Jinsi ya kuongeza RAM kwenye simu | how to increase RAM
Вставка
- Опубліковано 14 гру 2024
- Tazama njia na jinsi ya kuongeza ram katika simu yako kiurahisi sana. Katika hii video nimeelezea njia ambayo inaweza kukusaidia kuongeza ram ya simu yako na pia alternative way ya kuongeza ram katika simu ambayo haina root access
channel yetu ya Telegram 👇
t.me/vineiTV t.me/vineiTV
Page yetu ya Instagram 👇
/ vinei_tv
...
meaningless keywords
jinsi ya kuongeza Rama kwenye simu ,jinsi ya kupata followers wengi instagram ,jinsi ya kudownload pes 2022 ,jinsi ya kuongeza nafasi kwenye simu ,jinsi ya kuongeza android version ,jinsi ya kuongeza ukubwa wa memory ya simu ,jinsi ya kuongeza memory ya simu ,dj mack , vinei tv , jinsi ya
Heee subprisngly imefanya kaz doo thanks broo😱😱
Huyu jamaa sijawah kumpinga vitu bomba bro
Shukran sana kaka
Kaka unnajua kweli 👍👍👍🙏
Jinsi kuluti cm naomba nisaidie mwongozo nifanyaj ili niweze kulut cm
Big up xna
kaka sisi wa infinix smart 6 plus inawezekana 🤔🤔
Ndio
Nimependa
Bro matumizi ya iyo application ya FKM ni yapi
Ahsante sana kwenye file la vidmate nafaid sana karibu monzambique
Shukran
Ni kwel kàka yangu ipo bomba sana
Shukran kaka🙏🙏
Kaka nieleweshe maan ya kurot sim
Kak Mimi simu yanguh inakataa system ya navigation, kila nikisearch haipo, simu yanguh ni tecno spark 10 pro
Bas imeandikwa kwa jina tofauti
Brother nijuze me sim yang ni k7 tecno ila inaganda sijawah ona aseeh shida nn nimefany njia kibao ila bad n shuhul nikiwash tu data changmot inaanza
Hakikisha hakuna app inayo run Background ili kuipa nafasi RAM
@@Vinei sawa na pia inanambia System ui ins't responding mala kibao inaleta manen kama hay kwa app tofut tofaut na sn app nying za kudownload zaid za kwnye cm tu ndo zip na nimejarib hat ku update ila ngoma ngumu aseeh hapa UA-cam nafika kwa Mbinde acha tu
Kama hadi system UI hia respond maranyingi hua inakua ni kwasababu ya file la simu limechoka (limetumika sana au lina damage) njia ya haraka ni ku flash
@@Vinei ahaa nashukur kwahiy hapa mbaka PC kufrash alaf samahani kureset factory data na kufrash kunatofaut??
Ku reset factory ni kuirudisha tu kama ilivyo kuwa wakat mpya ila kunflash ni kuingiza file jipya la simu ku ( mfano kwenye simu ni kuflash na kwenye Computer wanaita kupiga window )
Hatari baba
Nimeshindwa jamn
Kak jinsi yakutoa heroku bane nafanyaje
Unda account nyingine
Ninatazo kwenye simu, nikituma txt kwa m2 yeyot txt haziend na nina txt za kutosh SIJAJUA tatzo n nn
Jaribu ku hakiki sim card yenye sms ndio unayo tumia ku send
Kweli mzee
Pamoja kaka
Kawaida yetu
Sasa Kama unatk ku root simu unafanyaj
Unafungua tu bootloader then una root kwa kutumia magisk
@@Vinei bootloader hapo umeniach
Utajuaje sm haijarootiwa
kwa ku scan na root chacker apps
Bro tuwekee trick za kuconnect yourfreedom ifanyekazi vzuri kwa TTCL ikiwa imelipiwa
Sawa
Broo najua kama simuhaija rootiw
Kwakutumia root chacker
Sorry blaza nakufatilia sana ...kunakind nilkuannatumia faili lakudoun lod nyimbo linaitwa videoder ila sku hizi Kila installid ..inaandikiwa blocked by play protect ...linguine naambiwa neno this app may be humful..hapo tatizo ni nnini mkuu..... ......msaa wako au nitumia app ingine ipi ingine nzur
Tumia hata snaptube au vidmate au keepvid
@@Vinei I am appreciate itabid tuanze kukutumia pesa aisee tumepata faita nyingi sana kupitia ww
Vinei tv
naam bro
Good
kwelieeee
Asanteee
Naitumia hiyo app lakini sijaona ram ikiongezeka
Nimesema haiongezi RAM ila ina boost performance, kama kuna game lilikua lina scratch uki cheza bas ukitumia hii haita scratch
Simu yangu ina ram 1gb. Unashaur niweke gb ngapi
Niliweka 2048.
Angalia una storage kiasi gan , kama una nafasi kubwa weka hata 5,000 alafu ukimaliza fungua zile file zinazo kuaga nzito ili uone mabadiriko katika performance ya sim yako
G
i love you
Thanks 🙏 lov you too