha penda

    • @RASHEEDTV-c3s
      @RASHEEDTV-c3s 2 місяці тому

      Hata mm nimefrai sanah❤😊​@@LilianMwaijibe

  • @SelinahKeny
    @SelinahKeny 2 місяці тому +35

    Daaah jamn nimewahi kwely from Kenya jaman me nataka sania asiolewe na Mr tasha

  • @peterphilipo5103
    @peterphilipo5103 2 місяці тому +31

    Wa kwanza Leo mm kama kawa like zote Kwa team BUSATI TV FANS

  • @Dadiesomeoné
    @Dadiesomeoné 2 місяці тому +106

    Kam kawaid yng natembeza like tu na nyie mnipe zangu✅✅✅

    • @Noorat-hg8ut
      @Noorat-hg8ut 2 місяці тому

      ❤❤❤❤❤❤

    • @JaneWaswa
      @JaneWaswa 2 місяці тому

      ❤❤❤❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️​@@Noorat-hg8ut

  • @حسنا-ض3ز
    @حسنا-ض3ز 2 місяці тому +12

    Much love from Kenya...nipewe like na mm basi😮😮😮😢😢😢🤔

  • @IreneJustine-d9s
    @IreneJustine-d9s 2 місяці тому +11

    Nimewahii jamanii naombenii likee wa kwanza from Manyara

  • @LuciaBukula
    @LuciaBukula 2 місяці тому +20

    Jamanna me Leo cjachelewa sana wa elfu 6 naomben like naomben like jaman natokea Tz maana mm naona mataifa mengine tu Tz sioni😂😂😂😂

  • @KwochaNkulu
    @KwochaNkulu 2 місяці тому +51

    Wa kwanza kutoka DRCongo 🇨🇩 wanao furahiya kwa mama kumuona samiya na ndingi wake tiya like

  • @melanianjau3244
    @melanianjau3244 2 місяці тому +14

    Busat😂😂😂 mimi ni ddm kutoka america nawapa pongezi ❤❤❤na walio furahi mama tasha kumiona sania na papa wakipeana kumbato kwanza tunafurahi kapisha ndoa ya zatiti na tasha kama unawaza kama mm give like❤❤❤❤❤🎉🎉😂😢😢😮😅😊😊

  • @AshaBinmorisho
    @AshaBinmorisho 2 місяці тому +12

    Leo wa 5 🎉🎉 tuna enda mbele kwa mbele

  • @Manasiti-k1p
    @Manasiti-k1p 2 місяці тому +146

    Mko wapi tusiachwe nyuma wapenzi tunao kubali Tasha na zatiti tujuwane kwa like ❤❤❤

  • @Jenniffer-m9k
    @Jenniffer-m9k 2 місяці тому +20

    wow🎉🎉🎉wanao taman tash ampelekee zatiti kwa mamake mnipee like🎉🎉🎉🎉

  • @ChaguVeeNovida
    @ChaguVeeNovida 2 місяці тому +11

    Yani sisi wa Library tunaenjoy sana kwakweli🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jobsimpamba71
    @jobsimpamba71 2 місяці тому +31

    Wakwanza leo naomba like zamgu hapa❤ asante

  • @LeokadiaAlex
    @LeokadiaAlex 2 місяці тому +12

    Hatimaye mama tasha ameanza kuona mambo ya sania

  • @IlhamShaban-vq3kx
    @IlhamShaban-vq3kx 2 місяці тому +54

    Wakwanza kama wakwanza naomben na mimi like jamn vipnz vyangu ❤🎉🎉 ubaya ubwela

  • @MRSSUMAILI123
    @MRSSUMAILI123 2 місяці тому +24

    Wakwanza nahomba like zangu 🎉🎉🎉

  • @HappyJohn-zw5lu
    @HappyJohn-zw5lu 2 місяці тому +84

    Tim Tasha tujuane ❤

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 2 місяці тому +9

    Leo nimefurahi mama tasha kajua ukweli sania ni nani 😂😂kibendu leo ameceza vizuli kabisa mama shida akiona atafurahia kabisa

