@@mzingtingofficial7401Huogopi???Mnaishi maisha magumu sana Nairobi…Most of y’all mnaishi kwa nyumba za mabati…Mkipanga apartment basi ni studio aprtmnt choo hapa kitchen hapa…
@@mzingtingofficial7401Sawa lakini tuoneshe hiyo single room yako au huyu domo pana. Lakin pia kama una macho hebu tazama hayo mazingira yanayomzunguka huyo mtu wenu hapo kwenye interview. Kuna nyumba kama ya Mwijaku hapo? Au si Kenya hapo?😊
Ndevu ilikuwa seasonal
Dr.kspl.namukubali
Kenya ufahali ni kuwa na wake wengi, mko nyuma sana aisee
Cash pull ❤ 🇺🇬
Tuonesheunapo lala wacha kelele nyingi
Huyo nichoko kiswahili chenyewe hajue
Wapi mandevu Dr.? 😂
kiburi ya mduruma
huyu anajua kweli kiswahili chakitaa...nafikiri Mombasa au sio ndugu zetu waKenya? nauliza tuu
Huu ni ushemeduuu
Wako kwenye mageleza . Kiswahili gani hicho
Ulivojua shehe basi unahisi kiswauili umejua. Kiswahili ukweli hujuhi basi tu .
Utu jamaa anaongeaga ufala2
Acha mdomo…Tuonyeshe unapolala wewe kibonge
hio nyumba ya mwijaku huku kenya ni single room
@@mzingtingofficial7401Huogopi???Mnaishi maisha magumu sana Nairobi…Most of y’all mnaishi kwa nyumba za mabati…Mkipanga apartment basi ni studio aprtmnt choo hapa kitchen hapa…
Achakusifia ujinga
kalale hauna lolote
@@mzingtingofficial7401Sawa lakini tuoneshe hiyo single room yako au huyu domo pana. Lakin pia kama una macho hebu tazama hayo mazingira yanayomzunguka huyo mtu wenu hapo kwenye interview. Kuna nyumba kama ya Mwijaku hapo? Au si Kenya hapo?😊
Huyu jamaa anaongea km wa huku TZ, au kaishi huku?
🎉ni kiswahili cha Mombasa hicho
anajua kweli jamaaa..huenda ni pwani Kenya