YANGA DAY HAIKUWA NA MPANGILIO | CHAMA VS FERNANDES NANI ZAIDI..| - AMRI KIEMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Legend Amri Kiemba anatoa tathmini yake kuhusu matamasha ya Yanga & Simba Day, ushindani wa wachezaji wapya ligi Kuu, ubora wa kikosi cha Yanga vs Simba, Chama Vs Fernander...

КОМЕНТАРІ • 51

  • @mwajabudegwa
    @mwajabudegwa Місяць тому +7

    Mchambuz wangu bora❤🎉🎉🎉

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 Місяць тому +2

    Kiiemba uko powa sana kaka unajua sana unajua unajua ishi sana kaka🎉🎉

  • @barakakoba7257
    @barakakoba7257 Місяць тому +7

    Usi watete pale yanga wamejaa wajuaji ila simba kuna wa wajibikaji 🦁 # UBAYA UBWELA

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 Місяць тому +3

    Yanga walichokuwa wanakifanya ni kuongeza kile ambacho simba hawakukifanya, ni ukweli usiopingika mengi waliyofanya hayakuwa katika mpango wao. Big up Kiemba umechambua ukweli, wewe ni mchambuzi wa kuigwa. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Місяць тому +7

    Ahmed Ali ni jeshi la Mtu mmoja kweli leo Nimeamini kawafunika woote wasemaji watatu wa Tamasha lao

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 Місяць тому +10

    Yanga wanashindana wao wenyewe,kila mtu anataka kuwa mkubwa kuliko mwenzake, tamasha lao lilikuwa fujo tu

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Місяць тому

      Ni genge la machawa na uongozi umekua na usela wanakumbatia mnoo usela na kiki inabidi wajue yanga kubwa kuliko mtu yoyote hivyo haina haja yakujikomba kwa watu kisa kiki yanga ni ya watu wasiona na umaarufu ila wako kwa mamilioni

  • @user-bu9wj5pi3t
    @user-bu9wj5pi3t Місяць тому +3

    Jamaa umeongea point sana

  • @allysunday8614
    @allysunday8614 Місяць тому +5

    Kiemba usiwatetee.....hawakuwa na mpangilio na hawakuwa na sababu ya kushindana na Simba....

  • @user-ye5fq1wc3g
    @user-ye5fq1wc3g Місяць тому +4

    True 🇰🇪

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 Місяць тому +3

    Uko vizury kaka unaakili sana

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 Місяць тому +1

    Umeongea vizuri.

  • @user-dr6sd6bb2f
    @user-dr6sd6bb2f Місяць тому +7

    Like kwa amri kiemba😊

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 Місяць тому +2

    Tamasha la Zailisa na Mobeto limebuma ma mc watatu ulickia wp Zembwela ,Kitenge,Manara ,maskin Aliy Kamwe ametupiliwa mbali hata hakuonekana wala kutambishwaa

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 Місяць тому

    Akili nyingi kiemba

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je Місяць тому +4

    Kweli matukio yalikuwa hayaeleweki manara ndo alikuja kuharibu kabisa sherehe muda wa kutambulisha wachezaji alichukua muda mrefu na manjonjo yasiyo na maana hadi muda ukaisha makamu wa raisi akaingilia kati utambulisho haujaisha

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 Місяць тому

      Manara ni kivuruge masifa mengi mwishoe ameharibu siku ya mwananchi

    • @user-nh5wn4dj1b
      @user-nh5wn4dj1b Місяць тому

      Kweu kaharibu tu manara Ila ss ♥️ tumependa Sana maneno 8

    • @issaibrahim7797
      @issaibrahim7797 Місяць тому

      Kwann mme umia Wana Simba

  • @FernandezJR-o1v
    @FernandezJR-o1v Місяць тому +3

    Nyanga nimanyanga kwel😅😅 Af wanakunywa na vidonge vya kuongeza nguvu nabado niutoporo tu msimu huu ni Ubaya Ubwela

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 Місяць тому

    Kilichoniacha hoi ma mc kibao utopolo🐸🐸🐸🐸 na alijitakia kujimbulisha 🐸🐸🐸 😅😅😅😅😅😅😅 walikesha😅😅😅😅 kwa 👑👑👑👑👑 the lion jembe moja Ahmed Aly❤❤❤❤❤❤

  • @ezekielmwakyagi9330
    @ezekielmwakyagi9330 Місяць тому +2

    kiemba wewe mchambuzi namba moja africa kwasababu unatoa uchambuzi bila kujali kupewa elf20

  • @samochristopherroche9953
    @samochristopherroche9953 Місяць тому

    Mpangilio mtauona tarehe 8

  • @user-ds3oi3tt8u
    @user-ds3oi3tt8u Місяць тому

    Ni kweli maana kuna watu walienda kwa Ajiri ya kumuongelea MO na GSM na manara na Ahmed Ally ni kweli hawakua na mpango kazi na kitenge nae kutangaza magari yake mara Azizi ki na hamisa yaani ni Aibu haijawahi kutokea

  • @user-ds3oi3tt8u
    @user-ds3oi3tt8u Місяць тому

    GSM na ndugu yake silent ocean kuonesha kwann mo nae kamtambulisha mdogo wake fatma ni Aibu yanga walikifanya

  • @allysunday8614
    @allysunday8614 Місяць тому +2

    Yanga wachezaji wamepiga picha na jezi za mazoezi...na sio sare ya mashindano.....labda ndio utofauti walioufanya

    • @user-ce1ps5hy4f
      @user-ce1ps5hy4f Місяць тому

      Mbona uheleweki Mara jersey Mara sare 😂😂

    • @LisaDequte
      @LisaDequte Місяць тому

      ​@@user-ce1ps5hy4fKwan we hujui kuwa utopolo wana jezi na sare zile za mazoezi ndio jezi na ndiyo maana walipata ujasiri wa kupigia picha alafu kuna vile vitenge, vijora, na batiki zile ni sare 😏😏😏😂😂😂

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l Місяць тому

    YANGA KAKUSANYA TUZO SABA JUZI NA NI MUHIMU KULIKO TAMASHA....CHA AJABU HATUKUWAONA MKITUMIA NGUVU KUBWAA KULIZUNGUMZIA LKN TAMASHA MNAJADILI MPAKA MISHIPA IMEWASIMAMA!!!

