Migera Studio
Migera Studio
  • 130
  • 1 591 257

Відео

Wasanii nawaeshimu naombeni munieshim Director Migera
Переглядів 248День тому
Wasanii nawaeshimu naombeni munieshim Director Migera
PAMBE MABULA _UJUMBE WA MIGERA_0746 175 761_PRD MBASHA STUDIO
Переглядів 26328 днів тому
PAMBE MABULA _UJUMBE WA MIGERA_0746 175 761_PRD MBASHA STUDIO
Timbuka Inaga_Historia Migera _Official Audio
Переглядів 26328 днів тому
Timbuka Inaga_Historia Migera _Official Audio
Juma Marco_Salima_Official Audio
Переглядів 37528 днів тому
Juma Marco_Salima_Official Audio
Maliganya_Mitandao_Official Audio
Переглядів 47328 днів тому
Maliganya_Mitandao_Official Audio
Maliganya_Bhudula_Official Audio
Переглядів 35828 днів тому
Maliganya_Bhudula_Official Audio
Bhushemeli_Ujumbe wa Director Migera_0fficial Audio
Переглядів 624Місяць тому
Bhushemeli_Ujumbe wa Director Migera_0fficial Audio
Janzula_MALEMBELA_Official Video 4K
Переглядів 550Місяць тому
Janzula_MALEMBELA_Official Video 4K
Nyanda Mlola_Wazazi_Official Video 4K
Переглядів 1,3 тис.Місяць тому
Nyanda Mlola Wazazi Official Video 4K
Janzula_TAZALA_Official Video 4K
Переглядів 1 тис.Місяць тому
Janzula_TAZALA_Official Video 4K
Janzula coming soon...
Переглядів 4332 місяці тому
Janzula coming soon...
Janzula_Kang'wa_Official Video 4K
Переглядів 1,8 тис.2 місяці тому
#Janzula#Kang'wa#Official_Video_4K#Director_Migera#
NYANDA MLOLA JINASA PRD MBASHA STUDIO
Переглядів 4772 місяці тому
NYANDA MLOLA JINASA PRD MBASHA STUDIO
Mama Huruma_ Ema_Official Video 4k
Переглядів 8532 місяці тому
#Mama_Huruma#Ema_#director_migera
NG'WANA ONKWILIMA_TUTITOGAGWA_Official Video 4K
Переглядів 6482 місяці тому
NG'WANA ONKWILIMA_TUTITOGAGWA_Official Video 4K
Mayiku Sayi_Jaga_Official audio
Переглядів 9762 місяці тому
Mayiku Sayi_Jaga_Official audio
Mayiku sayi_NG'WANDU_Official Video Full HD
Переглядів 7 тис.3 місяці тому
Mayiku sayi_NG'WANDU_Official Video Full HD
DILA MANG'OMBE ft SEMBE YIWE = ISABHIGULA LA MWANDU_Official Video Full HD
Переглядів 1,3 тис.3 місяці тому
DILA MANG'OMBE ft SEMBE YIWE = ISABHIGULA LA MWANDU_Official Video Full HD
Nyanda Mlola_Maisha_Official Video
Переглядів 1,7 тис.3 місяці тому
Nyanda Mlola_Maisha_Official Video
Timbuka inaga ngika mwanachale Official Audio
Переглядів 3323 місяці тому
Timbuka inaga ngika mwanachale Official Audio
Timbuka inaga ngika Majanga Official Audio
Переглядів 2533 місяці тому
Timbuka inaga ngika Majanga Official Audio
Shilangila_Mhale_Official Video 4K
Переглядів 1,8 тис.4 місяці тому
Shilangila_Mhale_Official Video 4K
Shilangila_Mhale_Coming soon
Переглядів 1,6 тис.5 місяців тому
Shilangila_Mhale_Coming soon
Shilangila_Kiberiti_Official Video 4K
Переглядів 3,3 тис.5 місяців тому
Shilangila_Kiberiti_Official Video 4K
Shilangila_Atangaza Kuachia ngoma mpya leo saa 1:00
Переглядів 6165 місяців тому
Shilangila_Atangaza Kuachia ngoma mpya leo saa 1:00
Papa Junior_20 percente_Coming Soon
Переглядів 1,1 тис.5 місяців тому
Papa Junior_20 percente_Coming Soon
Shilangila ft 20 Percent_Ulikua Wapi_Offical Video 4K
Переглядів 115 тис.5 місяців тому
Shilangila ft 20 Percent_Ulikua Wapi_Offical Video 4K
Shilangela Feat 20 Parcent_Coming Soon
Переглядів 6295 місяців тому
Shilangela Feat 20 Parcent_Coming Soon
shilangela kutangaza vita kali
Переглядів 8466 місяців тому
shilangela kutangaza vita kali

