Mapenzi shikamoo marahabaa maumivuu yan hapo umetupiwaa hela chini halafu etii unampendaa utaendaa kujazilia iliumletee sasa anataka elf hamsini kwakila siku sasa kwakazi yako hiyoo soutasaidiwaa nawezako😮😮.pili mapenzi niliachia wenye njaa nayoo mm akaa 😂😂😂😂😂😂 huyu dada anataka elf hamsini mmmmm yani buree tuu navile unanyodo kweli
NYIE MUNAOULIZIA WATU NA KUULIZIA SERIES ZILIZOISHA MUNABOA ANAGALIENI KILICHOPO NA MUKITOLEE MAONI KUULIZA WATU KAMA MTU HAYUPO MUNAUZI KWAKWELI MUNATUPA CHANGAMOTO SANA
Kazi nzur ila , katika mambo ya kichawi tusitumiyr mavazi ya kidini( ya kislamu au. Ya kikrito) maana mchawi hana DINI wala kabila , usitumiy DINI mfano ya kislamu jamii itaona waislamu ni wabaya na ukitumiy DINI ya kikrito jamii itafikiriy waikrito wabaya , ni ombi langu ili t watu wa DINI na wasio na DINI kuvutik na kuheshimu DINI za watu
Waona mahali ameenda huyu masudi kufukia mzigo mmm bc ni hizo enzi zangu umekula ugali na maharagwe ya nazi alafu Sasa tumbo limevimba weee alafu home Sasa hakuna mahali kwa msaada wee ni huko maporini 😂😂😂watoa nguo zote wabaki wewe tu na Dunia na huo upepo waa saa saba mchana 😂😂😂😂iiiih hapatoki mtu apo hata umbu akikuuma husikii aaaaaah Weeeeeeee pumbavu zangu
Jamani nzuri nimeipenda wenzangu nipo hapa naombeni like hata moja nitashukuru tokea kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Nomaa Sana 🎉🎉❤
Huyu ndio bailam ninae mjua sasa🎉🎉🎉🎉🎉,,,safiii
Kheeee uyoo wa elf hamsin ndio AnAkaa apo😅😅😅😅
Umeuwa kaka ❤❤
Kazi nzuri bro bhailam big up sana
Wanawake wazuri wanfurahsha sana ukijitolea kuwapenda na kuwapa ulichonacho wanaona kama unawazalau wataiyona elfu 10 yako ndgo alafu unawakuta kimboka wakijiuza kwa elfu 5😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Ilo nalo neno😢
Km wakubali comedy plus 🇰🇪🇸🇦 nawapenda saaana
Kama wew ni team bhailam gonga like zakutosha hapa down
Nmeskia bhailam kasema matikiti majii😂😂😂
Uyo mdada anaempendwa na masudi ana weusi mzuri mpaka raha😂
kaI nzuri bhailam
Mbona kali sanaaa❤❤❤❤❤❤
Wa2 km hawa wenye dharau baadae akiwa boss anajiliza😂😂😂😂
Good job
😂😂😂jamani mbona munamutesa masoudi wangu jamani 😅😅pole kababa😊😊🎉🎉❤❤❤
Asante sana mama
Mnabowa snaa pete ya maajabu mliway kuitowa tofauti naiyi story but amkuimalizaga😅😅
Kazi Iko 🔥🔥🔥🔥
Kazin zenu nzuri ila mbona nyingi mwatuacha njian ❤❤🎉🎉🎉
Nmeipenda kuona B migomba huyo mma nampenda sna Allah ampe mri mrefu inshaAllah 🤲🤲
Ameen Yarrab
Amiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiin
Namkubali sana Masudi❤
Asante sana boss wangu😊
@Masoudsultan yah tunakuombea mashabiki zako
@ Asante sana boss zangu🙏🏽 Inshahallah
😂😂😂 sijui nacheka nn
Masudy jaman Sasa huyo n mwanamke gan alafu anaringa sura kama Yuma ya tent😂😂😂😂
Dhaaaaaaaa😢
Comedy plus you doesn't dissapoint ❤
Rechoo ukoo wapiiiii
❤❤😂😂😂kijogo niatari wangu nakukumbali sana🎉🎉🎉🎉
Nawapenda sana watu wangu mnaneeka busy mpaka saa nyengine nasahau kama nashida❤❤❤❤🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪
Mtoto wangu Amesema At We Nimurembo Na Haushi Kwa Nyumba Lembo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata mm nimewahi Leo jamaniiiiiii...
Timu bhailam juuuuuuu.........
