AMENIULIZA KAMA NINA BUKU, MR RIGHT MWENYEWE HANA BUKU PIA - HELLO MR. RIGHT

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

КОМЕНТАРІ • 65

  • @ZaynabAbubakar-hr6fh
    @ZaynabAbubakar-hr6fh 5 місяців тому +3

    Mashallah wamejistir wamependez muwe hivy hivy siku zote

  • @user-lk6sd8bo3w
    @user-lk6sd8bo3w 5 місяців тому +8

    Eliza ameka sana adi ameamua kua mudumu

  • @innocensiashayo6878
    @innocensiashayo6878 5 місяців тому +2

    Huyu Aliya ana kausiriaz flan hv ambako skapendi na anapanic mapema sana😢😢😢😢

  • @48kingfahadem63
    @48kingfahadem63 5 місяців тому +2

    Garabi unazingua sana mwanetu et unabuku 😂

  • @IddaJovent
    @IddaJovent 23 дні тому

    Muhudum ongez glass eliza mzee wetu.

  • @SmilingCorgi-pr9bn
    @SmilingCorgi-pr9bn 5 місяців тому +2

    Ritaa mzury but anakaah anapendaa pesaa😮😅

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 5 місяців тому +3

    Leo sijapenda mnaruhusu kudhalilisha Mr right

    • @user-zb2mj5nd5g
      @user-zb2mj5nd5g 5 місяців тому

      kweli kabisa hata mimi wamenikwaza sana

  • @Kakakuona5_G
    @Kakakuona5_G 2 місяці тому

    Eliza anatumalizia soda zetu😂
    Muondoeni aanzishe kilinge awe mganga sie ndo wateja😂😂

  • @andrewpeter4321
    @andrewpeter4321 2 місяці тому

    Jamn aibu naona mm buku 😂😂😂😂😂😊

  • @user-zj8fn4cq8g
    @user-zj8fn4cq8g 5 місяців тому +4

    Nyie wakaka hapa hakuna wanawake wakuoa mnajidhalalisha na nakujicholesha tu wanawake wenye nia ya kuolewa hapa hawapo bali wapo wenye kuangalia masilahi na elimu ya mtu mapenzi hayapo hivyo maana mapenzi ni hisia hayachagui mwenye elimu wala pesa hawa wanawake wote niwamchongo tu poleni wakaka😂😂😂😂

    • @braggadachu1723
      @braggadachu1723 5 місяців тому

      Ila we user kila channel ya yutube ya wasanii wa bongo 😂nakuta umecoment mzee umeajiriwa kucomment tu😂

    • @user-zj8fn4cq8g
      @user-zj8fn4cq8g 5 місяців тому +1

      @@braggadachu1723 unajuwa nini,sisi tupo mtandaoni ili kujifunza ki2 kwa wasanii,lakini wasanii hao ndo wanafanya vi2 vya kipuuzi sasa tunajifunza nini, wapuuze kweli,wasanii wa bongo wanaiga vi2 vya wazungu alafu hawaviwez wanakera sana

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 5 місяців тому +3

    Hahahahaha Eliza bhana mi nacheka TU gawa sodaaa mama

  • @florencejames-jo1cz
    @florencejames-jo1cz 5 місяців тому +7

    Eliza chiz hyo hataku kuondoka hapo amependa kunywa soda za hapo hahaha 😂😂😂😂

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 5 місяців тому +2

    😅😅😅eti una buku!😅

  • @SerenakaremboDzombo
    @SerenakaremboDzombo 5 місяців тому

    Ila eliza😂😂😂😂

  • @annakaunda6634
    @annakaunda6634 5 місяців тому

    Ila Elizaaaaaaaa

  • @niyonzimaraissa9497
    @niyonzimaraissa9497 5 місяців тому +5

    Eliza mzuri ila mdomo unamuponza

  • @twahaanyoni9120
    @twahaanyoni9120 5 місяців тому +1

    Wanawake wenyewe mbona age kubwa wameshakuwa mabibi mashauzi mengi hapo hakuna mwanamke wa kuoa kupiga na kusepa tuu😂😂😂

  • @IddaJovent
    @IddaJovent 23 дні тому

    Unajifany kuhudumia kuolew aa.amekuw house girl eliz au kam naon vbay mm

  • @user-yj2qc6cw3q
    @user-yj2qc6cw3q 5 місяців тому

    jamani aki 😂😂😂

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 5 місяців тому

    OOOH MY GOD... !!! NIMEIPENDA SAAAANA NA NIMECHEKA PIA...HIKI KIPINDI BILA GARA B....#ITAKUWAJE....🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍💥💥💯💯💯💯...BIG UP BRO.... na my SISTERZ PIA...❤

  • @niyonzimaraissa9497
    @niyonzimaraissa9497 5 місяців тому +1

    Lulu diva nakupenda ila nina swali
    Ule mtoto mwanamke ni kweli wa kwako?