КОМЕНТАРІ

  • @peterjosephnzegatvnzegaasi5681
    @peterjosephnzegatvnzegaasi5681 16 годин тому

    Hatariiii🔥🔥🔥

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 16 годин тому

    Pamoja bro❤❤

  • @Ng_wenda_Pole_Tz
    @Ng_wenda_Pole_Tz 16 годин тому

    HONGERA SANA KAKA MKUBWA NDIO MAANA WANA KAHAMA TUNAKIBURI SANA TUNAJIVUNIA SANA KILA MWAKA UNASUMBUAGA KIVINGINE KAKA UHAKIKA WEWE NIMTU MAFIA SANA SINEPAR WA KAHAMA NIMIPAKA YOTE NA ASIE KOMMENT KWENYE HII LONGO AWE MSANII AU DIRECTOD MWENZIO JUA ANAWIVU KAKA NAMI NASEMA MIGERA HAPO MBEREN RAZIMA NTAFANYAGA KAZI TU NA WEWE KAKA MAANA KILA KAZI YAKO WAGA HAIFELI WANAVUMA WANAISHA WE UTABAKI KAMA BABA LAO WENYE MAJUNGU SAIV UMEWATETEMESHA SANA KWA HII LONGO NAMI NAWAAMBIA KULA CHUMA HICHO 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @alphoncemataba473
    @alphoncemataba473 16 годин тому

    Migera piga kazi mzee, kazi zako tunaziona unavyo wafanyia kazi wasanii wengi

  • @Kahogoasili2024
    @Kahogoasili2024 16 годин тому

    Iko vizur

  • @veronicandigwa1615
    @veronicandigwa1615 2 дні тому

    wasukuma tunaweza❤

  • @EmmanuelwillfredEliasjohn
    @EmmanuelwillfredEliasjohn 4 дні тому

    Commando uko vizur by kisenha Jr ❤

  • @morisernest6528
    @morisernest6528 5 днів тому

    Nimemaliza miez 4 naitafuta hii ngoma

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 8 днів тому

    Kaka ungekaa kmy tu make binadam lazima uzungumziwe tu na hata hao wasanii unaowaongelea siyo mwamba eti kuwa wasanii ndio wamekamilika , hamna Bali usanii ni kipaji tu kapaji kingne , lakn hata wew kumbka kuwa kuwa directly sio kwamba ndio umekamilika , hicho ni kipaji tu na mapungufu yapo japo pia wema pia unao , lakn pia kumbka mpaka Sasa wew ni mtu mkubwa sana na una jina kubwa sana vyote hivyo vinahusu mafanikio ko kushambuliwa lazima make wengi umewazidi, ko kikubwa mtangulize MUNGU tu.

  • @ReginaLifa-i6t
    @ReginaLifa-i6t 8 днів тому

    shida yake huu jamaa mambo yake sio kabisa

  • @RichardDonald-d8l
    @RichardDonald-d8l 8 днів тому

    Kaka usiwaze kuongewa ni kawaida San

  • @MathiasMaswilla
    @MathiasMaswilla 8 днів тому

    Wale madance watatu wakiume limbu ucje ukafanya ukawaacha itakungarimu haoo ndo kila kitu

  • @MathiasMaswilla
    @MathiasMaswilla 8 днів тому

    Kwanza najivunia sana kuwa msukuma,pili wimbo ni bora sana,unaelimisha,unaburudisha,tatu,madance ni wasafi sana,2024 huu ndo wimbo wang boraa.

