CHADEMA YAIBUKA NA MAPYA JUU YA MPANGO WA HUJUMA ZA CHAGUZI SERIKALI ZA MITAA - ⚫M/KITI SAUTI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 6

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf День тому +2

    Hii ndio dawa kushiriki vikao vyao ili kujua uwovu wao

  • @YussufPandu-es7ou
    @YussufPandu-es7ou День тому +1

    Kwanini kwenye mitandao unapofanya utafiti kwa asilimia kubwa ccm haitakiwi? Jibu ni moja tu ccm imegeuka ni genge la watu waovu,kosa kubwa ni kuiba kura

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw День тому

    Jamani nchi hii polisi ni kikundi Cha ndani ya ccm kinatumika kudhumu haki za watu kuchagua viongozi wanaowataka polisi ni wezi wakati wa uchaguzi

  • @adelinelyaruu3036
    @adelinelyaruu3036 День тому +1

    HAKI HUINUA TAIFA, ILA DHAMBI NI AIBU KWA WATU WOTE

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 День тому

    Hizo m.5 si wakanunue madawati na Dawa ambazo hakuna Hosptal.

  • @MwitaChacha-l9t
    @MwitaChacha-l9t День тому

    Unajidanganya mbona unatumia nguvu sana kuongea