Vijana katika eneo la Bonde la Ufa watumia teknolojia kulinda misitu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 чер 2024
  • Katika juhudi za kulinda misitu na minara ya maji kuhifadhi mazingira, kundi la vijana mjini Eldoret limeamua kutumia teknolojia kuimarisha juhudi zao. Majaribu na Utumizi wa ndege hizi zisizo na rubani ukitajwa kuwa wa kufana, Kama Agnes Oloo Kachola alivyoandaa kwenye makala yafuatayo

КОМЕНТАРІ • 2