DUBE NA BALEKE WALIVYOWAKA MAZOEZINI/MWAMNYETO ATIA CHUMVI/HII YANGA NI BALAA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 57

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 7 годин тому +4

    Kila la kheri inshaallah daima mbele nyuma mwiko kazi iyendelee 💛💛💚💚🙌🙌

  • @DelphinusBenedicto
    @DelphinusBenedicto 7 годин тому +11

    No moja like zenu Wana yanga tu😂😂❤❤❤

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 7 годин тому +5

    Kuna watu wanatamani kwenda Tff wakaambie wabadili ratiba isichezwe trh 19😂😂😂

  • @ShangweKiulamagulu
    @ShangweKiulamagulu 7 годин тому +3

    Maandalizi kwa wanajeshi wa Yanga yanaendelea🔥🔥🔥

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 3 години тому +1

    Nakuomba Mola wangu wajaalie viumbe wako hawa Afya nguvu Uwelewa na Mafanikio Inshaallah

  • @sultanhamis9292
    @sultanhamis9292 7 годин тому +3

    Yanga bingwa inafungwaje,ushindi uwe kwetu inshaallah19 na msimu wote kiujumla

  • @yohanagalusi619
    @yohanagalusi619 2 години тому +2

    Mkandaji siku hiyo ni Jean Baleke, niamini mimi 🎉

    • @DIVINEPROMISE-c1n
      @DIVINEPROMISE-c1n 2 години тому +1

      Hakukua na haja ya matangazo km Dube goli halioni wangejituliza tu kimya waje kuwashangaza siku ya mchezo

    • @yohanagalusi619
      @yohanagalusi619 Годину тому

      @@DIVINEPROMISE-c1n njia ya kuzuia wasifungwe ni kutoleta timu uwanjani tu

  • @DamarisOsward
    @DamarisOsward 4 години тому +2

    Safi sana Yanga

  • @sabrinakassimu
    @sabrinakassimu 7 годин тому +2

    mungu awa jalie afya njema mka mkande mtani tar19

  • @Hefsibafidel
    @Hefsibafidel 7 годин тому +1

    💚Mungu wabariki mashujaa wetu

  • @Haymohaymo-t2l
    @Haymohaymo-t2l 2 години тому +1

    Hao wachezaji wamekuja lini mbona mnatupiga na za usoooo

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 5 годин тому +1

    Siyo current

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 3 години тому +2

    Kwani viongozi wameandika barua kuomba wachezaji waliokuwa kwenye team zao za taifa warejee kambini au hii video ni ya zamani maan hapo naona baadh ya wachezaji waliokuwa team za taifa mfano dube na mdathir

    • @stevenkasong1483
      @stevenkasong1483 44 хвилини тому

      Video ya Mda hii, namuona hadi Musonda wakati jana usku kacheza mechi nchin kwao na kaenda Chad kwa geme ya marudiano:

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 7 годин тому +1

    Natamani kina kibwa, aziz, denis, sure wakiwashe vibaya siku moja.

  • @SimãoArmandoSimão
    @SimãoArmandoSimão 2 години тому

    Ninangalia mazoezi nikuwa Moçambique Nampula mungu aibaliki yanga

  • @AchileusNshekanabo
    @AchileusNshekanabo 7 годин тому +2

    👏👏👏

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 Годину тому

    Mchezo na Kmc. Aziz k aliboa sana kwa sababu hakuwa aggressive kama tulivyomzoea. Inaonekana Aziz K amepunguza umakini na hicho ndicho kilichomkosti akiwa Asec Mimosa kwa kutopewa namba pamoja na kuwa alikuja hapa kama mfalme kwa sababu ya kuifunga Simba tu.

