TAWALA OFFICIAL MUSIC VIDEO | LIZAH NJOGU SMS : skiza 6988753 ,send to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • To download as Skiza SMS : 6988753 send to 811
    Prepare to be blessed by Lizah Njogu's powerful new worship song, Tawala! 🙌 This spirit-filled anthem calls on us to surrender everything to the King of kings and let Him reign supreme in our lives.
    💖 Let this song touch your heart, uplift your spirit, and draw you closer to God's presence. Share it with your loved ones and be part of this divine move! 🌍🙏
    🔥 Trending Now in Kenya's Gospel Music Scene 🔥
    #LizahNjogu #Tawala #KenyaGospelMusic #GospelHits #JesusReigns #KenyaWorshipMusic #PraiseAndWorship #AfricanGospelMusic #Gospel2024 #WorshipVibes #KenyaMusic #ChristianMusic #SpiritFilledSongs #WorshipWithUs #KenyaTrending #GospelAnthem #TawalaChallenge
    💿 Stream | Like | Share | Subscribe
    📢 Spread the word: Jesus reigns forever! 💕
    🛑 Follow Lizah Njogu for more inspiring worship music:
    🌐 [Social media links or website]
    📩 For inquiries: [Email address]
    🔔 Click the notification bell to stay updated on the latest releases!
    #LetJesusReign #GospelMusicKenya #TawalaWorshipSong #LizahNjoguTawala
    🟢🟢🟠🔴Lyrics
    mmmmmh
    eeei
    inuka Baabaa
    Tunakungoja eeei
    halleluya
    halleluya
    Inuka utawale Baba oooh,utawale
    inuka utawale Baba ooh,tawala
    inuka utawale Baba oooh utawale
    inuka utawale Baba oooh,tawala
    Jehovah nissi,bendera ya ushindi wetu
    Jehovah shalom,Amani ya mioyo yetu
    Jehovah Rapha,Mungu mponyaji wetu
    Tunakuita Leo,ukatutimiziee
    Daudi akasema,Tangu utotoni mwangu
    sijawai ona , mwenye haki ameachwa
    Wala watoto wake,kuombaomba barabarani
    Tunakuita Leo ukatutimiziee
    Mungu wa ibrahimu,isaka na yakobo
    uliyekua mwanzo,na hata Sasa upo
    ulitenda mambo mengi,ukaponya ukafufua
    Tunakuita Leo, ukatutimiziee
    Mungu wa Israeli tukumbuke ..Tukumbuke
    Unayejua mioyo yetu tukumbuke...tukumbuke.
    Turejeshee amani yetu tukumbuke..tukumbuke.
    Jehovah shalom, Amani ya mioyo yetu
    Tunakuita Leo ukatutimiziee..
    #gospel #kenya #music #africa #god #gospelmusic #love #hope #jesus #church #faith #world #christ #nairobi #bibleverse #christian #promoter #dj #godsplan #christianity #irepbeatlink #beatlinkworldwide #bible #godaboveall #christianblogger #tanzania #gainwithxtiandela #life #singer #musician

КОМЕНТАРІ •