Mkuu wa MAJESHI mstaafu Kukutana na Papa FRANCIS pamoja na Maaskofu wote wa Tanzania/sababu ni hizi.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Hija ya Maaskofu wa Tanzania inaendelela mjini Vatican kwa kutembelea mabaraza ya kipapa na sehemu nyingine muhimu za kichungaji wakati wa ziara hii,ambapo mara baada ya kukutana na Baba Mtakatifu itahitimishwa Dominika tarehe 21 Mei kwa maadhimisho ya Misa Takatifu na Jumuiya ya Watanzania waishio,Roma na Italia kwa Ujumla.
    #breezonlinetv #Roma #popefrancis

КОМЕНТАРІ • 160