SHILOLE afunguka bifu na Snura, kupatana na Kiba, kutaka kumfunga Uchebe, ukaribu na Zari na Diamond

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 кві 2022
  • Sehemu ya pili ya #ChillnaSky na Shilole anafunguka kuhusu kumpeleka polisi Nuh Mziwanda kutokana na tabia yake ya kumchafua mtandaoni, kumaliza tofauti yake na Alikiba, bifu yake na Snura, jinsi anavyomkubali Zari na ukaribu wake na Diamond pamoja na kitendo cha kupigwa na ex wake Uchebe na jinsi ambavyo alikaribia kumfunga
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 55

  • @aminamnyaruge8574
    @aminamnyaruge8574 2 роки тому +23

    Yaani kabisa interview za chilii na sky zinaheshimika kweli si utani.. Kuna watu wakorofi kwenye interview lakini wakifika hapa wanakuwa wa pole wanajibu kwa adabu mfano mzuri ni Hemed PhD niliaangalia interview yake nikasema hee kumbe huyu jamaa Kuna saa network inashika kwenye interview.. Big up brother 💪💪kweli nimeamini ukijiheshimu utaheshimiwa

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 2 роки тому +6

    Leo umependeza sana umejistiri MashaAllah

  • @salimsaid2588
    @salimsaid2588 2 роки тому +1

    Good work SNS am proud of you guys keep it up for the good work 👏 🙌 👍

  • @noru9028
    @noru9028 2 роки тому +3

    Brother SKY you the best 🇴🇲ukifanya interview na mtu Yan ata Sisi watazamaj tunaenjoy ubakishagi kitu ❤️👊

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 2 роки тому +4

    Brother siky nakukubali Sana👊🙏

  • @debbiethomas9825
    @debbiethomas9825 2 роки тому +3

    GOOD JOB Br. Nice interview 👏👏👏👏 as always

  • @mikesonko4428
    @mikesonko4428 2 роки тому +6

    Napenda ulihpomtaja Diamond Platnumz

  • @kaveresylvia1302
    @kaveresylvia1302 2 роки тому +3

    I love this woman

  • @husnaseph9476
    @husnaseph9476 2 роки тому +2

    Shishi ndo kwanza unazidi kujaa naramadhani yote hii mashallah

  • @is-hakacena78
    @is-hakacena78 2 роки тому

    Sky 🙌🔥

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 2 роки тому

    Nice Sky👌👌👌👌❤❤

  • @mikesonko4428
    @mikesonko4428 2 роки тому +6

    Ni macho yangu au……..Shishi ana rangi mbili

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 2 роки тому

    Mwenyewe nakukubali sanaaaaa kaka kwanza una adabu unauliza maswali umetulia tena ya maana ,napenda vipindi vyako M/mungu akubariki na akipiganie,

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 роки тому +1

    Show kali

  • @genelnchera5607
    @genelnchera5607 2 роки тому

    Shishi umependeza sana pia nakupenda sana

  • @fatumasalumu2869
    @fatumasalumu2869 2 роки тому

    Kweli kbs anakipaji

  • @agnesandrew2742
    @agnesandrew2742 2 роки тому +1

    Akili kubwa Sky Bundala❤❤

  • @aishakombo3824
    @aishakombo3824 2 роки тому +1

    Umezungumza KWA BUSARA na HEKIMA shishi. Live long mumy

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 2 роки тому

    Miladi ayo mashaallah umenenepa

  • @iradukundamike5370
    @iradukundamike5370 2 роки тому +3

    Sky mtangazaji anajiyerea anajua nini anafanya wapi anataka kufika sio média zingine zinavurugu ata awo watu wanauriza maswari hawaishimu kutokana na watangazaji vire wana mionekano yao mufano wa uwoneye sky mturivu hana mambo mengi pia anajua kuriza maswari kwa uturivu naupole hongera sky wewe ni mufano wa kuigwa👏👏

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 2 роки тому

    I love you My sister Zuwena

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 2 роки тому +1

    Sky Congratulation Interview it’s very Nice👌🏿💕💕🔥

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 2 роки тому

    👌🏻👌🏻👌🏻

  • @elizabethsakina2306
    @elizabethsakina2306 2 роки тому

    Heading to 1M subscribes 🔥🔥🔥I started watching this channel since round up

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 роки тому +1

    😅😅😅ukampa kichwa

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 2 роки тому

    shishi ❤❤❤❤

  • @rademm8924
    @rademm8924 2 роки тому +1

    Umefika home

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 2 роки тому +1

    Mashallah samehe saba Mara sabini🙏🏿🙏🏿👏👏👏

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 роки тому +2

    Zuwena kiboko yao

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 2 роки тому

    Kuna eneo hasema kua sijuwi ana fatuation badara ya frustration

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 2 роки тому +1

    Huwezi kuzungumza na moyo wangu, moyo wangu ndo unasema 🤣🤣🤣🤣🤣.
    Dah! Nimejipata napasua kicheko kama chizi.
    Hii interview imekua very entertaining but pia motivating 💯

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 роки тому

    Somesing 😂😂😂shishi

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 2 роки тому

    Bundala dimpo kama la pacha wangu☺

  • @saimarmuhsin9578
    @saimarmuhsin9578 2 роки тому

    Mtandio tulia basi 😄 🤣 😂 jamani mie nikiufunga unatuliaa tu tuliiii hautoki hahaaa

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 2 роки тому +5

    Snura yuko vizuri bhna shilole wewe kujichetua kwingi na ww ndio ukimuanzaaa snura

    • @svt3
      @svt3 2 роки тому +1

      Ibrahim kibira: snura mpangaji Dar- Shilole mama mwenye nyumba, na mgahawa wake na tu ubalozi tunamsaidia kwa kipato, ila snura hana nyumba ,wala biashara ionekanayo wala sio ubalozi Shilole mpambanaji hiyo iko wazi

    • @zawadisingano5659
      @zawadisingano5659 2 роки тому +2

      Wengine maisha yao sio yamitandaoni yawezekana akawa ananyumba ila sio lzma aweke mambo yke pablik

    • @svt3
      @svt3 2 роки тому

      @@zawadisingano5659 anatangazia wapi biashara yake?,na ubalozi wa kampuni nao unafichwa?

    • @zawadisingano5659
      @zawadisingano5659 2 роки тому +1

      @@svt3 Soma vzur comment yangu umesema hana nyumba namimi nakujibu yawezekana akawa nayo lkini sio lzma aweke mambo yake mtandaoni

    • @svt3
      @svt3 2 роки тому

      @@zawadisingano5659 ubalozi ni kuuza biashara ya kampuni lazima uwekwe, yeye mwenyewe kama anabiashara matangazo ni mitandaoni, yeye hivi vyote hakuna shilole anayo biashara yake ya chakula, na ni balozi wa nazi,nguo .... lazima auze hizo vitu na mitandaoni ni nafasi kubwa ya kutangaza biaashara

  • @alicekisanga8004
    @alicekisanga8004 2 роки тому +3

    The level of luck of exposure in Tanzania is at another level. You find someone with a small business like this lady been worshipped 🤣🤣 .

  • @debbiethomas9825
    @debbiethomas9825 2 роки тому

    GOOD JOB Br. Nice interview 👏👏👏 as always