Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 02/07/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @ClementJacob-sd8lf
    @ClementJacob-sd8lf 3 місяці тому +4

    Dada your on the point good speech i understand you dear awo hawayelewi bring these social media into justice siyo kwakuhonga pesa

  • @KamndeErick
    @KamndeErick 3 місяці тому +1

    Majirani zetu wakenya tumieni haki yenu kikatiba viongozi wetu wa Afrika wakiingia madarakani hawawatambuii walio wapigia kura ufisadi ndio kipaombele chao,MUNGU,awakumbushe viapo walivyoapa wakati wanaingia kazini kututawala

  • @ajayphili8121
    @ajayphili8121 3 місяці тому +1

    Kenya ni janga ukiwa nje ya Kenya utaona kama ni vyema kuandamana kwao lakin kuna hasara kubwa kuna kundiku kibwa la wafanyabiashara wadogo hasa na wakubwa kushuka kiuchumi na kufilisika kabisa lakin pia aman ya nchi ni ndogo watu wanaweza kukuvamia na kukupola na huwezi kushtaki kwa kipindi hiki cha uarifu tuendelee kuwaombea

  • @shabanisango6377
    @shabanisango6377 3 місяці тому

    Raisi wa msumbiji anashukuru jumuia ya SADC eti imeleta usalama mchini msumbiji kwani vita imeisha cabo delgado kwa maana hadi sasa cabo delgado kuna vita acheni kuchaganya wana inchi

  • @jonahchepkwony1922
    @jonahchepkwony1922 3 місяці тому

    Hawa waboraji wanataka kuzua vurugu ndio walaumu serikali uchumi Kenya umeimarika na madeni kupungua serikali ya Rais Ruto bado ni janga miaka miwili ushukani na imefanya mengi

  • @NelsonMuindee
    @NelsonMuindee 3 місяці тому

    Mbona tangu maandamano yaanze sijaona kikundi chochote kikitetea watu wanoibiwa mali zao?

  • @lilianpuka218
    @lilianpuka218 3 місяці тому +1

    Kuandamana ni haki ya raiya kupaza sauti zao ili kupata haki 🙋🙋🙋🎉👍

  • @SalumMattar
    @SalumMattar 3 місяці тому

    Hapa ndipo pakubwa sana Waafrika tutatuwe matatizo yetu wenyewe

  • @johnsabinus8582
    @johnsabinus8582 3 місяці тому

    Polisi walio enda haity waludi kenya 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bigmandubesamuelndetsa268
    @bigmandubesamuelndetsa268 3 місяці тому

    Musiwe mkasahau habari za inchi ya Congo 🇨🇩 Drc

  • @augustinembola1502
    @augustinembola1502 3 місяці тому

    Asante bbc

  • @medardkalinjuma5503
    @medardkalinjuma5503 3 місяці тому +1

    Nyie ni wajinga mnashindwa kutafuta maisha yenu mnataka serikali iwagawie hela mswada ushaondolewa sasa mwataka nn ,mnaandamana na kuharibu mali za watu hiyo niakili au utopolo , uhuru ukizid ni uwendawazimu.

    • @ClementJacob-sd8lf
      @ClementJacob-sd8lf 3 місяці тому

      Bro your talking no sense when the price of simple food for the poor will come down do you know what government mean you will see what will happen in Kenya acha wapolani tena awo wafanyabishala ndo wizi sana

    • @sirajimsuya6226
      @sirajimsuya6226 3 місяці тому

      Kufa wakati unatafuta haki yako unaenda peponi