RHINO KING ASHUSHA MAOMBI MAZITO KABLA YA INTERVIEW "NAISHI MAISHA HALISI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 17

  • @kuhdhahabusafi9067
    @kuhdhahabusafi9067 11 місяців тому +1

    Hongeraa Uelewa wa Sauti.

  • @MariamMlowe
    @MariamMlowe 4 місяці тому

    Kweli mungu bba a najua kubadilisha mtu mweee

  • @neemagondwe926
    @neemagondwe926 11 місяців тому +1

    Congrations to uelewa wa sauti

  • @AMANIHALISI-d9q
    @AMANIHALISI-d9q 11 місяців тому +1

    HERI, ANAYEPANGA NA KUENDELEZA SAUTI HII NI ALIYEUMBA, HAZUILIKI.

  • @Gabby-jm8
    @Gabby-jm8 Рік тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Samwelilubeleje
    @Samwelilubeleje 11 місяців тому +1

    Safi

  • @InnocentLihawa-lh1pl
    @InnocentLihawa-lh1pl 11 місяців тому +2

    Hakika huku kwa muumba mwenyewe tuna kuja

  • @MTSshebatiakilihalisi8787
    @MTSshebatiakilihalisi8787 11 місяців тому +1

    Iii imekuaaa kubwaa ahh

  • @TheresiaMbogela-vg2kx
    @TheresiaMbogela-vg2kx 11 місяців тому

    🎉

  • @AgnesMuturi-sk7om
    @AgnesMuturi-sk7om 2 місяці тому

    Sifa na utukufu tumuridishie chanzo halisi chanzo halisi azidi kukuinua

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 Рік тому +2

    Ghalika gani ilimkumba huyu MWAMBA mpaka kachange ghafla 🥺

    • @dianaphilbert7913
      @dianaphilbert7913 11 місяців тому

      Gharika?? MTU akibadilika akawa na matendo Safi akamrudia aliyemuumba ni gharika?? Angalia Sana usemacho.

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 11 місяців тому +2

      😂😂😂😂😂😂dah umenifurahisha eti gharika . Kaamua kuishi maisha ya kumuabudu MUUMBA wake ilo sio tatizo

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 6 місяців тому

    Hakika aliyemkimbilia muumba amechagua fungu jema

  • @barakanaseeb7155
    @barakanaseeb7155 9 місяців тому

    Huyu jamaa hajawahi semaga mungu yeye anasemaga muumba hata uombaji wake ni tofauti na wakristo wala uislam⁉️⁉️

    • @HusnaSharifu
      @HusnaSharifu 6 місяців тому

      Ukisema wewe Mungu inatosha

    • @JohancenMkiza
      @JohancenMkiza 4 місяці тому +1

      Ukisema Mungu ipo mingi bali Muumba ni moja tu Nicko ambaye Nicko atakae kuwepo siku zote atakama wewe aupo yeye yupo uyo ndie Chanzo halisi