Bony Mwaitege -Neema Imenibeba '' (Official Music Audio)
Вставка
- Опубліковано 1 жов 2024
- Hellow ndugu zangu ulimwenguni kote, ule wimbo wetu wa Nikwaneema sasa tumeufanya kwa upya na naamini utakubariki sanaa,
#neemaimenibeba
Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
Bony Mwaitege -Neema Imenibeba
MUNGU AKUBARIKI SANA.
Neema imbebe mtumishi wa MUNGU @Bony mwaitege na ivunje Sheria kwa jina la YESU 🙏🙏🙏 anaimba nyimbo zinazobariki na kuinua mioyo yetu🙏🙏 umbali huu YESU ni Ebenezer 🙏🙏🙏 lets support 🙏🙏🙏🙏🙏
Asante sana ndugu yangu
Amen Asante sana ndugu yangu
@@bonimwaitege4073❤❤
Courage vraiment pas de soucis 🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩
Mungu akubariki sana , jinalabwa nayesu lisifiwe , Amina Amina ❤❤❤,🇨🇬🇨🇬🇨🇬🙏🙏🙏
Amina ndugu yangu
Amina kwakweli neema inatutocha,
God bless you, am blessed with your songs 🙏🙏🙏
Amen
Nyimbo nzuri sana🎉🎉🎉🎉❤❤
Asante
Wonderful ❤❤🎉🎉
Good song.
Baba kazi ipo juu Sana ubarikiwe sana
Ubarikiwe Bony mwaitege
Baba mungu akubariki kupitia wimbo,, neema tu RDC
❤❤❤🔥🔥🔥
Wonderful song God bless you man of God ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Amen
This is a hit 😊😊😊of another version. Kudos blessed man of God
Ameeen
Alleluya,❤
Neema inatosha.hivi nilivyio mimi.....ubarikiwe saaana mtumishi.
I'm from kenya but working Dubai l love this song Neema ya mungu pia imenipepa❤🙏🙏
Primeiro comentário 🎉
🙏🙏🙏 high level man of God
Am in Uganda how I like ur songs may u be blessed amen
Merci mon artiste
Neema tu
Hakika nimebebwa na neema ya mungu tu
Powerful❤❤❤❤
Amina, nmebebwa na neema ya mwenyezi Mungu.. Mungu azidi kukuinua mtumishi wa mungu bonny..nyimbo zako za sai na ata za kitambo uwa zinatuhudumia na tunabarikiwa zaidi.. 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Asante sana ndugu yangu
@@bonimwaitege4073 barikiwa sana
Je me rappelle une chose
Hivyi nilivyo ni NEEMA ya MUNGU
Hata mm neema imenibeba
Good morning. bro
Kabisaa tunabebwa na neema ya Mungu ubarikiwe saaana 🙏 ndugu yangu
Mungu akusaidie mtumishi
Wonderful song ❤❤
Thanks
Amen
Being lifted,and lited very nice
Good song barikiwa sana mutumishi wa mungu
Hongera sana kwa wimbo mzuri lakin naona umeuludia wimbo wa kwa neema lakin sio mbaya pamoja kaka Boniface
Ndio ndugu yangu NIMEBOLESHA.
neema imenibebe mtumishi wa mungu ❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
The only wealth I have all my life is being a Christian. I'm pride!
Neema.ya.mungu.tu
ime nibeba
Umenibeba wema
Thanks God
Ameeeeeen mtumish wa mungu
Love your song aki sna
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ keep it up Man of God 🙏🙏🙏
Amina🙏🙏🙏🙏🙏😥
Loving this song ❤️
Nice song ❤❤❤❤
Blessed🎉🎉🎉🎉
Amen amen
🔥🔥🔥🔥🔥
An
Amen
Neema
Uko SAWA Bonny tunakupenda sana.nawale vijana wanachezeanga poa usiwaache kabisa
Amen 🙏
Ni kwanema yake kweli. Na mimi ni mdhaifu sana lakini nema yake Mungu ndio inanisaidia. Ni Ubuntu bw Imana kweli. Sinobesha.
🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏
Naupenda muziki ♥️wa kiafrika japo siuelewi, mimi ni wa Angola🇦🇴 tu, ni mwafrika tu


Welcome Tanzania 🇹🇿
Legend wetu kwenye Gospel heshima kwako Mtumishi
May God Almighty continue blessing you wishing you more years
Loving this song, Amen.
Kwer kaka balikiwa na bwana neema ya mungu imetubeba sana wimbo hakika unabaliki sana balikiwa sana
I really appreciate you mtumishi bony mwaitege
I'm soo blessed by this song thanks and be blessed in the name of Jésus Pastor bony mwaitege❤
Thank you so much
It's only the grace of God that has carried us.
ubarikiwe kwa burudani nzuri ya ujumbe wa neno la mungu
Hakika nyimbo zako zinabariki na kumtukuza MUNGU wetu
Amazing,,, man of God let that grace be with you always
Kweli kabisa nimebebwa na Neema ya Mungu, Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
I like this man of God ❤nabambika sana na nyimbo za bonny mwaitege
Mungu akubarikii sana mtumishi aendelee kukutumia tena na tena
It's only Grace of God bless us nimependa xn song
Kenyans in the house chapa likes... Neema imetubeba
You're the best ❤❤
Thanks
I am a living testimony of God's Grace, thankyou mtumishi ❤
Neema ya mungu imenibeba katika jina la yesu 🙏🙏🤚
Can the song be elaborated in English for me!
Mume bado sina lakini kwanema nitamuona
I'm waiting 4 this grace to take over
Amina
Neema imenibeba
Ahsante mtumishi
KENYANS WELL REPRESENTED 💯HII NI MOTO SANA MTUMISHI WA MUNGU ,...BINAFSI NIMEIKUBALI🤝🤝🤝💯
Asante sana
Amina sana mtumishi barikiwa sana kwaujumbe mzuri sana
Nice song mtumishi
Neema inatosha
when are you visiting kenya again
Barikiwa sana
wonderful song👍
Hakika ni Neema tu
Wapi like za wakenya wenzangu ❤❤❤
MUNGU AKUBARIKI SANA
Amen
Neema imenibeba hakika
Much love from Kenya ❤
Barikiwa sana🙏🙏
Haleluya
Amen
Nilishukuru kujuimuika nawe Nairobi Kwa Mchungaji Mukiadi wa Mukiadi......ulitamuka Baraka za vipaji vya uimbaji wa nyimbo za injili
Amen
Very nice 👍
Very nice 👍
Nice
Kufika leo hii ni neema ya mungu tu❤❤
Amen