  • @Zainabu-xn3vd
    @Zainabu-xn3vd 2 місяці тому +7

    Jana nilitoa machozi tasha akisema anamuoa sania but now moyo wangu umefurahi kuona sania na papa,nipe likes bs🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MRS-g2m
    @MRS-g2m 2 місяці тому +8

    Mashaallah leo mama tasha ni lazima ayakumbuke maneno ya mwanae tasha alivyo sema sania si hadhi yake😂😂😂😂😂😂

  • @LucyKiswaga
    @LucyKiswaga 2 місяці тому +11

    Kwa mara ya kwanza kuwahi

  • @JaneMachange
    @JaneMachange 2 місяці тому +11

    ❤ kazi nzuri san

  • @ScholarRukas
    @ScholarRukas 2 місяці тому +2

    🙏👍👍😂😂 safi sana wapenz wa uongo uongo

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 2 місяці тому +12

    Hayawi hayawi lama Tasha amuoe Zatiti wangapi tunaku baliana nahiro

  • @CrecensiaMapunda
    @CrecensiaMapunda 2 місяці тому +5

    Kibendu jmn kumbe na ww una moyo wa kupenda kiasi hicho,,, nawapenda team Busata❤

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 2 місяці тому +18

    Mimi binafsi siyapendi mausiano ya sania na tasha 😂😂

  • @geleboyhuyokazianayo4599
    @geleboyhuyokazianayo4599 2 місяці тому +15

    Jmn safr hii mbn mpk nmpnda nawapnd sn BUSATI ❤❤

  • @PaulinaFrancis-l6p
    @PaulinaFrancis-l6p 2 місяці тому +3

    Tuliofurah mam Tasha kujua tabia ya Sania tujuane kwa like

  • @PhilbertHabonimana-o1z
    @PhilbertHabonimana-o1z 2 місяці тому +8

    Waoooo mama tasha anamuona Sania napapa

  • @Fettysaid-u8f
    @Fettysaid-u8f 2 місяці тому +2

    Tunae subiria ndoa ya zuku na khay kwa hamu tujuane❤❤❤🎉😊

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 2 місяці тому +52

    Leo ndo leo kma unamin tasha atampeleka zatiti kwao gonga like

  • @RozaliaStanslausRaphael-zw7zj
    @RozaliaStanslausRaphael-zw7zj 2 місяці тому +24

    Namba moja mimi

  • @RichardMuteke
    @RichardMuteke 2 місяці тому +33

    Wa kwanza leo kabisa kutoka RDC congo 🇨🇩 ambae amefurahi yakama mama Tacha amezijuwa tabia ya sania gonga lik hapa

  • @saniambaraka
    @saniambaraka 2 місяці тому +32

    Hello 💞 lovers nimekua wa kwanza leo lakin siombi likes 😅

  • @SaraSaraa-r3k
    @SaraSaraa-r3k 2 місяці тому +8

    Hatimaye mama tasha amemuona Sania alicho kifanya😮😮

  • @DainessMtewele
    @DainessMtewele 2 місяці тому +12

    Naomben like za Tasha na zatiti

  • @MiAmore-zb7nr
    @MiAmore-zb7nr 2 місяці тому +5

    Muhuni kakubali mrembo leo 😂😂😂

  • @dominanikwigize1143
    @dominanikwigize1143 2 місяці тому +9

    wakwanza msinipite jamn

  • @aishajuma7128
    @aishajuma7128 2 місяці тому +7

    Yaan huyo mamake mr Tasha amekoma kiranga😂 nimefrahi ajab

  • @KmollelEmanuel
    @KmollelEmanuel 2 місяці тому +3

    Wow mnajitahidi sana kwakazi nzuri

  • @JeanineKaneza-z6j
    @JeanineKaneza-z6j 2 місяці тому +1

    Walah Mim zatit Mr tash nawakupali San like ❤❤❤10

  • @YafitaHasna
    @YafitaHasna 2 місяці тому +1

    Eeeeeh na furaha kabisa mama kafumania mkwewe😂😂😂Tasha hongera kwa zatiti❤❤❤

  • @OmarJaffar-fw4lt
    @OmarJaffar-fw4lt 2 місяці тому +14

    Leo nimewahi jaman 😂😂😂😂😂😂 like at 20

  • @Smart7-b5e
    @Smart7-b5e 2 місяці тому +4

    Yaani nimesikia raha ilioje jamani 😂😂😂mama tasha kashuhudia yy mwenyewe na macho yake

