HUYO NI YESU - Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga Njiro
Вставка
- Опубліковано 12 тра 2023
- Huyo ni Yesu kweli aliyekuja si kwa ajili ya ufalme wa Dunia hii bali kwa ajili ya wote watesekao na wasumbukao na mizigo. Karibu tutafakari pamoja ukuu wa Yesu kupitia wimbo huu. Wasiliana nasi kupitia +255752947032 au +255754628561
Mtunzi: @rayufunguo
Audio & Video: @rajopro
Organist: @tumainiswai5946
Mat. 11: 2-6: Yohane Mbatizaji akiwa gerezani alipata habari juu ya matendo ya Kristo. Basi, Yohane akawatuma wanafunzi wake, wamwulize: “Je, wewe ni yule anayekuja, au tumngoje mwingine?” Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona: Vipofu wanaona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa na maskini wanahubiriwa Habari Njema. Heri mtu yule ambaye hana mashaka nami.”
We called to the LORD Who is worthy of praise and we will be saved from our wicked enemies Psalm 28:'3
Kway nzuli sana jamani naiombea kwaya yang ya mt sesiria namimi jamani
Hongereniiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hakika nimeguswa na nyimbo hizi za katoriki
Beautiful songs from the Best producer ever,🌷🌷👏🧡
I love you so much
God bless you now and forever
Wonderful setting choir . I love you songs ., woooh , Huyu ni Yesu tu nairundia mara kwa mara
Ray Salut kwako
Ray ufunguo is so talented 🎉
Gd 1
Amina mbalikiwe sana ninafurahi kusikiliza nyimbo zenu kumsifu Mungu nimoja wapi wa kueneza ijili
Tumsifu Yesu Kristu...!
Hongereni sana kwa Uinjilishaji.
Ee YESU kwa huruma Yako na pendo lako❤❤ utubebe
Kweli yesu ni jibu kwa masumbuko yetu❤❤❤
Lift up your heart to GOD pray Unceasingly and respect HOLY Spirit who Dwells in our lives as His Temple
We plead your Mercy Lord and Grace over All our personal sins failure and families iniquities
Mungu azidi kuwabaliki katika utume wenu, wimbo mzuri sana
I ever dream of meeting this choir live one day...kwa kweli atabaki kuwa yesu❤❤❤❤
Great voices... Great song
Ni kazi nzuri, Mungu aendelee kuwa nanyi Katika kueneza injili.
MUBARIKIWE SANA JAMANI, TUNAMUONA MUNGU KUPITIA NYIMBO ZEKU.
Nmeipenda sana hii kwaya nimewafatilia sana hongereni sana
Nawasiliza kutoka Kenya
Kumuimbua mungu niraha sana❤️
Hakika mnaimba vizuri.Mungu awabariki.
Good song..Mbarikiwe sana nyote kwa utume
❤❤❤❤❤ lovely❤❤❤❤❤
I love this song aki guys,you look so smart
Na sauti je?
Wimbo tumu
I love the song even the melody very nice
Vzr sana nataman badaa ya mwaka ujao nijiunge ili nami niweze kumwimbia mungu,,maana kuimba ni kusali mara mbili na ni talanta moja wapo tuliopewa na mngu🎉🎉🎉❤❤🎉🎉🎉
Karibu sana
Rajo production ni 🔥🔥🔥🔥👌
Hakika Yesu ana mamlakakotekote hana wa kulinganisha nae .Atukuzwe milele yote.
Amina
Hongereni sana mungu awabariki sana kwa kinjisha vizuri kwa njia ya nyimbo
hongereni sana
You guys l salute you
Huyo ni yesu
Jina la Bwana libarikiwe!
Nota hatupati bwana
Very nice song.
