Hakufukuzwa,na wala hawezi kufukuzwa kwao,japokuwa nchi ina vitimbi sana.Ila kama imfwatilia au ulikuwa ukimfwatilia kwenye Darsa zake basi alielezea kama Ramadhan hii yote hatokuweko Zanzibar,ana Mialiko mwezi mzima wa Ramadhani na Eid yake nchini Kenya.Alishalielezea hilo kitambo
Assalam alaikm sheikh mi naomba kuuliza kidog mimi ikiwa nilikula ijumaa lakini katika jamii yangu walonizunguka wengi wamekula jumamosi Sasa Mimi zakatul fitri nimetoa jumaamosi lakini mimi ijumaa sikufunga kwa mujibu wa mwandamo wa kimataifa (Saudi) je zakka yangu imesihi au haikusihi? tafadhal naomba jib kwa mjuz
Mashallah sheikh muhammad bachu mashallah
Allah Atuhurumie Na Atusamehe Tulipokosea Ya Rabb, Jazakallahu Khair Sheikh Umri Thawil In Sha Allah.
Amin Ya Rabb
Sheikh ALLAH akulinde tuongee haki tu
Shekh assalam alaikum
Mashaallah Mungu akuhifadh Shekhe wetu Muhammad bachu karibu sana kenya
MashaaAllah quran WA hadith sahih.
Jazakallahukheyr Allah ya Haddik
Allah akupe kila la kheri sh. Muhammad bachu tunakupenda
Mbona Takbira hujaleta kwenye Khutba
Taqbiraaaa vp
Maa shaa Allah.
Maaaa asha ALLAH
Mashaaallah
Good
Waislamu tuache majungu.waislamu wote ni ndugu.sasa kuna shida gani yeye kuja Kenya.????
Jamini tunamuhitsji sheikh wetu aje atupe Raha kwetu zanzibaar ,nikimsikiliza natamn kulia mana napenda aje kwetu
SHEKHE SIKU HIZI MNAKOSEA KUANDIKA (PALOJA)❌
Twahofia haya makamera yasije waingiza kwenye ria
Wewe umefukuzwa kwenu zanzibar umekimbilia Kenya rudi kwenu
Wewe mwenyewe mkimbizi hapo kwani ww Zanzibar kwenu?
@@cholosadi4352 wewe mwehu wajua mimi ni wa wapi jibu
Hakufukuzwa,na wala hawezi kufukuzwa kwao,japokuwa nchi ina vitimbi sana.Ila kama imfwatilia au ulikuwa ukimfwatilia kwenye Darsa zake basi alielezea kama Ramadhan hii yote hatokuweko Zanzibar,ana Mialiko mwezi mzima wa Ramadhani na Eid yake nchini Kenya.Alishalielezea hilo kitambo
@@nayef3903 wewe mnyika tu, kuzaliwa Zanzibar haimaanishi kua una asli ya Zanzibar.
MTi nzuri ndio upibwae mawe
Wengi wakikimbia wanaenda kenya
Assalam alaikm sheikh mi naomba kuuliza kidog mimi ikiwa nilikula ijumaa lakini katika jamii yangu walonizunguka wengi wamekula jumamosi Sasa Mimi zakatul fitri nimetoa jumaamosi lakini mimi ijumaa sikufunga kwa mujibu wa mwandamo wa kimataifa (Saudi) je zakka yangu imesihi au haikusihi? tafadhal naomba jib kwa mjuz
Naam hiyo zaka yako imeisha
Tkibira cjaeelewa kabisa nn ss
Cjaelwwa takbira jmn ndo nn iyo
Takbirahii vipi mohamad nasor Abdallah dauraji bachoo?
MashaAllah