Janga la Mafuriko | Watu 70 wamefariki kwenye mafuriko nchini
Вставка
- Опубліковано 25 кві 2024
- Mvua kubwa iliyosababisha mafuriko katika maeneo mengi nchini. Zaidi ya familia elfu 130 zimeathirika pakubwa, watu wengi wakipoteza makao yao. Shirika la Msalaba Mwekundu limetakiwa kuipa kipaumbele kaunti ya Nairobi. Serikali imetenga shilingi bilioni nne za kuwasaidia walioathirika na mafurko haya..
Me advice mount hightened blocks brigdes kitu kama meter kumi na width kumi na leaving several water passage gaps in between and wallah
Wakenya jamani hamuogopi kifo😂😂😂😂😂😂😂😂
Nyinyi watu mkona ujinga wa Hali yajuu
Bt watu pia mukuwe makini yani unaenda kwa kifo ukiona tu hii nikifo
Put security there the world is full of idiots 🤣🤣🤣🤣🤣
Saad😢
Is this another shakahola where people commited suicide willingly i pitty the children who were in that lorry because they were murdered
Grown ups are growing down and they want to take all of us with them
Too much stupidity in Kenya
Wueh 😮😮😮😢
LemaNtiya
Ati billion 4 ata miilion 20 hawatatumia ni kura tu
Na wewe umetoa ngapi,waja ujinga , this is a serious c mchezo bana
Hizi stories za tumetenga zitaisha lini????upumbavu tu
😮😮😂😂