TUNDU LISSU SISI CHADEMA SIYO WAJINGA,AMETENGENEZA MTEGO TUSIPOUTAMBUA TUTALIWA VICHWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 132

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu 3 години тому +10

    Tundu lisu noma sana, watu kama Hawa niwachache sana

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba Годину тому +2

    Mweshimiwa lissu,,mimi huwa nakuelewa sana,,kwangu mimi wewe ni mwalimu mzur sana,,kwa hili nimekuelewa

  • @Oboss_billharvester
    @Oboss_billharvester 4 години тому +39

    Ila huyu mzee anatumia nguvu na akili nyingi Sana kulielimiaha taifa lakini wanamuelewa wachache Sana, hivi kwanini mtu Kama huyu tusimlinde hata traditional!!, binafsi hua namuelewa Sana sijali kutukanwa ila ila mtu akinitukana karibu namzika mda huohuo.

    • @huyu1993
      @huyu1993 4 години тому +2

      Kichwa utamla Mama ako mwehu wewe tena mshenzi

    • @huyu1993
      @huyu1993 4 години тому

      Utamzika baba ako na mama ako

    • @binseif2216
      @binseif2216 3 години тому

      Angekuwa na akili tungemlinda lkn hatuwezi kumlinda sabb chadema wauaji

    • @nugwiziwe7577
      @nugwiziwe7577 3 години тому

      Huwa najiuliza traditional huwa azifanyi kazi Kwa waviongozi wezi😢😢

    • @mathewmillanzi1700
      @mathewmillanzi1700 2 години тому +2

      Ndugu yangu hao wanaokutukana ni mashemeji wa viongozi pia ni kula kulala

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 3 години тому +6

    Akili kubwa sana

  • @jamaldaud-e4d
    @jamaldaud-e4d 12 хвилин тому +1

    Hakili kisoda hawawezi kumwelewa Tundu Lissu mwamba anaona mbali sana Asante Sana kwa maana tunapata elimu jinsi watanzania wengi hakili zetu zimedumaa

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 3 години тому +5

    Yaani hii ni mbaya sana watanzania amkeni Samia na genge lake hawana Nia njema kabisa dhulma ni kubwa sana .m.mungu ataangamiza hili taifa kwa dhulma

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba Годину тому +3

    Lissu,, wewe ni darasa zaidi ya chuo kikuu,,

  • @PoliteJustine-s9z
    @PoliteJustine-s9z 4 години тому +4

    Genius wa Taifa

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 2 години тому +4

    Makamu Akili nyingi!

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 4 години тому +2

    Tundu lisu baba laoooo

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 3 години тому +2

    Asante lisu kwa kuwafundisha SACCOOS kusoma na KUANDIKA MAANA SIASA bado sana hawa zaidi ya matusi na CHUKI 😢😢😢😢

    • @ulomirabiel6980
      @ulomirabiel6980 2 години тому

      Hongera unajua namna ya kuifanya demokrasia idumae. Ole wenu ck zinakuja ndo mtajua kuwa hamjui.

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 2 години тому

      @@ulomirabiel6980 KABLA YA DEMOKRASIA TUJUE KWANZA KUJAZA FOMU MAKAMANDA 🤩🤩🤩🤩

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 2 години тому +3

    Lakini hiyo mitego yote ni uovu uliolenga kukosesha watu haki. It is devilish. Majitu haya yanapata wapi uhalali wa kutuonza?

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 3 години тому +1

    Watakuja kuivuruga nchi hii siku moja kama hawataki kufata sheria zilizotungwa na bunge. Ubabaishaji unamwisho.

