@@queenshibaskitchen9130 nimejibu alivokua ndio maana nikasema " UZOWEFU... NIMEONA"... Meaning uzowefu wangu WA jikoni nimeona spices ulizoweka zile nzima nzima. Maybe nimekosea lugha.
Dear siweki yai, umefata nilivofanya? Mana nyama ikiwa mbichi nusu na nusu ilokaushwa haiwezi kumungunyuka kababu, pia huweza hufanya kufumka tu ikiwa nyama yenyewe ina mafuta mengi jarubu kufuata maelekezo kamili habibty.
Habibty nimejibu kwenye msg za nyuma, kama umefata kila kitu nlivo fanya, itakuwa nyama yenyewe ina mafuta ndio inasababusha kufumka kababu lakin ungenitumia picha ningeweza kukusaidia zikifanya hivo ufanye nini. In shaa Allah nikitulia nitafanya video yengine niwaoneshe jisi yakufanya nyama ikiwa na mafuta.
Ukitia maji kwanza inspunguza kufanya mapovu mengi kwa mafuta pili kababu zinakuwa na muoneshe mzuri kama unavoona yai limekaa kama nyuzi nyuzi halija cover kababu yote ikaka kama kachori. Hope umefaham
Uzuri uchemshe ikiwa nusu ndonlivo fanya, au ikiwa yote pia sawa lakin ikiwa mbichi kabisa tabuyake inafumka sana kababu na ukipata nyama ina mafuta ndio halass huna kababu kavu kama hujachemsha japo nusu yake.
Tuletee mapishi mapya ya ramadhani ukhty shukran habibty
Tabaraka Allah
masha'Allah ❣️
Mashallah
Nimejifunza kitu mamy ahsante sana allah akubarik akupe kila lakher
Amin kwa sote
Mashallah tabarak Rahman shukran ukhty 🥰🥰🥰🇴🇲
Mashaallah you are talented
maashaallah mungu akubarik
Amin kwa sote
Kababu nzuri ma shaa Allah na nimependezewa na vile yai ulivyoweka, habibty you are very creative,
Shukran auntie
@@queenshibaskitchen9130 spice umetia uzile na nn tufahamishe hivyo vingine
aiyam hassan mbona nimeandika kila kitu kwenye description hapo chini ya video kuna kama ialama cha ero rangi ya grey kibinye itakuwa recipe yote.
❤Mashallah
Mashaa Allah napenda mapichi yk auty Allah akuhifadhi mikono yako shukran 😘
Amin yarabi shukran
Asalaam, nimekuckia umetia nyama mbichi na ulochemsha ni kweli?
Waleikum salam walah masuali mengine sijui niwajibu nini sinimeweka video au haioneshi ?
@@queenshibaskitchen9130 Afwaan
MashaAllah habibty
thank you I liked ur recipe very good
Yummmy❤
mm naomba recipe ya haluwa
Jazaakallah kheyr ukhty napenda mapishi yako hlf unafahamisha uzuri allah atakulipa kila la kheri na afya amiin😘😘
Amin yarabi kwa sote sister
Mashaallah nzuri
Mashallah muonekano poa kabisa
Allahumabarik
Mashallah mapishi mazur tunafaidika.allah atakupa ujira wako🙏
Amin yarabi shukran
Mashaallah
Mashallah sauti yako km aroma of znz
Aka kumbe labda sote wazanzibari ndio mana 😆 🤣
Yummy, acha tuingie jikoni 🫕🥣
Masha Allah, where are you?
Shukran dear🙏🏼
Asante
Kama unavyo vya unga tayari izo spices haina haja kusaga tena ama vp, Mashaa ALLAH
Kama umavo va unga ni sawa tu. Hivi nlivo fanya inafanya kababu iwe na harufu nzuri zaidi lakin ukitia tayari za unga hamna neno dear.
Super😍😋
Naomba uniunge kwenye group lako mpendwa
Mashallah pambeee sana habibty
Allah akubaarik Habibty illa napenda kujua hizo spies
Spays ni nn
Mbona husemi spices ulizo changanya mwanzo???
Exactly
Kuna cumin seeds, coriander seeds, black pepper seeds na chilli flakes. Kwa uzowefu wangu ndio nimeona
Uzowefu upi huo dear? Why usiwafshamishe wezio ukweli kuwa nimeandika kila kitu kwenye description hakuna nlichoonesha nikawa sijataja
@@queenshibaskitchen9130 nimejibu alivokua ndio maana nikasema " UZOWEFU... NIMEONA"... Meaning uzowefu wangu WA jikoni nimeona spices ulizoweka zile nzima nzima. Maybe nimekosea lugha.
@@queenshibaskitchen9130 kisha mm sikusoma description Huenda ndio same mistake as mdau alieuliza.
A'aleykum, tunaweza tumia nyama mbichi tupu
Kwaiyo kabab unachoma hvyo hvyo au lazima uchovye kwenye yai bichi mpnz
Sijafaham suala lako. Ila kuna kababu aina ya 2 pia angalia huenda ukapata jibu lako.
Namaanisha ukishafanya viduara hvyo ndo unatia kwny mafuta au unachovya kwny mayai halafu ndo unatia kwny mafuta
Dear si nimeonesha stap zote? Angalia vizuri please. Hivo nlivofanya ndivo navofanya. Kama hutaki kuchovyia kwenye yai angalia beaf kebab recipe 2 nimekweka last month.
Spaice Gani umetumia
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatu nimezijaribu zimemumunyika zote motoni sijui what went wrong. Kwenye mchanganyiko huweki yai??