  • @manasecharles894
    @manasecharles894 3 години тому

    One touch 💪💪💪💪💪

  • @manaseyona9260
    @manaseyona9260 3 години тому

    Kimbwana shomari ❤❤❤❤

  • @leonardsasita4634
    @leonardsasita4634 7 годин тому +2

    Wananchiiiiiiiiiii

  • @ip_header
    @ip_header 7 годин тому +1

    Muda atatupia tarehe 19 October InshaAllah

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 3 години тому

    Naona makolo washaenda kwa wazee kupata msaada nawaombea ushindi na msisahau kuomba Dua na wachezaji wote na viongozi wote

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove 7 годин тому

    Kazi kzzi ina onekana iyi video mune chelewa kuitupia uku yangatv nia zamani

  • @Alexismadimo
    @Alexismadimo 4 години тому

    Mungu pamoja nasi

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 7 годин тому

    Kibwana 😂😂😂 eti Bakar lainisha kidogo😂😂😂

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 3 години тому

    Allaah Akbar

  • @SamsonFundi.J
    @SamsonFundi.J 6 годин тому

    Nilitamani kumuona bareke, kwenye mechi akicheza dakika nyingi

  • @massatujeli3158
    @massatujeli3158 Годину тому

    haya ni mazoezi ya lini wachezaji si wapo national team

  • @MagangaJuma-w9d
    @MagangaJuma-w9d 2 години тому

    Mimi sijaerewa si warikua tim ya taifa wamerudi lini

  • @osimtawa5392
    @osimtawa5392 3 години тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 5 годин тому

    Kheri jeshi letu daima mbele

  • @frankisaya5050
    @frankisaya5050 7 годин тому

    Mbna pacome sijamuona Kwenye maziezi jamani wa yangu

  • @Zaburi-
    @Zaburi- 2 години тому

    Sasa hii ya lini? Siwapo timu za taifa hawa hadi tar 15 au

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 6 годин тому

    Timu yangu

  • @PauloLyimo-q7n
    @PauloLyimo-q7n 6 годин тому

    Haya ndimazoez xx muwe na control

  • @dengahmediatz1230
    @dengahmediatz1230 7 годин тому

    Huyo mwamnyeto karudi lini kutoka timu ya taifa?

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 7 годин тому

    Safiii

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 7 годин тому

    Afadhari wametuachia wachezaji wetu wengi safari hii.

  • @mshanajr9356
    @mshanajr9356 6 годин тому

    Sure boy anataanza derby

  • @PeterSevere
    @PeterSevere 7 годин тому

    Dube amepungua ufanisi

  • @ahmedalsaadi7108
    @ahmedalsaadi7108 7 годин тому

    Muda hata ajapumzika anaipenda timu yake

  • @josephatmakwaya8962
    @josephatmakwaya8962 7 годин тому

  • @ElitumainGodwin-kl1vt
    @ElitumainGodwin-kl1vt 6 годин тому

    Kwani wachezaji wa timu ya taifa wamejiunga kabla ya marudiano

    • @NeemaAkyoo-s4s
      @NeemaAkyoo-s4s 3 години тому

      Hii ni ya mda bado hawajarudi labda kama viongozi watakuwa wameandika barua kuomba Tff kwa ajili ya darby ila Tff hii sidhani

  • @innocentkaduma5821
    @innocentkaduma5821 7 годин тому

    Mwamnyeto hakuitwa stars?

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 5 годин тому

    Kwani wa nation team washarudi kambini ama ya kitambo hii??

  • @hassamdavid8792
    @hassamdavid8792 3 години тому

    mudathir karudi?

  • @erickpaschal1639
    @erickpaschal1639 Годину тому

    Sina hakika na hii video ila Idara yetu ya Habari mjalibu kuwa na ukweli maana Mwanyeto, Mudathiri wapo timu ya Taifa ivyo ivyo kwa Musonda na Dube.
    Sijui kama niya wakati huu hii video

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 години тому

    Mbona anaonekana hata gift( mauya) ambaye kwa sasa huyumo yanga, hiyo ni ya siku nyingi, Mwamnyeto yuko kambi ya taifa stars.

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 7 годин тому

    Kwani Mdathiri hajaitwa timu ya Taifa.

    • @fahadrashid9754
      @fahadrashid9754 6 годин тому

      Nulitaka kuuliza

    • @fahadrashid9754
      @fahadrashid9754 6 годин тому

      Na me nilijiuliza mwanzoni hii video sio ya leo ila wamepost leo