Mungu awabariki sana
Penda nyinyi sana guys.....kenya tunawapata vizuri sana
Amina kubwa🎉🎉🎉🎉🎉
wow mr ray ufungu good work to God
Penda sana aki ju ya uimbaji wenu aki guys love this song 💖💖💖🙏🙏
❤❤
ZABURI 27:4 Neno moja nimelitaka kwa BWANA nalo ndilo nitakalolitafuta nikae nyumbani mwa BWANA siku zote za Maisha yangu, ..................., ♥️♥️♥️
Kanißa
Mmeitendea haki kipaji chenu
Big up
Nice one
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Cjui nisemeje. Bali nawapongeza wimbo mzuri. Huyo ni Yesu hakika hafananishwi na wala hana wa kuringana naye. Sifa na utukufu ni kwake
Nice 👍
WHAT A WONDERFUL AND INSPIRING SONG. AM BLESSED BY THE SONG. THE VIDEO CAN BE IMPROVED NEXT TIME
This is what we call "Blessed children", you're blessed and so us because we have you. You make us feel the heaven
Ray Ufunguo Kama Kawaida, respect to you. Sending Love
Nice.
Amina amina
Hongereni Kwa utume mnaimba viziri sana, mungu awatunze muishi maisha marefu.
Ray ni hatari azidi kubarikiwa na kipaji chake
Kwakweli mnatisha mno Mungu awaongezee hekima.
❤❤❤❤ very touching n sweet melodies.keep up all
Appreciate 🤗♥️♥️
❤ hakika Mungu akubariki sana japo kwaya watakatifu wa mashahidi wa Uganda Tpc wamekukumbuka mbooii
Cant get enough of this song❤❤❤❤hakika ni Yesu tu Mungu wetu mkuu.asanteni sana
lovely
Amen, Hongerini sana kwa kuhubiri kwenu kuipitia uimbaji wenu na sauti zenu zuri. Ningekua Tanzania ningejuunga nanyi kwa kumtukuza Mungu. Basi Mungu awabariki Sana
Wow nice one
Nawapenda sana mungu awabariki
❤ ink
Kazi yenu ni njema sana hongereni sana na mungu wa mbinguni azidi kuwapandisha viwango vya juuuu❤
👏👏 👍 Kwaya ya Njilo Mungu awabariki sana.
They are very smart 👍, wimbo nao uko sawa mbarikiwe sana watu wa mungu.
Amen 🙏
Safi Sana❤❤
Ray ni moto wa kuotea mbali..mpiga kinanda tumaini swai naye ni shida..wanatoa vitu Bomba..wabarikiwe🙏
Acha kabisaa kwaya katoliki ni chombo chenye nguvu acha kabisaa Mungu ni mnenee
I like rajo production
Kwaya hii ni moto nkubali kuimba ni kusali mara mbili
Nice song
Ray Ufunguo kam kawaida yake ❤️❤️🌹🌹
Amen amen amen❤❤❤✝️👏👏👏👏👏👏👏👏
Wimbo mzurii sana mungu awabariki mzidi kutuinjilisha
Tunawapenda sana Kenya tuko locked
Everything Ray touches turns to gold. What a beautiful arrangement!❤❤❤
Na wa like the way you have sang nawasiliza kwa ratio waumini Kila siku🙏
Ray Ufunguo Kama kawaida,Mbalikiwe saaana.i Can't have enough Words to describe my joy and feelings when I'm listening to these songs🎧,just feeling the heavens
Mko vzr sn Mungu n mwema
I can't get enough of this song ❤❤❤❤so touching and Sweet ❤️❤️
Wow this is great congratulations 👏👏👏 my Brothers and sisters
Mbarikiwe zaidi kwa huu wimbo bora
Wimbo mzuri tu xana
Nice❤❤
Thanks 🤗
Natamani kuimba sauti TAMU nawapenda
Hongera wanakwaya Mt Karoli Lwanga
Wow am loving the song uuuui🎉
Viwango vya juu vya upako
Nimependa Mungu awabariki
nao entendo esta lingua mas e maravilhoso e bom ser catolico . seja louvado nosso senhor jesus cristo. para sempre seja louvado e sua maria santissima
5aa
I like the songs of Beno mkatoliki
Napenda sana kwaya katolikii
Kuna Siri katika uimbaji.....tamu sana