CHUO CHA UHASIBU TIA CHAWAIBUA VIJANA WENYE UGUNDUZI WA APPS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лип 2024
  • Chuo cha uhasibu Tanzania kimewaleta kwenye maonesho ya sabasaba mwaka huu vijana wagunduzi wa Applications zinazo toa misaada mbali mbali kwa watumiaji, Vijana hao ambao ni wanafunzi wanao soma katika chuo hicho kwa Dar es salaam wamebuni application tatu ambazo watumiaji wa simu janja watazitumia kwa matumizi mbalimbali

КОМЕНТАРІ •