PATANISHO : DOREEN - SHEMEJI WANGU ALITAKA TUWE NA UHUSIANO WA KIMAPENZI
Вставка
- Опубліковано 6 кві 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghostasubuhi #patanisho
Subscribe to RadioJambo UA-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - Розваги
Doreen anampenda huyu officer...
Tuambiane tu ukweli wa Mungu...
Doreen ako na utoto
Na pia ni msizi
Doreen ameanza kumtamani ifisa Sasa anajutia mbona alimsema 😂😂😂😂😂😂 aky Doreen
My thinking too
Alikuwa anamlinda vizuri kuliko bwana.🤑🤑🤑🤑🤑
This lady yuko in love na shemegi
Things went down with this inlaw😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Duh hi shida kweli
Hii anataka kijiti
Huyu ako ready kupeana kinesh hata hata anaambiwa salimia mzee anasema achana na yeye waah so sad
Hii Iligulwaa bana.....weep for that man hana bibi
Doreen ni mwanamke msherati, nothing far from it
Waa, Doreen you are not serious... anyway peana tu katiba isomwe
Some things you take to the grave.
Eti bwana angu askie RJ . Hata sisi wasudi wenye walitoka Kenya 20 years ago. We still listen to Radio jambo.
Buree kabisa 😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂...you have made my evening
@@irineadisa7289 😂😂😂
From where I sit, the afisa alimpea false promises, akamkula n alaipotosheka naye akaamuacha. Sasa Doreen akaamua kuenda kumsema....such a disguise in a family
Kuna mambo zingine inapidi unyamashe tu, Doreen pokea semeji 😂😂😂😂
Gidi advice makes sense but the girl likes the officer
Huyu anataka kumkubali huyu shemegi yake anataka kujihashua sasa
Nataka nitumee
Message nitume
Kwa no gani
Siri zingine kufa nazo
Siri imeletwa hewani ifikie ata whitehouse.
😂😂hiyo wachana na huyo speaks Volume 😂😂😂
Gidi ii leo ni ngumu sana
Doreen should grow up!!! Ashtaki shemeji alafu amuombe msamaha? Who does that?!
These two had an affair abd Doreen regrets her actions.
Asitubebe ujinga🤔
Msichana ukimwambia afiche siri sasa ndio anawashwa zaidi na hata anaeza kuwa mgonjwa akufe asipotoq hio siri. Ni kama wamama walirogwa
Huyu atampea tu direct this time ya kuomba msamaha
Huyu mwanamke Kuna kitu anaficha....why should she bother reconciliation with her hubby's cousin?????she did no wrong,infact it should be the other way round if at all it should happen.....Gidi anaonaga mbali kuliko mzee,,,,alaf akiambiwa asalimie bwanake anasema ati wachana na huyo😮
Shemeji pia n mboga alaa😂😂😂😂😂
This woman is so stupid I hope utaona hii comment coz kukatiwa ni normal but unaset boundaries, haungeena extend ya kupeleka kwa boma,sasa unagonganisha family mzima sasa umemiss shopping ndio unaomba msamaha 😂😂deal na upuzi wako huko
Ati hakuna mtu anakusikiliza 'ghasia' enda ugulwe basi
missing strokes za officer 👮
Gidi na Ghost shemeji ni mboga 😂😂😂
Wah policy wanakuwanga natamaa saana kila mtu wanamutamani
😅
Mara hii kumeumana huyo atamtangaza mpaka ajute.
Siri zingine mtu akufe nazo 😂😂uyu mschana Ako na utoto sana
Kuña ?
Doreen,next time, don't disclose such things again.Ukikataa uhusiano si vizuri kutangaza.
Doreen amemiss shemeji 😂😂
Iyo doreen ni kama anataka ofisa
huyu dada huenda anajutia kusema ameshamtamani sasa
Sasa hapa patanisho ndiyo amearibu kabisa.Shemeji hawezi shika hiyo simu.