  • @ChanellaNihorimbere-y2r
    @ChanellaNihorimbere-y2r 2 місяці тому +15

    Wakwanza🎉

  • @jennymali4368
    @jennymali4368 2 місяці тому +2

    Mmemuona muhuni na keina jamanii❤❤❤❤ nimependa sana sasa atabadilika🎉🎉🎉

  • @coachyash0019
    @coachyash0019 2 місяці тому +11

    Leo piq mutakataa kunipa like wakati nimewahi?

  • @ZAHARAADAMU
    @ZAHARAADAMU 2 місяці тому +6

    Nimefrah kuona mama Tasha kuona Sania na ujinga wake

  • @HalimaMmitema
    @HalimaMmitema 2 місяці тому +10

    Wa kwaza

  • @BahatiKadenge-n5r
    @BahatiKadenge-n5r 2 місяці тому +7

    Mamaaaaeeee kumekucha sania kashayatimba tayari

  • @ZablonLukhafwa
    @ZablonLukhafwa 2 місяці тому +8

    ❤🎉 wa 3 leo

  • @MeMere-u1y
    @MeMere-u1y 2 місяці тому +4

    Masha Allah 🥰🥰 kibendu akanifurahisha 🎉🎉🎉🎉

  • @irene-pw4dw
    @irene-pw4dw 2 місяці тому +1

    😂 Huyo ngosha bhana wanaofurahishwa na ngosha like kwang😂😂😂😂😂

  • @MasauShida
    @MasauShida 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri sana Mr. Kai🎉🎉🎉

  • @SiphaAbely
    @SiphaAbely 2 місяці тому +11

    Kama Kuna mtu amegundua nyumba anayokaa Kai saizi ilikuwa nyumba ya mama candy zaman gonga like

  • @AnnaAmanda-v4q
    @AnnaAmanda-v4q 2 місяці тому +7

    Hatimaye muhuni kapenda naombeni like zake 😂😂😂😂

  • @IrakozeOlene
    @IrakozeOlene 2 місяці тому +6

    Nimefurahi jamani kuona mama ake tasha kumuona sania jamani nimefurahi

  • @HawaOmary-gw2oo
    @HawaOmary-gw2oo 2 місяці тому +1

    Yaani HOUSE GIRL ina nipa raha sana natumai hata nyie mnaenjoy kama mimi congratulations kwa BUSATI TV 👏👏👏

  • @MackNgambi
    @MackNgambi 2 місяці тому +3

    Wow 😲 nimefulai kuona mama Tasha kuwona Sania na papa❤❤

  • @GeoffreyNyachae-gj1eg
    @GeoffreyNyachae-gj1eg 2 місяці тому +6

    Leo wa kwanza wapi like

  • @DRBEN001
    @DRBEN001 2 місяці тому +23

    Mnipee likes za wakenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 😊

    • @MariaSalim-u5z
      @MariaSalim-u5z 2 місяці тому

      Ziko na kibendu nenda mwenyewe kachukue 😂😂😂😂 mnabooo wenzenu bhana MTU kama huna chakucoment Bora Tu uworch kisha upita zako

    • @fathmambeyu8987
      @fathmambeyu8987 2 місяці тому

      Mnipe likes za kibendu

  • @BonideeNiyonkuru
    @BonideeNiyonkuru 2 місяці тому +3

    Nimefurahi sana mama tasha najionea mwenyewe

  • @RoseNjoka_23
    @RoseNjoka_23 2 місяці тому +5

    Yan ilo busu la kibendu linaondoa madoa chunusi na harara 😂😂

  • @faithkalulu
    @faithkalulu 2 місяці тому +5

    Riswaaaa🎉🎉🎉🎉 wa kwanzaa nipeeni likes

  • @rishedynassor6170
    @rishedynassor6170 2 місяці тому +4

    Kaz nzur ila uyu muhun namkabal sanah sio kwakupenda uko kibabe sanah

  • @JoyceKayombo-y3g
    @JoyceKayombo-y3g 2 місяці тому +4

    Me kibentu kanifurahishaaaa😂😂😂😂 pia mama Tasha kumuona Sania akikula hag na kiss la padi la uso huyoo Safi maana Tasha angeuziwa mbuzi kwa gunia na bado zatiti akija aseme katembea na bwanake chiko amesababisha kuachika kwasabu yake na kendy