  • @mohamedjuma5097
    @mohamedjuma5097 9 днів тому

    Kazi nzuri mwamba Niko united Arab Emirates nawapata vyema Sana

  • @Hamisijumaluhende
    @Hamisijumaluhende 9 днів тому

    Unapozungumziwa ujue kuna sehem umezingua ko jitafakal

  • @MonicaMashibe-h1f
    @MonicaMashibe-h1f 9 днів тому

    Mpaka raha uu wimbo unanikoshaga sana

  • @TabuMasaga-i5o
    @TabuMasaga-i5o 9 днів тому

    kumbuka unapo zungumzwa na watu Kuna kitu ambacho ume zingua so jitafakali

  • @DeoHenry-d9y
    @DeoHenry-d9y 10 днів тому

    Huyu jamaa ni wawapi jaman

  • @stephanshilingi
    @stephanshilingi 10 днів тому

    Masai na musukuma nikitu kimajo suna agalia mavazi

  • @stephanshilingi
    @stephanshilingi 10 днів тому

    Mimi nipo kibindu mulima wa madin tanga 🇹🇿

  • @lucasyusuph-hj5er
    @lucasyusuph-hj5er 10 днів тому

    Ngoma kali sanaaaass

  • @lucasyusuph-hj5er
    @lucasyusuph-hj5er 10 днів тому

    Nice designing song

  • @PauloJilala
    @PauloJilala 10 днів тому

    Kaz yakibabe

  • @NTEMI-OBURUDANI
    @NTEMI-OBURUDANI 11 днів тому

    Ngoma kazi sana kaka🎉🎉

  • @mabalaVideostudio
    @mabalaVideostudio 12 днів тому

    Kama unakumbuka Kauli yangu Migera Nilisema,Kusemwa ni Kawaida Acha waseme we piga kazi blood fanya kama hata huwaoni kabisa we fata kinachokuweka mjini Kaka ipo siku watajilud wenyenyewe kwenye msitali na kuwa sawa kabisa kazi kazi bwana mkubwa

  • @MayekaTheboss-sn8tr
    @MayekaTheboss-sn8tr 12 днів тому

    Kaka mbona kuongewa ni jambo la kwaida tu na mwanadam lazima asemwe usiwe na roho ya hivyo we ni mtu mzima mengine yaache kaka pga kaz maneno achana nao

  • @W_Konk_Tm
    @W_Konk_Tm 12 днів тому

    Dah umenigusa sana kwa hayo mazito yanayo kupata kaka migera lakin kaz boot ndugu yangu akusamae hovyo muombee ili katka mafanikio yak aibu itamkondesha👍👏👏🙏🙏

  • @josestudio4534
    @josestudio4534 12 днів тому

    Ukweli kaka Zarau ni mbaya pia kikubwa ni kumfata moja kwa moja na mkutole ya moyoni sio kusengenya kama wanawake kama kuna tatizo wanakufata direct sio kuongea pembeni lakin watu wanakosa utu Ila kikubwa ni Kumshukuru Mungu Basi🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Barikiwa kaka Migera Huna baya

  • @ibrahimmbogo1274
    @ibrahimmbogo1274 12 днів тому

    Point master

  • @mbashastudio-nyimboasili7157
    @mbashastudio-nyimboasili7157 12 днів тому

    🎉🎉🎉

  • @Songa.Record
    @Songa.Record 12 днів тому

    🏋️🏋️🏋️

  • @JumamgemamatogoloMatogolo
    @JumamgemamatogoloMatogolo 12 днів тому

    Kawaida ya watu huwezi kuwajua shida yao nini

  • @Asilitamutv
    @Asilitamutv 12 днів тому

    😂😂😂😂 ukweli wakukera kaka migera

  • @chazbaba
    @chazbaba 13 днів тому

    Naomba tufanye limix @Limbo luchagula 😂😂

  • @MwiguluHewa
    @MwiguluHewa 14 днів тому

    Salute nchoji

  • @EliasmasungaMasai
    @EliasmasungaMasai 15 днів тому

    respect bro

  • @StivenMtata
    @StivenMtata 15 днів тому

    mimi siyo msukuma ila nyimbo za kisukuma napenda sana ila huyu jamaa kwenye hili biti aliua mpaka kakelaaaa

  • @EliasmasungaMasai
    @EliasmasungaMasai 16 днів тому

    yawiza

  • @PetershilagiDaniel
    @PetershilagiDaniel 17 днів тому

    Hongera sana endelea kuelimisha jamii

  • @LeticiaRenard-rp9wg
    @LeticiaRenard-rp9wg 20 днів тому

    Audio naipataje jamani naupenda huu wimbo

  • @JafarIsale-dv9ld
    @JafarIsale-dv9ld 20 днів тому

    Mmmnh kuna huyo Mayiku ni hatariiii

  • @joshuajafety5567
    @joshuajafety5567 21 день тому

    Naona kuna pacome humo 😄😄😄😂

  • @ElishaMbitiyaza
    @ElishaMbitiyaza 22 дні тому

    Limbu luchangula mi mshabiki wako Niko mbeya piga kaz kaka

  • @SixEvalist
    @SixEvalist 22 дні тому

    Kazkaz babu

  • @EliasLucasjr
    @EliasLucasjr 22 дні тому

    mwamba kaiba sana iseew

  • @maromedia6272
    @maromedia6272 22 дні тому

    Migera Mdogo wangu Wewe haya bhana

  • @PastoryBundala
    @PastoryBundala 23 дні тому

    Nimeikubal nyimbo

  • @AminathaIDDI
    @AminathaIDDI 23 дні тому

    ❤❤❤❤❤❤najisifia kuwa msukuma ❤naipenda hii sana

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 24 дні тому

    Wa wapi huyu nae au ndio wapita na upepo

  • @Ayoub-pius5
    @Ayoub-pius5 24 дні тому

    Good job