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l Місяць тому

    YANGA WENYEWE WAMELIDHIKA NA TAMASHA LAO NA WALA HAWAKUHITAJI KUWAFURAHISHA WACAMBUZI WA MCHONGO.....NYIE ENDELEENI KUTUMIKA TU LKN MAJIBU SAHIHI NI UWANJANI.....

  • @KarokiaNdirango-lj3wf
    @KarokiaNdirango-lj3wf Місяць тому

    Shida sio mipangilio kikubwa tulikua tunapigania kupata wanachama wengi sasa full house hayo mengine mtajua wenyewe madunduga

  • @iddybora1876
    @iddybora1876 Місяць тому

    Kumbe we kiemba bwabwa eeh simba anajitafuta we choko kwel pre season yanga kashinda ngap kafugwa ngap afu angalia na game za Simba choko wee

  • @MarryCharles-rc6ei
    @MarryCharles-rc6ei Місяць тому

    Mm nlikerwa na sauti ya dj kila saa wananchiiiii, yaan kiukweli haikuwa organized vzr ilikuwa ni fujo tu kila mtu anashika mic, wasan wanapanda jukwaani bila mpangilio yaan kila mtu pale alikuwa na mentality ya kushindana (kufunika tukio lililopita) which is not good!

  • @ZahorAbdallah
    @ZahorAbdallah Місяць тому

    Kiufupi walifanya ushambaa😂😂😂

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 Місяць тому +1

    Yaani maji yatajitenga tu, wakati Yanga haifanyi vizuri walijitokeza wachambuzi wengi sana kujifanya wanachambua mpira, lakini kadiri Yanga anajibebea ufalme usio na mpinzani utawasikia tu, kacheza na mbovu, hajafanya vizuri, hajajaza wa kupendeza, yaani ilimradi wakosoe lakini huwasikii kusema mafuriko ya viwanja viwili for the same time!! Haijawahi tangu kolo kuumbwa!
    Kutafuta kiki tu, lakini kusema ukweli aaaaaaaaa??????😂😂😂😂😂

    • @user-bt6ep3yb2h
      @user-bt6ep3yb2h Місяць тому

      Wewe haya matamasha ni trailer, cha mhimu ianze ligi.

  • @KulwaPlumber
    @KulwaPlumber Місяць тому

    Gamondi ameonyesha kikos tu simba waikifat mbinu alizotumia gamond atapotea nyingi mno

  • @LinusBaltazari
    @LinusBaltazari Місяць тому +2

    🙏🙏🙏🙏👍👍👍🙏🫶

  • @user-nh5wn4dj1b
    @user-nh5wn4dj1b Місяць тому

    Acha umama ww ulittaka yanga waje kimasi pia au garib atambulishe mkewe

  • @user-mg3hb9gx7z
    @user-mg3hb9gx7z Місяць тому

    Kwani kipi kimepungua? Kiemba

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 Місяць тому

    Hivi chama atakuwa anacheza peke yake?

  • @RevocatusKalomo
    @RevocatusKalomo Місяць тому

    Kwa hiyo mo kutambulisha dada zake ilikwa ratiba?, tunajua yanga ilikufukuza ndo maana unamihemko kama danga

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 Місяць тому

      Dadake Mo ndio mzamini wa Team ya wanawake wa Simba amewanunulia hadi Bus la team kakojoe ulalee

  • @user-xg9ix9ex9h
    @user-xg9ix9ex9h Місяць тому

    Hivi wewe mchambuzi ongea mambo ya msingi ila nikwambie ishu ni kujaza uwanja kitu ambacho simba hawajaifikia yanga ndo walijaza mpaka uwanja wa uhuru

  • @colombanipaulo8953
    @colombanipaulo8953 Місяць тому

    Umeshaanza kubwabwaja ehhh?

  • @barakasiriwa566
    @barakasiriwa566 Місяць тому +1

    Achenii kuongea porojoo nini maan ya tamasha na burudanii mbona simba akatambilisha dada kwani kilikuwa kuna ulazima wa kutambulishan dada

  • @RevocatusKalomo
    @RevocatusKalomo Місяць тому

    Shida kiemba unatafuta ugari kupitia comments, sema tukuchangie pesa za kuosha Rasta chafu

  • @tanzalandtv3311
    @tanzalandtv3311 Місяць тому

    Kiemba acha ushamba na ushabiki mandazi

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 Місяць тому

    We mwanamke tu. Huna lolote LA kusema

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 Місяць тому

    Hivi Yanga alikuwa anataka kushindana na simba? Jamani mara ngapi Yanga wanaanza tamasha lao?? Nyinyi wachambuzi ndo mnaolinganisha na lasimba.

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr Місяць тому

    YANGA NI WAJANJA HATARI SANA...ULITAKA WAONYESHE KILA KITU ? YANGA AWAKO ORGANIZE ? HAO UTAWAJUA TAREHE 8