  • @njanjimlwale
    @njanjimlwale 4 години тому +1

    Kongole kwako Mh. Lisu kwa elimu sawia

  • @alexandermalima610
    @alexandermalima610 Годину тому +2

    Mwalimu wa sheria na siasa

  • @babuDingi
    @babuDingi Годину тому +2

    wewe ninoma Mzee lisu naku penda sana muhe shimiwa

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 4 години тому +1

    Ndomaana sikuizi wananchi wanashangilia yanga na simba ishu ya viongozi kuaikikiza tunakutwa na wakati mgumu saana

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 46 хвилин тому

    Vijana wengi wa tanzania ni watoto wa mama na ndio maana hawana ujasiri wa noo, na ndio maana pia wapo kwenye hofu kubwa ya kubakwa alihali ni wanaume tena wanahofu na maumbile waliyopewa na hakuna mtu anaweza kuyagusa isipokuwa kwa hiari ila hawawezi kuutetea uhai pamoja na tunaoutetea ,hawawezi kujitegemea badala yake wanaishi kama kunguni kwenye vitanda wakisubiri teuzi kama mafisi wanaongoja mzoga wanaokula simba porini

  • @godfreyLaizer-s8r
    @godfreyLaizer-s8r 12 хвилин тому

    Sasa Mweshimiwa naomba habari hii ielezwe nchi nzima, na ikiwezekana muihoji mahakamani. Japo la zaidi la kusaidia mwelimishe wanaohitaji kugombea. Yaani hawa watu wa ccm wanatuongoza kwa hila sana.

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 20 хвилин тому

    Kwa mimi binafsi nisha piga kura rais wangu ni ney wa mitego makamo wa rais roma mkatoriki na waziri mkuu tundu lisu baba wa talifa mbowe mzee wa akiba dr. Sikaha nimemaliza

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 4 години тому +1

    Fisiemu ni korona la taifa kulazimisha kututawala kwa mabavu. Ni mashetwani mungu simama tumechoka

  • @JohMwita
    @JohMwita 2 години тому

    tundu lisu anaelimisha vizuli sana ila kuna machumiatumbo utaona yanakosoa ili kuokoa matumbo yao ambayo hayana huluma na wana nchi utayaona natukama pale mwamba anapo ongea ukweli mnavunga hampendi ukweli kunasiku mtaupenda

  • @DavidMutiba-hr3vo
    @DavidMutiba-hr3vo Годину тому

    Ni aibu msimamizi wa uchaguzi tena waziri wa nchi, anapobuni mbinu chafu za kukwamisha uchaguzi huru na wa haki.

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 54 хвилини тому

    Basi wawalete kwenye ofis zetu za chadema yaan watu ni shida

  • @SimoniJohn-j7m
    @SimoniJohn-j7m 21 хвилина тому

    huyu mtu nimhimu na nibidha kwetu mungu akulinde kwauelewa wako

  • @Frank-b2d6u
    @Frank-b2d6u 23 хвилини тому

    Wanao pinga hawajitambui toka madarasan au utotoni mwao hatawanayo fanyakatika maisha yao ni ujinga tu ni magugu na mlio ngano songeni mbele

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 4 години тому

    Kiwavi jeshi😊

  • @KesuYeile
    @KesuYeile 4 години тому +1

    Chadema sio wajinga Bali sema wewe ndo hujielewi

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 2 години тому +1

    Mtajua wenyewe leteni michongo ya maisha yawe mepesi sasa wewe miaka nenda rudi mambo ni kuwaza uchakuzi ukisha unasepa ulaya

    • @ErickyKatunzi-gx3mi
      @ErickyKatunzi-gx3mi Годину тому

      Wakupe mchogo wa maisha, kwani wao ndiyo wameshika dora.?, hilo swali waulize serikali iliyoko madalakani. 😅😅

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 17 хвилин тому

      Tunataka sera! Mkipewa nchi mtatufanyia nini! Sio kukosoa tuuu na matusi yasiyo na mwisho!😢😢

    • @obednyagani506
      @obednyagani506 14 хвилин тому

      Nenda memkwa

  • @duniakidogo8516
    @duniakidogo8516 4 години тому

    Naomba mlisemee pia kuwa na askari ndani ya chumba cha kupigia kura.
    Kuwepo kwake ni kuondoa dhana ya kuwa HURU. Mamlaka ya uongozi yanatoka kwa watu ni lazima wawe huru. Lakini pia askari wanaweza kubadilishana kwa kuingia na kutoka. Mnajua wataingiza nini? Kumbuka uchaguzi wa ubunge Kawe