Ohoooooo
So nice
Kaz nzur sana like zen tafadhar🎉🎉🎉
BIG STONE Leo wa 1 Moçambique 🇲🇿
Aisha Aisha aisha acha kunitesea babangu tutakosana
Bhailam where is Naomy???😔😔😔nimemmiss Naomy
Una uzur ukiutoa wapiii wee mwanamke .. kidogo pokea na umpe baraka mwenzio
Apo fresh 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩☑️
Naona hii petee kama itasaidia huyu masood
Ndio uzuli nikuchane ako wapi nampenda jani
AMMIN BIMIGOMBA NI NOMAAAA
Aisha usituteseee Masoud wetu jaman
😂😂😂😂
Nimefrh kumuona bi migomba
😮😮😮😮nimejipata nimeshutuka kutoa mimba yani kutoa siwexi inababa haina baba siwezi toa
Jumapili nzuri sanaaaaaa….
Angekuwa mzee Simba Ingekua bonge la movie
Mbona diwani siioni tena
Iliisha
Nzuri 🎉🎉
Imuvi itakujakua kari kama una amini dondosha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mm sijawai kupenda huduma ya mwanaume kabisaaa bora nijipambani mm kama mm
Mwnzko nko apa
❤❤ kazi Zuri
Ivi jamna Movie ya Because of love imeishia wapi Tena
Nice
Bhailam kila cku sura mpya na weee asa urudisha nyuma
Nausubiri mwisho wa aisha
Unataka elf50 alafu mazingira anayoixhi hayaendani n iyopesa
Mapenzi shikamoo marahabaa maumivuu yan hapo umetupiwaa hela chini halafu etii unampendaa utaendaa kujazilia iliumletee sasa anataka elf hamsini kwakila siku sasa kwakazi yako hiyoo soutasaidiwaa nawezako😮😮.pili mapenzi niliachia wenye njaa nayoo mm akaa 😂😂😂😂😂😂 huyu dada anataka elf hamsini mmmmm yani buree tuu navile unanyodo kweli
Wakwanza Leo mumeweza 🫶❤️🫶❤️
😂😂😂 masoud hyo😂
Bhailam wee ni viwango
Sasa bhailam nn hiki sasa umetuletea
NYIE MUNAOULIZIA WATU NA KUULIZIA SERIES ZILIZOISHA MUNABOA ANAGALIENI KILICHOPO NA MUKITOLEE MAONI KUULIZA WATU KAMA MTU HAYUPO MUNAUZI KWAKWELI MUNATUPA CHANGAMOTO SANA
@@nasrikhan4218 Tusamehe bhailamu sisi mashabiki zenu tunawapenda waigizaji wote ,ikitokea mmoja hayupo lazima tuulize,kama tunakukwaza tusameheni tu
Am first one so need like
🔥🔥🔥
Aloo dunia haina huruma majamaa yanakaba mpk muokota machupa
😂😂😂😂😂
Na ndio mambo yanafanyika kweli
Naomi yuko wap bailam
Ivi naomi nae kajitoa kwenye game na jojo
Kanzu natungur wapi na wapi bailam sijapenda
Acha yeye anaigiza wapo wanafanya kweli
Mwekeni Naomi jamn anaziwezea atari
Naomi na recho tunawataka
Sijui wameend wapi jmn tumewamic kwel
Bhailam unazingua sana Jambazi iko wapi? 😅
Ninacho mkubali bailam hacheleweshi
We miss Naomi and Rachel can you bring them back
Rachel yupo kwa Emmy plus
Masuud pole sana kwa yote yatapita 😢😢
Naona Bi mgomba
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤
Kazi nzur ila , katika mambo ya kichawi tusitumiyr mavazi ya kidini( ya kislamu au. Ya kikrito) maana mchawi hana DINI wala kabila , usitumiy DINI mfano ya kislamu jamii itaona waislamu ni wabaya na ukitumiy DINI ya kikrito jamii itafikiriy waikrito wabaya , ni ombi langu ili t watu wa DINI na wasio na DINI kuvutik na kuheshimu DINI za watu
Movie nzuri sana lkn itaendelea ama ndio basi ivyo masudi kujia message yako huku
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nipe mimi hizo pesa
❤❤❤
Waona mahali ameenda huyu masudi kufukia mzigo mmm bc ni hizo enzi zangu umekula ugali na maharagwe ya nazi alafu Sasa tumbo limevimba weee alafu home Sasa hakuna mahali kwa msaada wee ni huko maporini 😂😂😂watoa nguo zote wabaki wewe tu na Dunia na huo upepo waa saa saba mchana 😂😂😂😂iiiih hapatoki mtu apo hata umbu akikuuma husikii aaaaaah Weeeeeeee pumbavu zangu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂we mwehu kweli ndugu yangu
😂😂😂 umejua kunichekesha aki mbwa ww! Ati wabaki ww tu na dunia...natamani ngeweza kucheka kwa voice apa
Akili zako wazijua mwenyewe...😂😂😂
Naomy wapi jamani
Anakarbia kwenda leba
Weeh
@@jamessamwel9456Ulinipa wew iyo mimba