ONA..!! Mama ALLY alivyotokwa machozi baada ya YANGA kumtembelea mwanae

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 31

  • @amneseif410
    @amneseif410 Рік тому +1

    Allah atawafanyia wepes wagonjwa wote inshallah na cc atupe afya njema na imara kwa sote inshallah

  • @laghtnesphilipo489
    @laghtnesphilipo489 2 роки тому +1

    Pole mama Ally , Mungu ampe maisha marefu atapona kwa uweza wake

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 Рік тому +1

    Pole mtt mzuri utapon mungu atakuafu INSHAALLAH 🤲🤲

  • @humudalhashmiy1761
    @humudalhashmiy1761 2 роки тому +2

    Pole ally mipango ya Mungu, Mungu hakosei kuumba ...ugua pole

  • @mussaandrew2083
    @mussaandrew2083 2 роки тому +4

    Dada ana jua kujieleza vizuri sana 👏🏼👏🏼👏🏼

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 2 роки тому +1

    Pole sana Ally inshallah mungu kwake akuna linalo shindika utapona

  • @amirikiponda3993
    @amirikiponda3993 2 роки тому +1

    Daaaaahhh pole sana Dada yangu .....Ally atapona ....Allah ampe nguvu

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 2 роки тому +3

    Namuombea Mtoto wetu Ally uzima na afya. Ya Raby nakuomba mpe uzima mtoto wetu Ally.

  • @ashavitalis4504
    @ashavitalis4504 2 роки тому +1

    Pole sana Ally ALLAH atakujaalia kher utapona kwa idhini yake inshaallah 🙏

  • @aminamachano2275
    @aminamachano2275 2 роки тому +1

    Allah atawapa wepesi wa kumlea
    Ali na kila la kheri

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 2 роки тому +1

    Pole sana sisitunakupenda sana

  • @ummyhoza4495
    @ummyhoza4495 2 роки тому +1

    Pole sana Ally

  • @apostleisaacnyika4669
    @apostleisaacnyika4669 2 роки тому +2

    MUNGU Amponye Mtoto huyu Kwa Jina la YESU KRISTO..

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 роки тому +1

    Safisana yanga kuwasaidia watoto kamahao wezetu wa msimbazi wao waendelee kupeleka hela zao kwenye kamati ya ufundi

  • @neemabadi1531
    @neemabadi1531 2 роки тому +2

    Wallah Yanga mkifanya haya aliomba huyu mama, imani yangu kesho kiama mna fungu kubwa kwa Allah

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 2 роки тому +1

    Pole sana mtoto mzuri

  • @geraldbagole4494
    @geraldbagole4494 2 роки тому +1

    Michezo ni kiwanda cha mambo mengi nawapongeza Yanga,nawapongeza Simba kwa Visit Tanzania RAI yangu tuache CHUKI.Huku mnatembelea wagonjwa huku mnapigana uwanjani halafu Jambo la AJABU eti timu fulani ikija kucheza na Simba msaidie!Tuache quality ya soccer ijitangaze sio ujanja ujanja!

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 2 роки тому +1

    MUNGU awape tumaini lake ktk mioyo yenu 🙏🙏

  • @ridhiwanikhalifa9036
    @ridhiwanikhalifa9036 2 роки тому +1

    Fact huyu mama anafaa kuwa balozi wa wengine

  • @abdullahmullahmshirazy904
    @abdullahmullahmshirazy904 2 роки тому +2

    Sahihi

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому +1

    Hawa waarabu hata wasomali wana tabia ya kuoana ndugu na kuzaa na hii uwa inawasababishia mara nyingi watoto wao kupata magonjwa kama haya, kwa wasomali wengi wana magonjwa ya akili kutokana na kuowana ndugu

    • @Mamkubwa
      @Mamkubwa 2 роки тому +1

      Saasa weewe una uhakika gani kama hawa wameoana ndugu... je na wale wasio oama ndugu na watoto wakazaliwa hivi unasemaje..... usihukumu ndugu yangu. We mshukuru Mungu kwa uzima ulopewa.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 роки тому

      @@Mamkubwa kabisa

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 2 роки тому

    MIMI ni SIMBA saaaaaaaaaana, NAWAPONGEZA sana UTOPOLO katika Jambo hili la Kheir. Mnaanza kuwa kama SISI.🙏🙏🙏🙏

    • @alicenice1711
      @alicenice1711 2 роки тому

      Pole saana makolo utakufa kwa kuangaika

    • @alicenice1711
      @alicenice1711 2 роки тому

      Pole saana makolo utakufa kwa kuangaika

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 роки тому

      Safisana mwana makolo lkn wambie Simba wache kamati ya ufundi waige mfano wa yanga

  • @glorydenis5111
    @glorydenis5111 2 роки тому

    anaumwa ni nini

  • @ahmedimuhamed6267
    @ahmedimuhamed6267 2 роки тому

    Uyooo jamaa muongo. Sana. Anasema. Kuowana ndugu. Ndio unapata marazi. Wacha uwongo wewe.

    • @ashavitalis4504
      @ashavitalis4504 2 роки тому

      Usibishe hutokea sana

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 роки тому

      Roho inakuuma Kwa yanga kutoa misaada kamahiyo Nye Simba endeleni kupeleka hela Kwa waganga wakienyeji