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 4 години тому +1

    Huyu mzee baya lake lipi wakat anatetea haki itendeke

    • @lindajohansen9220
      @lindajohansen9220 4 години тому +1

      Ni mtu mjinga tuu ndie atasema Mh. Lisu ni mbaya, au ana wivu na serekali ya ccm. Haiwezekani unaakili ukamdharau huyu Mh. Tundu Lisu

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 39 хвилин тому

    HIVI CCM NA SERIKALI YAKE NI LINI MTAENDESHA NCHI KISHERIA NA KIDEMOKRASIA???????
    KWA NINI MNAPENDA SANA MAMBO YA HILA UJANJA UJANJA UKOROFI KWA NINI?????
    KWA NINI HAMPENDI KUTENDA HAKI??????

  • @fatihiyadossa375
    @fatihiyadossa375 4 години тому +4

    Naomba Simba tundu umpe mchengerwa mwanao ili awe mkwe wako wewe maana una wivu akiwa mkwe wa mama neno kidogo mkwe wa mama mambo ya kazi Yanahusiana Nini na maisha binafsi ya mtu acha kuwa mpumbavu na unaheshimika Mzee

    • @helsonjonathan
      @helsonjonathan 3 години тому +1

      😂kwani uongo? Uyo ni mkwe wa mama kama hutaki jiue

    • @alexbujenja2750
      @alexbujenja2750 3 години тому

      Huyu nae kacoment nini xaxa UJINGA TU

    • @piusmdoe3200
      @piusmdoe3200 3 години тому +1

      Kwani sio mkwewe

    • @peterjengela1770
      @peterjengela1770 Годину тому

      Hata mama alitamka kuwa ni mkwe wake siku anamwapisha kuwa Waziri.

  • @fikiaupeo
    @fikiaupeo Годину тому

    Hi nchi itaokolewa na mawakili 😢😢

  • @EmanuelChale-u2l
    @EmanuelChale-u2l 3 години тому

    Huyu ndie yule mteule wa MUNGU wa Israeli tunayemtaka

  • @jamaldaud-e4d
    @jamaldaud-e4d 9 хвилин тому

    Camera man miyeyusho sana unashindwa nn kuzungusha camera 📸 au na wewe ni chawa kama machawa wengine

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku Годину тому

    Tuombe mungu atusimamie na corona wa ccm waondoke kabisa

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 4 години тому +2

    Jamani buyu mtu kichwani sio salama

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 години тому

    Mtu yupo kwenye semina huku coment mnatukana duh.

  • @Frank-b2d6u
    @Frank-b2d6u 21 хвилина тому

    Chadem❤❤

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 Годину тому

    Fisiem ni kansa kwa Taifa

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 4 години тому

    Daa!

  • @emanuelinaman8240
    @emanuelinaman8240 3 години тому

    Tundulisu anayo akili sanaaa

  • @ZakayoDionisi
    @ZakayoDionisi 13 хвилин тому

    Kwani uchaguzi ni kama vita vile

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 4 години тому

    Tumesanda lissu wamiango

  • @sizorstartv6168
    @sizorstartv6168 3 години тому

    Dhuluma. Dhulumaaa

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c 14 хвилин тому

    Jamaa kichwa sana uyu 😅

  • @ANGELUSLIJUJA
    @ANGELUSLIJUJA 3 години тому +1

    LISU MBONA AMLETI SELA KILA SIKU VISASI VIJEMBE TU SERA AMNA UCHAGUZI NDIO UWAPA LISI WA LEO SIO WA APO NYUMA

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 18 хвилин тому

    Fisi m ni baba la shetani

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 Годину тому

    hawa chdema hawayoipata nchi mpaka viongozi hsw waondoke wote kwanza.
    maana viongozi hawajielewi

    • @SephaniaMsigwa
      @SephaniaMsigwa Годину тому

      Wewe kama sio mtanzania rudi kwenu choko we

    • @Ziggzoldyk1
      @Ziggzoldyk1 Годину тому

      ​@@SephaniaMsigwasio kila mtu lazma awe chadema

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 Годину тому

    tatizo lalisu analughu zadharau kwaviongozi wanchi kama yeye kweli mwanasheria hapaswi kutumia lugha hizi huu niupumbavu.
    utasemaje mkwe wamama kwani haitoshi kusema waziri??

