Nimerudia kwa idadi kuubwa sana mpaka sikumbuki ni mara ngapi...nabarikiwa na wimbo huu mpaka sijisikii kuuchoka kuusikiliza..... Una ujumbe mzito sana unaoendana na wakati tulionao. Mungu akubariki ktk huduma hii uliyonayo ikue na kukua!
Mwenye huu wimbo ana itwa Rozali siyo huyu dada ambaye ame uweka huu wimbo hapa. Huyu mwenye hii picha ame ibiya huu wimbo akanji wekaya yeye na dio maana muna ona hawezi kuwa njimbu nyiye wote kwenye mesage ila mukita kumupata mwenye huu wimbo njimbu tu hii mesage nita wapa nambar yake na amesha ifanyiziya video karimbuni tuta iweka kwenye you tube yake mwenye we
@nadegeotsha Asante sana ndugu kwa mwangaza huu sasa tunganishe naye hakika tumebarikiwa vyakutosha pole kwa wenye kuiba kazi za wengine Mungu hamfichi mnafiki niunganishe naye please 🙏udi8376
Nimerudia kwa idadi kuubwa sana mpaka sikumbuki ni mara ngapi...nabarikiwa na wimbo huu mpaka sijisikii kuuchoka kuusikiliza.....
Una ujumbe mzito sana unaoendana na wakati tulionao.
Mungu akubariki ktk huduma hii uliyonayo ikue na kukua!
Sawa sawa dada ubarikiwe sana
Kwahii wimbo siku zaisha.
Dalili tunazoishi Léo zina lingana kiukweli n'a wimbo huu, Niko Congo hapa goma nawafuata,mubarikiwe sana😤😤😤😤😤
🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Courage ma Grande Soeur que notre DIEU vous payé infiniment j'aimerais un jour chante avec vous,...
Nikisikia wimbo huu nakumbuka mume wangu❤ Alikuwa naupenda sana
J'aime beaucoup la chanson
Je suis tellement béni à travers cette chanson madame, suis au Burundi.
Ubarikiwe sana da Siku kwahuyu wimbo wako umewaokowa mataifa wengi katika dhambi❤❤❤❤❤
Dada vraiment Mungu akubariki na akuongezeye ujuzi na uendeleye kufundisha wanadamu. Ubarikiwe sana
Vraiment que Dieu te benisse ma soeur Rosalie.
Ndiyo kabisa acha Mungu akubariki
Mungu akubariki sana Dada kwa ufunuo mzuri kwa nyimbo hii hongera sana
Dada ubarikiwe sana, Mungu akuzidishiye ma chérie iko kweli siku zinaisha
Amen
Barikiwa sana
Amen Amen
@@anisiamedard3775 Asante kwa Wimbo huu, shoot vidio niko tayari kwakui support please
Merci pour ces grands mots vraiment🙆🙆🙏🙏🙏
Dada Mungu akubariki
Nabarikiwa n'a wimbo huu nitakupataje Kwa kukupongeza dada
Mwenye huu wimbo ana itwa Rozali siyo huyu dada ambaye ame uweka huu wimbo hapa. Huyu mwenye hii picha ame ibiya huu wimbo akanji wekaya yeye na dio maana muna ona hawezi kuwa njimbu nyiye wote kwenye mesage ila mukita kumupata mwenye huu wimbo njimbu tu hii mesage nita wapa nambar yake na amesha ifanyiziya video karimbuni tuta iweka kwenye you tube yake mwenye we
@nadegeotsha Asante sana ndugu kwa mwangaza huu sasa tunganishe naye hakika tumebarikiwa vyakutosha pole kwa wenye kuiba kazi za wengine Mungu hamfichi mnafiki niunganishe naye please 🙏udi8376
@@nadegeotshudi8376tupe full name ndugu asante sana.
MUNGU akubariki sana huu wimbo umenibariki sana
Barikiwa sana.
Amen mama God bless you kabisa is true
Amen 🙏, Mungu tusaidiye
Dada weye nimucha Mungu waimbaji wegi wanaimbaka tu kuusu baraka lakini weye unaimba kuusu zambi barikiwa na Mungu
Amen dada niukweli kabisa , sikuzimeisha kweli
Amen dada
Siku zimeisha niukweli kabisa.
Njokweli île dada. wakristo waleo hawapendi mahubiri ya kweli
Dada ubalikiwe sana na mungu
ubarikiwe sana dada🙏🙏
Nyimbo safi
God bless you
namba yako tu naitaji
😭😭😭😭
Amen dada
Barikiwa ndugu
@@anisiamedard3775 nyimbo nzuri
Ameeeeen
Merci ma Sœur
May God bless you guys 🔥🔥🔥
Kweli
Nice
❤❤❤
asante
asanteni
Please I need the video
I love this song .God blessing you so much
Nikweri
Juwkimu
Amen amen
Amen
Amen
Amen