Hii ni kawaida ndo maana kasema ni Remix hana kosa maana Anamtambulisha mara Dufu msani alieanza kuimba ukiangalia Limbu ndo ame Copy Zilipendwa na Aka Copy mfumo wa Saida Kaloli kwa hiyo hii ni sanaa tu Wacha kijana Atafute njia ya kupitia na mafanikio ya mtu lazima yawe na mizozo na unaambiwa Polis bila mhakifu hawana Kazi 💯 big up nyanda mlola
Uko vizuri usikate tamaa 🎉🎉🎉🎉🎉
Nasoma comment jmn🤔🤔🤔
Duuuu
Hii ni kawaida ndo maana kasema ni Remix hana kosa maana Anamtambulisha mara Dufu msani alieanza kuimba ukiangalia Limbu ndo ame Copy Zilipendwa na Aka Copy mfumo wa Saida Kaloli kwa hiyo hii ni sanaa tu Wacha kijana Atafute njia ya kupitia na mafanikio ya mtu lazima yawe na mizozo na unaambiwa Polis bila mhakifu hawana Kazi 💯 big up nyanda mlola
Anafeli ila yeye Hajui hayaa sawa Kopi kopi kijana Najua na wewe unatafuta Tobo sio mbaya