Simulizi ya mama anayepambana kumuokoa kijana wake kunyongwa Saudi Arabia

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 тра 2024
  • Mama Mkenya anavyopambana kuokoa maisha ya mtoto wake anayekabiliwa na hukumu ya kifo Saudi Arabia
    -
    Familia ya Stephen Munkho inakimbizana na muda ili kuokoa maisha yake.
    -
    Wanahitaji kuchangisha Dola za Marekani 950,000 kama fidia ili kusitisha kunyongwa kwake nchini Saudi Arabia.
    #bbcswahili #SaudiArabia #kenya #mahakama #sheria #sheriazakimataifa

КОМЕНТАРІ •