MAMBO MATANO (05) USIYOYAFAHAMU KUHUSU LEONEL ATEBA/MSHAMBULIAJI MPYA WA SIMBA/REKODI ZAKE ZINATISHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Baada ya Simba kukamilisha usajili wa Leonel Ateba Simba Pro tunakuletea tathmini ya maisha yake ya soka tangu yuko nchini Camerron katika vilabu vitatu ikiwemo AS Fortuna mwaka 2020
    Cotton Sports 2021
    PWD Bamenda 2022 na Dynamo Doualla 2023 na maisha yake ya Soka nchini Algeria katika kikosi cha USM Alger
    Kama unahitaji kuungwa kwenye group letu la Simba Pro tuchek kwa namba 0626629644 ili tukupe utaratibu wa jinsi ya kuungwa

КОМЕНТАРІ • 16

  • @MbogoAbedinego-rh4ek
    @MbogoAbedinego-rh4ek 19 днів тому

    Namkubali ateba,ataisaidia simba

  • @menaurukivuyo6796
    @menaurukivuyo6796 25 днів тому +1

    Nakuona Mwamba wetu Lete stori ❤❤❤❤ love you Simba nguvu Moja UBAYA UBWELA ❤❤❤

  • @user-bf3mm5wu1s
    @user-bf3mm5wu1s 24 дні тому

    saw Dull mnyama simbaaa ❤

  • @kilianmtotowamungu3885
    @kilianmtotowamungu3885 26 днів тому +1

    Umekuwa adimu sana ,usipotee hivyooo

  • @SualemansulManhema
    @SualemansulManhema 26 днів тому

    mambo vipi kaka Dula upon vizur kwa uchambuzi bola sana

  • @HoseaYohani
    @HoseaYohani 26 днів тому

    Vipi kaka nakupata vizuri sana big up

  • @JideeboeMboma
    @JideeboeMboma 26 днів тому +1

    Jabiry hapa kaka ulikuwa wap dula

  • @IbrahimMmanda
    @IbrahimMmanda 26 днів тому +2

    Nimekukubali kaka kwa kumchambua uyu fundi wa boli bg up

  • @amoskansinde9538
    @amoskansinde9538 25 днів тому

    Endelea kutupa madini jitu la miraba minne😂😂

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 26 днів тому +1

    Mbona umepotea mkuu tulikua tunakusubiri ulete tathmini ya performance ya simba kama timu na individuals player kwa mechi hizi chache tulizocheza

  • @TumainiMganyizi-uu5wp
    @TumainiMganyizi-uu5wp 25 днів тому

    amahan kaka hiyo namba sijaifahamu nataka kujiunga kwenye gulupu

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 26 днів тому

    Tusiongee maneno mentioned tusubiri maana mchezaji mwenyewe yupo

  • @LassonDominick
    @LassonDominick 26 днів тому

    Kwa mbaaali sauti inaenda kwa Semaji la CAFU kwa mimi nilivo msikia huyu jamaa😅

  • @paschalmatinde321
    @paschalmatinde321 25 днів тому

    Hapa hamna mchezaj wazee, ukwel usemwe

  • @jaffarhussen5913
    @jaffarhussen5913 26 днів тому

    Maneno ya nn tungojee jumapili hata freed mlisema hvyo