  • @bahatiiddibahatiiddi-be5nj
    @bahatiiddibahatiiddi-be5nj 5 місяців тому

    Elizabet nakupenda sana sema upo huko ndani nipomwanza acha kuchagua sana tupo tunaojiweza ila hatuonyeshi mkwaja pesa ipo sema humo ndani unazingua

  • @mdidorama5852
    @mdidorama5852 5 місяців тому +2

    I don't understand swahili lakini eliza alikuw aondolewe apo bhana 😂

  • @user-nn3ll5fr7s
    @user-nn3ll5fr7s 5 місяців тому

    Namupend san eliza

  • @rosemerryfaustin1900
    @rosemerryfaustin1900 5 місяців тому

    Ila ritah mzuri

  • @pendoyohana2399
    @pendoyohana2399 5 місяців тому

    Eliza umekuwa muhudumu😅😅😅

  • @prosianswai9435
    @prosianswai9435 5 місяців тому

    eliza amezeeka

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 5 місяців тому

    Ila Eliza jaman😂😂😂😂

  • @upendodaima8406
    @upendodaima8406 5 місяців тому

    Eliza atazehekea hapo hembu mumtimue akadange.

  • @user-rj4cd7oc4x
    @user-rj4cd7oc4x 5 місяців тому

    😂😂😂😂 una UA-cam unabuku

  • @CosmasSengenge
    @CosmasSengenge 5 місяців тому

    Eliza apo stejini pamekuwa kama nyumbani kwao

  • @wemakatina8538
    @wemakatina8538 5 місяців тому

    Inawezekana Eliza anatoka pesa nyingi Sana hapa

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 5 місяців тому

    Eliza anajichetuaa tu😮

  • @kalengaalinotisungura1801
    @kalengaalinotisungura1801 5 місяців тому

    Wa islamu Allah wenu iko désordonné kabisa

  • @jamesmasunyiro8733
    @jamesmasunyiro8733 5 місяців тому

    Huy eliza ni comedia

  • @user-yw9og1si3h
    @user-yw9og1si3h 5 місяців тому +1

    HAKO KA ELIZA KANA KAZI NA KAMPUNI YA PEPSI HANA SHIDA NA MUME HUYOOOO

  • @jacklinechuga2569
    @jacklinechuga2569 5 місяців тому

    Anabuku na mia mbili

  • @user-di8hg8ri4h
    @user-di8hg8ri4h 5 місяців тому

    Buku😂😂😂😂😂😂

  • @janethmnali7261
    @janethmnali7261 5 місяців тому +1

    Aaliyah namkubali hampendi kbs eliza

    • @deboramuhoja1777
      @deboramuhoja1777 5 місяців тому

      😂😂😂 anaboa sana, that's why😏

    • @janethmnali7261
      @janethmnali7261 5 місяців тому

      Nashangaa wengine wakileta ujuaji wanatolewa huyo anaachwa ili iweje

  • @jacobmelody
    @jacobmelody 5 місяців тому

    Nakuja hapo kumchukua Eliza najua anapenda Hela

  • @HuseniSaid
    @HuseniSaid 5 місяців тому +8

    Nipeni like zangu atakama niwa pili

    • @dannyismael2613
      @dannyismael2613 5 місяців тому

      Mwanaume zima linalilia like

    • @user-iv7dm3xw9v
      @user-iv7dm3xw9v 5 місяців тому +1

      Upewe like uliziweka wapii tukachukue tukuletee

  • @user-mk2su3gv3i
    @user-mk2su3gv3i 5 місяців тому

    Eliza anatakiw awe mfanyakazi wa kupea pepsi

  • @godlovemanase3423
    @godlovemanase3423 5 місяців тому

    Eliza u hav demon 😅😅😅

  • @user-fx4uu7oe2f
    @user-fx4uu7oe2f 5 місяців тому

    Eliza kashawah kufanya kazi baa kama waiter

  • @user-db1uy6hv9q
    @user-db1uy6hv9q 5 місяців тому

    Gb unabuku hapo

  • @kalengaalinotisungura1801
    @kalengaalinotisungura1801 5 місяців тому

    Yani zingine siku amukuwaki n'a swali ?

  • @user-lk6sd8bo3w
    @user-lk6sd8bo3w 5 місяців тому

    😅

  • @niyonzimaraissa9497
    @niyonzimaraissa9497 5 місяців тому +1

    Gara b mchokozi

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 5 місяців тому

    Jamani miye nauliza kwahiyo hawo wamejitandiya hi wakati wamafungo kisha wanakuya kutafuta mabwana? Kwani nisawa? Wala sisawa?

  • @RACHELFESTO-pt6fv
    @RACHELFESTO-pt6fv 5 місяців тому

    Unayoutube,??? Et unabuku????😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉Rita pokea mauwa yako????

  • @MonicaJoseph-eu2ke
    @MonicaJoseph-eu2ke 5 місяців тому

    Elizabeth bhn sizani kama ata pata mchumba apo