Mimi Vitu zingine wacha ninyamaxea mpka kifo yangu
It happened i had a relationship the Bro shemeji nayeye hivo hivo tu,kukataa akaleta chuki then my ex akaniuliza lakini mimi nashidwa mlikosania wapi na my Bro, kuabia my ex alichukia Bro yake atukuwahi kuelewawana but he now is my ex ,so things happens@rachelmuch5788
Shemeji amekua mboga😂😁
Huyo polisi lazima alikuwa wa station ya Central Police Station sababu hao hula kila kitu na kila mwanamke kwanza tule tuchokora tumama tumama.
Hao wenye unaita tuchokora may be better 100x than you ,
Stop insulting women ati chokoraa...they are also humans
Uyu doreen alikulana na uyu afisa na bado anamtaka kusema tu ukweli
Huyu angeita offisaa mechi kisiri na maneno iishe
Ni kama officer was "good in .."na dame anamiss,alimkosea kiaje?nani anafaa kuomba mwingine msamaha?anyway ilis how ilis
Holakalooo😂
Ataghuliwaaa
Tayari ilighulwaa ni vile hataki kuweka wazi
Ata kama ni next year .. Tutaona tu mi huasiskii radio lakini nawatch UA-cam patanisho😂😂😂
Same here
Hwa washakulan anaomba msamaha wa nn
Kwani laxima ukaseme kwa waxaxi na waxeee? Ungemkatalia ukae kimya.
😂😂😂😂😂 fisi tuko wengi kweli.
Doreen Hana akili, angemwambia Mzee kwanza
ni ujinga mtu kama huyo akikutaka unakosa amani
Wawe ungekataa na ukae kimya usiwatenganishe mandugu
Mambo ya kuoa ruschana rutoko rutoko..
Kuna maneno 😂😂😂
Doreen ataachwa bila mzee wala huyo ofisa. Madam tumia akili very soon utakuwa single
Huyu Doreen anataka tu Drama, anataka tu kugonganisha the two brothers. Ata labda anataka huyo shemeji coz baba alimaliza haya mambo but yeye anataka tu kuyavuruta yarefuke, devil in disguise, her story isn't real, it's made up with a certain intention
Uluya ni shida kweli huyu angekuwa kutoka upande ule mwingine,DNA ndii tungekuwa tunachangia angeendeshia gari kitambo mgutuke mtoi anaingia grade 1
Huyu Doreen domokaya mtu akikukatia sio mambo ya kusema Bora usikuwe under 18yrs ajifunze kufunga mdomo unakataa tu yanaisha
😂Hahaha 😅 boyz 🤫🤐💙💙☝🏼Gide na ghost believe me or not i show❓ it before you ooohi 🤔🙆🏽♂️🤦🏾🌠🙏🏼
Kama hataki bwanake ajue inamana huyo dem amempenda
huyu Dem ni Fala ame miss shopping, instead of keeping distance heshima idumu,,hii marriage imevunjika atachukiwa na the whole family
Wewe
@@StephenOdhiambo-kn4md ukweli between yeye na officer nani ana far ku apologies?
Huyu mwanamke is the Devil.... Akimshtaki what was she expecting 🤷♂️ alitaka huyo karao ampigie makofi ama🤔... Bro,Stay away from that evil being ikiwezekana,Don't allow her close to you. Huyu anaeza leta chuki na kifo kwa familia.
True
Kuna jamaa ako kazi anatafutia bibi kumbe bibi ashamtoka na akapenda bro yake. Ng'ombe ya mtu.
Hapo sisemi kitu huyo Doreen qwan alimkosea nn shemeji anataka kumuomba msamaha ni heri angemwambia bwana yake kwanza
Kama ni cousin hiyo haina shida bhanaa 😂😂😂 relatives ya cousin haina nguvu 😂😂😂
Am glad she got selfrespect@collinstemba6040
Sasa kama alikublock....bona unamtafuta....aiii huyu dame siamini kabisa.....
Doreen ashamwaga mtama kwa kuku wengi,ashaanika shemeji yake watu wa ukoo wote washajuwa sasa hapa hakuna msamaha ndio ameharibu kabisa😂😂😂
Doreen ni mwanamke msherati, nothing far from it
Doreen ako na utoto
Doreen ako na utoto