Mtu asijaribu kuseme kua yeyw ndie wa Kwanza 😁😁 napasua mtu kichwa hapa niko na gobole afu aje kusema wewe ndo wakwanza aaaaahhhh weeeeee timbwili kama lote walaai tena jaribu, oooohooooyooooo number One hapa 😂🤣🤣🤣✅✅✅🙌
vip kaka muendelezo ukowapi sijawona mimi part17 unafeli wapi bro umesema imekwisha sasa hatuwoni mwisho unatuangusha mashabiki wako ushahuri wangu kaza kaka umerudi nyuma sana jitaidi utudi nafasi yako ya kwanza lucas na anko jay wanakukimbiza sana tafuta history nzuli mbele ulikuwa ukitowa simulizi ndani yasaha moja tu unakuwa umejaza like na comment ila kwasasa tiza afu majibu unayo nauyafanyi kazi mimi shabik wako
Nakumbuka huko mwanzoni walisema kwamba wazazi wa Alvin alienda mbogo lendi kutafuta maisha na hawakuwahi rudi tena je hamdhani kama wazazi wa Dr Linda ndo wazazi wa Alvin???
Sehemu ya 15 mwanzoni kabisa mwamba wa sauti Felix Mwenda aliomba radhi,na akaahidi hakuna kusimama itamalizika yote, sielewi, utashangaa story mbovu zinaingia zinamalizika, halafu gobore la urithi haitoki kwa wakati, hiii inajenga chuki kwa wahusika na inakuwa kero mno, kama haijakamilika si waache hadi ikamilike ndio waleta humu, kuliko kuwatendea hivi wasikilizaji, inachosha kweli haka katabia
Nan mwingne alimiss hii story gonga like nkuone
@@Djay4.1 jamaani 😁😂 Mimi hapaaaaa 😂😂 yaani nilipo Iona Hadi tumbo likawa Lina niuma etiy😂😂
@@Djay4.1 lakini mbona hakuna muendelezo nawewe
@@jenniferlicko4736 😂😂😂😂😂
Mtu asijaribu kuseme kua yeyw ndie wa Kwanza 😁😁 napasua mtu kichwa hapa niko na gobole afu aje kusema wewe ndo wakwanza aaaaahhhh weeeeee timbwili kama lote walaai tena jaribu, oooohooooyooooo number One hapa 😂🤣🤣🤣✅✅✅🙌
👏👏👏😂😂😂❤️❤️
😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@@user-cq5kd3zi6p hahahahaha 😂🤣😂🤣 funny moments with brother Felix Gallardo 🎤🎤😁😁😁😂🙌🙌🙌🙌
😂😂😂
Kijana nanuna kisa ajakula kitumbua cha mrembo😂😂😂😂 shukran sana simulizi mix ucitucheleweshee sana😢
Wakwanza jamani 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Hee gobole limerudi Tena, ahsante Edgar na Felix
Heeee kumbe huku kuna gobole 😂😂😂😂acha tukawapasue vitswaa hao wahuni
Wa tatu leo😊
Jamani gobore languuuuuju❤❤❤❤❤ asanteni kwa kutuletea
Dah ila hii story tunavyoletewa mbona mnatutesa sana jamani....
😓😕🙆 acha tu hadi chuki
Mna ichelewesha sana.
Eeh sio doctor Linda upuusi wa masikali
Shukrani Kaka Felix salimia Edigar mbogo ❤❤❤
Wakwanza nipeni like zangu 🎉🎉🎉
Namii niliimiss sana
❤❤❤
Leo ni leo . Thanks Felix
vip kaka muendelezo ukowapi sijawona mimi part17 unafeli wapi bro umesema imekwisha sasa hatuwoni mwisho unatuangusha mashabiki wako ushahuri wangu kaza kaka umerudi nyuma sana jitaidi utudi nafasi yako ya kwanza lucas na anko jay wanakukimbiza sana tafuta history nzuli mbele ulikuwa ukitowa simulizi ndani yasaha moja tu unakuwa umejaza like na comment ila kwasasa tiza afu majibu unayo nauyafanyi kazi mimi shabik wako
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥👌
Wa 7❤❤❤
Asante sana
2 liimiss akih😂😂😂❤❤
Simulizi hii imekamilika ila kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatuwezi kupost chochote youtube kwa sasa mpaka tutakaporejea tena week ijayo
Bac mkirudi mtumalizie yote jmn tumechoka kusubiria story mpaka inaisha hamu
Hivi huyu Joyce hatakamatwa, huko mjini na mama Rafale
❤❤🎉
Imecmama au ni mm cipati😂
Be blessed all yaani simulizi mix inajelewa lkn inakua tamu nina swali kwenu mbona mumetulia ivyo
😂😂😂😂watu watakutan na chuma
Na omba 17 season 2 plz
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nice
Wa 21
Na unajua kutuchanganya😅😅😅nlingoja nkachoka 😅
Hadi unasahau
M2 wa 7 leo
Simulizi mix one week mlienda wapi
❤❤❤😂😂😂
Nakumbuka huko mwanzoni walisema kwamba wazazi wa Alvin alienda mbogo lendi kutafuta maisha na hawakuwahi rudi tena je hamdhani kama wazazi wa Dr Linda ndo wazazi wa Alvin???
No 😅😅
Usituharibie simulizi please 😄
Mmmmh sidhani
Ila simlizi hii daa hata ikija kuisha sijuwi itakuwa mwakani?
What's long to simuliz mix
Nothing Wrong we are away for the while.. We will be back after one week since the last post..
@@SimuliziMix thank you very much , I can't wait my family simulizimix
Vipi mbona 17 ilitakiwa itoke leo 😢😢😢na siioni
Sehemu ya 15 mwanzoni kabisa mwamba wa sauti Felix Mwenda aliomba radhi,na akaahidi hakuna kusimama itamalizika yote, sielewi, utashangaa story mbovu zinaingia zinamalizika, halafu gobore la urithi haitoki kwa wakati, hiii inajenga chuki kwa wahusika na inakuwa kero mno, kama haijakamilika si waache hadi ikamilike ndio waleta humu, kuliko kuwatendea hivi wasikilizaji, inachosha kweli haka katabia
Simulizi imekamilika ila kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatuwezi kupost chochote youtube kwa sasa mpaka tutakaporejea tena week ijayo
❤❤❤
❤❤❤
❤❤