Dear siweki yai, umefata nilivofanya? Mana nyama ikiwa mbichi nusu na nusu ilokaushwa haiwezi kumungunyuka kababu, pia huweza hufanya kufumka tu ikiwa nyama yenyewe ina mafuta mengi jarubu kufuata maelekezo kamili habibty.
Ntajaribu tena kesho In Sha Allah
In shaa Allah lakin please fata step by step nlivofanya na hakikisha nyama ipo kavu, nyama nzuri ni ta steki ilosafi
Jamani uko wapiiii ili niwe mteja wakooo napenda mie mapishi yakooo
Samahani dada,vile viungo ulivyovisaga nimezijuwa pilipili manga na uzile tu naomba uniambie vile vingine vinaitwaje
Angalia kwenye description nimeandika
Izo spices nini na nini mbona hujataja
Jamani muwe mnasoma waelezo kwenye video na comments plz watu wanauliza suala hilo hilo, angaliaa kwenye discrimination kilakitu nimeandika.
Pls make again this vedio
Why ? Dear, this is EAst african kebab not India or Pakistan one😳🙄 .
@@queenshibaskitchen9130 😂😂😂
Spays ni nn?
Spices nii viungo vya chakula.
A.a,moto wa kukaangia kababu wafaa uwe mkali ama wa wakiasi?
Wakiasi kama wa mandazi habibty ukiwa mkali zitaungua na ndani bado mbichi.
Vizuri😊
🥰🥰🌹
Soryy hukutwambia aina za spice majina yake ili tuzielewe ni spice gani na ganii ulizo kasngas?
Nimeziandika kwenye description below nenda kwenye grey arrow chini ya video mkono wa kulia click itakuja full recipe
kwann kabab zangu mimi zinatoboka nakosea wapi?
Habibty nimelezea mwenye comment za nyuma pls angalia
Kwenye kuchanganya hutii yai la kupiga
Sitii kabisa. Ile nyamba mbichi ndio inasababusha kababu kushikana .
Habbty nimefanya kababu kama hivo sijui mushkila gani zimefunguka zote
Habibty nimejibu kwenye msg za nyuma, kama umefata kila kitu nlivo fanya, itakuwa nyama yenyewe ina mafuta ndio inasababusha kufumka kababu lakin ungenitumia picha ningeweza kukusaidia zikifanya hivo ufanye nini.
In shaa Allah nikitulia nitafanya video yengine niwaoneshe jisi yakufanya nyama ikiwa na mafuta.
Mimi ndo sijaskia ama hujaeleza kuh hizo spices umesaga. Whats in there
What do you mean? Nimeleza kama nimesaga bada nishazipasha moto. Angalia uzuri dear
@@queenshibaskitchen9130 am sorry I meant hivyo viungo ulivyopasha moto ni nini na nini...
Thank you
Dear nimeandika DESCRIPTION BELOW viungo vote angalia my dear.kuna ero upande wa kulia chini ya vido click utapata ingredients zote
Niulize aunty, kababu zikiachana inakuwa nn tatizo?
Dear namomba soma msg za nyuma please.
huchanganyi na yai bichi ndani'
Nop sitii mie kama mlivo sema lwa video hiyp nusu nyama mbichi ndio inafanya mchanganyiko wangu ushikane
Maji yanasaidia nini kwa yai
Ukitia maji kwanza inspunguza kufanya mapovu mengi kwa mafuta pili kababu zinakuwa na muoneshe mzuri kama unavoona yai limekaa kama nyuzi nyuzi halija cover kababu yote ikaka kama kachori. Hope umefaham
Mashallah inaonesha tamu.
Tufundishe space yako nini na nini unaweza kukaanga
Sijafaham suali lako?
iyo nyama umeipkaa kwanza ndio ukamix au mbichi
Ndo utuoneshe sasa nyama
Mbona jeuri kwani vipi? Kwa nliyoionesha ni samaki au
urojo
Leo nimejaribu kupika egg chop lakini zangu zimefunguka Sijui nimekosea wapi dear naomba unijulishe.
Kama umefata maelekezo yote, basi inawezekana nyama yenyewe inamafuta mengi inafanya hivo.
@@queenshibaskitchen9130 ok Shukran kwa kunijibu, basi ni kweli inawezekana kuwa nyama ilikuwa ina mafuta.
Kama nyama inamafuta unafanyaje
Aslam alekum pls nitumiye number yako mm aunty Rukiya
Naomba msaada aliyeelewa aniandikie spice ambazo zimetumika hapo mwanzoni sijaelewa vizuri.
Dear spice nimeziandika zote chini ya video mkono wa kulia kuna Kilama cha grey kibonyeza utapata majina ya spice nlotumia ok
Balsam ndio nn nielekeze sijaelewa
Balsam? Au bread crumbs?
Lazima nyama uichemshe nusu au unaweza usiichemshe au ukachemsha yote
Uzuri uchemshe ikiwa nusu ndonlivo fanya, au ikiwa yote pia sawa lakin ikiwa mbichi kabisa tabuyake inafumka sana kababu na ukipata nyama ina mafuta ndio halass huna kababu kavu kama hujachemsha japo nusu yake.
Spicy ulizo kanza moto ungezitaja zote 🤷♂️
Uzuri ungeangalia recipe kabla kuuliza nduguyangu, kila kitu nimeandika kwenye description below
Unashushia na mirinda baridi apo mambo yanakuwa bul bul
Mashallah
Mashallah