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 21 хвилина тому

      Yaani hilo ndio tatizo lake! Dharau na anachotaka yeye anataka lazima litimizwe! Sera hakuna zaidi ya kiburi!

  • @CLEMENTNDOLE
    @CLEMENTNDOLE 2 години тому

    Hivi ni lini mtawamini watendaji wakuu wa serikali?

    • @wahurumasibale6155
      @wahurumasibale6155 4 хвилини тому

      Mkusanyiko wa matukio waliyoyafanya miaka yote yanasababisha wasiaminike.

  • @charlzmboya
    @charlzmboya Годину тому

    Mungu endelea ufunua uchi usio na thamani !!! Ni aibu na madudu matupu!!! Yaani ni ukware ukware tu usio na mantiki !!! Kwa kifipi ni UJAMBAZI WA HAKI WA KUPINDISHA PINDISHA UHALISIA !! yaani aibu!!

  • @ImaculathaMasuka
    @ImaculathaMasuka 4 години тому +2

    Uongo huo.mawazo yoko.
    Nendeni mkafuate form nyinyi sio vilema.

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 Годину тому

    Mi nwkunaga mjinga hapo unaaza kumuatack mtu na kuacha hoja angalia kazi siyo umamamkwe unaosrma lisu unaujinga flani huwa unafanya ila tukusamehe bure umri nao shida akili inazeeka wee

  • @saitotimollel8495
    @saitotimollel8495 4 години тому

    chadema hooo.

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 години тому +1

    Lissu anawapotosha wenzake kwa kila kitu, yeye ni mjuwaji tuu,

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 2 години тому

    Chama cha malalamiko kujifanya ujuaji lakini uwezo hakuna nyinyi lalamikeni mpaka mchoke kila chama cha siasa lengo lake ni kushika dola sasa tundu lisu chambua kanuni sisi tunasema samia suluhu hassan mitano tena

    • @Dd-mu4fj
      @Dd-mu4fj 2 години тому

      Mhhh

    • @Dd-mu4fj
      @Dd-mu4fj 2 години тому

      Mnasema na Nani?

    • @MathiasiGregory
      @MathiasiGregory Годину тому

      Wewe fyatu hamna kitu, labda huyo samia utamchagua wewe pekeyako sisi hatumtaki

  • @fabianmihafu697
    @fabianmihafu697 3 години тому

    TUNDU LISU ana akili kubwa sana, ndiyo maana Mungu alimuokoa kwenye lile shambulio. Bila sauti za hawa jamaa tutachezewa sana Watanzania. Tuzidi kuwaombea

  • @binseif2216
    @binseif2216 3 години тому +1

    Chadema hatuwapi nchi wahuni nyie

  • @emanuelalex9301
    @emanuelalex9301 4 години тому +1

    Duuu hill jama linawapotosha wenzake

    • @GambasonLuselegasi
      @GambasonLuselegasi 3 години тому

      Wewe ndo huelewi endelea kula miguu ya kuku na utumbo wa bloire

    • @KasalamaAlly
      @KasalamaAlly 5 хвилин тому

      Kweli akili nyingi sana nakubali sana

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 4 години тому +1

    Chadema wajinga sana na siwajinga tu ila niwehu kabisa

    • @IsayaKamomonga
      @IsayaKamomonga 4 години тому

      Nani mjinga zaidi kati ya mjinga na anayefuatilia wajinga?!!! Uchawa utatumaliza.

    • @zuberilekengere5763
      @zuberilekengere5763 4 години тому +1

      Wajinga mamaako​@@IsayaKamomonga

    • @DanstanMushobozi
      @DanstanMushobozi 4 години тому +1

      Unafikiri umeandika kitu cha maana ? Watu kama wewe ni tatizo kwa taifa

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 4 години тому

      @@IsayaKamomongaNENDA KWANZA KAFUNDISHWE KUJAZA FOMU NA UFUNDISHWE ADABU 😢😢😢😢😢

    • @josephmkinga9509
      @josephmkinga9509 4 години тому

      ukafie mbali kuita wenzio wajinga kenge wewe