  • @joycegodfrey4683
    @joycegodfrey4683 2 місяці тому +4

    Movie umekuwa tam balaa 😂😂😂 keyn kapata furaha ya moyo wake

  • @BeatriceMvaty
    @BeatriceMvaty 2 місяці тому +1

    We huogopi??😂😂 Leo litakufa jitu.....cy lililonileta nmefrah mam Tash kuuon uhalisia wa thania,,

  • @rosemarymoshi2428
    @rosemarymoshi2428 2 місяці тому +4

    Afadhali mweee mama tasha kaona kwa sehem kuhusu sania

  • @CresensiaEnock
    @CresensiaEnock 2 місяці тому +5

    Wa kwanza tena❤

  • @merinazyd0532
    @merinazyd0532 2 місяці тому +2

    Jamani tunahitaji zuuu apendezee❤❤❤

  • @sadikijeanespoir9348
    @sadikijeanespoir9348 2 місяці тому +13

    Like yng

  • @Aminaibrahim-d2w
    @Aminaibrahim-d2w 2 місяці тому +6

    Léo mama Tasha kajionea😂😂😂 oyeeeeeeeeeeee

  • @catherinemnyani78
    @catherinemnyani78 2 місяці тому +13

    Atimae mama Tasha anaenda kumuamin maneno ya Tasha kuwa Sania anaigiza tabiaa😢

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 2 місяці тому +1

      Nakwambiya mambo Yako muruwa weaca tu 😂😂

  • @RosekinanuGitari
    @RosekinanuGitari 2 місяці тому +2

    Hahaha am happy wow congratulations all well done ❤❤🎉🎉🎉

  • @FetrissJanni-lb5il
    @FetrissJanni-lb5il 2 місяці тому +2

    Nyie muhuniii atareee na hamia kwa kibendo cjui kibendu na demu wake..... Na Tasha kwa zatiii🔥🔥 busata wee..😲😲😲

  • @bettyojiambo8660
    @bettyojiambo8660 2 місяці тому +3

    Hii kipindi iliaza vizuri lakini naona mnaingiza vitu mbavyo havikua yani namanisha mmetoka mwenye maada jamani mbona mnatufanya tunakosa hamu ya kutazama mmakinike jamani from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MonikaMarko-dd9gp
    @MonikaMarko-dd9gp 2 місяці тому +1

    Leo nmeenjoy sana mama Tasha kumuona Sania na papa angalau zatiti atakuwa na Tasha sasa tulio furahia mje mlike hapa❤❤❤❤

  • @urbanusmasilah
    @urbanusmasilah 2 місяці тому +2

    Kendy, my favourite character ❤😂😂

  • @ReginaJoãoÁdamo
    @ReginaJoãoÁdamo 2 місяці тому +1

    Safi sana sania, umeumbuka mbele ya mama tasha😂😂😂 I love you tasha and zatiti🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @RahmaZuniba
    @RahmaZuniba 2 місяці тому +1

    Tasha na zatit mnaendana san ingependez zaid mgeowan❤❤❤

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u 2 місяці тому +11

    Jaman mana tasha acha izo za kizaman

  • @zuwenashabani7100
    @zuwenashabani7100 2 місяці тому +20

    Mambo ni moto

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 2 місяці тому

    Nataka kuona kila mtu katika hii movie ameowa ameolewa kimbendu kapata kichuna❤❤❤❤❤❤

  • @MariamKessy-v9l
    @MariamKessy-v9l 2 місяці тому +1

    Guyz nmefurahii kuona ma tasha kumuona sania na papa guyz nmefurah jmn naimn zatti ataolewa na mr tasha

  • @ZenaAfreka
    @ZenaAfreka 2 місяці тому +1

    wow jamani adi raha mna2furahisha asanteni wana busati