KABABU za NYAMA | Jinsi ya Kupika KABABU za NYAMA kwa Njia Rahisi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Kababu za nyama. Mapishi rahisi ya kababu za nyama. Jifunze jinsi ya kupika kababu za nyama kwa njia rahisi Sana. Mahitaji yake Ni rahisi kwa Kila familia.
    MAHITAJI;-
    Nyama ya kusaga (500g / nusu kilo)
    Chumvi (vijiko 2 vya chai)
    Pilipili manga (nusu Kijiko Cha chai)
    Manjano (Kijiko 1 Cha chai)
    Tangawizi (Kijiko 1 Cha chakula)
    Kitunguu swaumu (Kijiko 1 Cha chakula)
    Pilipili kali 1
    Kitunguu maji (2 vikubwa)
    Mafuta ya kupikia (Kijiko 1 Cha chakula)
    Viazi vipivyopondwa (2-3)
    Mdalasini (Kijiko 1-2 vya chai)
    Royco (vijiko 2 vya chakula)
    Soy sauce (vijiko 2 vya chakula)
    Yai 3
    Chenga za mkate (Kikombe 1 Cha chai)
    Unga wa ngano

КОМЕНТАРІ • 2