AZIZ KI AFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA HAMISA MOBETO | ALLY KAMWE AINGILIA KATI | TAZAMA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

КОМЕНТАРІ • 44

  • @SadaHasimu
    @SadaHasimu 2 місяці тому +3

    Tusipende kukosowa viumbe aliyoviumba mora wetu ukati bado nasisi tupo tunapumua ujafa ujaumbika uwezi keso yake . Na ajali aina kinga unaweza kumkosowa mtu ukati wewe ujuwi kesho yake au kizazi chako kitakuwa vip Allah atuepushe naroho zakukisowa kwani yeye nfiye muumbaji

  • @PillyHamim
    @PillyHamim 2 місяці тому +2

    Jaman mungu ndivo alivomuumba

  • @siryklyubov7989
    @siryklyubov7989 2 місяці тому +2

    jamani msimseme huo mdomo,labda ndivyo alivyoumbwa au aliungua. hatuwezi jua. 10.08.24.

  • @leahndigoza5451
    @leahndigoza5451 2 місяці тому

    Mbona yuko vizur tu jaman

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 2 місяці тому +4

    Saaa huyu Azizi Ki mbona yupo hivyo mdomoni duh kama anaumwa vile

  • @TonnyHyera
    @TonnyHyera 2 місяці тому

    Ira ana sura mbaya mobeto kafuata Pesa hapo

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 2 місяці тому +2

    Kwa domo la huyo kaka mmmh misa kafuata hela jaman hii pesa hii

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 2 місяці тому

      😂😂😂Gigy money alisema

    • @vannyk-jz7tf
      @vannyk-jz7tf 2 місяці тому +2

      Mungu kamuumba ivo kasoro unayoiona wengine ndo kigezo Cha mapenzi kwake

    • @AmAl-x9j
      @AmAl-x9j 2 місяці тому +2

      Mungu hakupi vyote my,,
      Mie nilijua ni mgonjwa,kumbe ndo alivyo

  • @khloevibe7569
    @khloevibe7569 3 місяці тому

    Dada mbn unanichokoza kumoyo 😭😭😭

  • @CeciliaShauri-vc7up
    @CeciliaShauri-vc7up 2 місяці тому

    Ni huo ustaa tu jamaniiiii

  • @Biancaaa12345
    @Biancaaa12345 2 місяці тому

    WE AFRICANS WE LIKE PINK LIPS 💋

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 2 місяці тому

    Ila uyu jamaa mh napita

  • @MwitaHamismwita
    @MwitaHamismwita 3 місяці тому

    Kama vile umepandiliwa.aisee

  • @DinaKasiano
    @DinaKasiano 2 місяці тому

    Hilo domo jamani😂

  • @WahidaHilaly
    @WahidaHilaly 2 місяці тому

    Uyo mtangazaji sasa

  • @MusaNaftari
    @MusaNaftari 3 місяці тому +1

    Mtangazaji unaongea kama umekalia jitu😂😂

  • @LuluMalima-j1w
    @LuluMalima-j1w 2 місяці тому

    Besty wa Hamisa huyoooo. Hamisa likes men with lips sio, historically just saying

  • @stephenlukumay5826
    @stephenlukumay5826 2 місяці тому

    Kuna dawa ya kienyeji inamaliza huo ugonjwa....... Na huo ugonjwa iko tumboni

    • @ndikumanaamina-c6n
      @ndikumanaamina-c6n 2 місяці тому

      Nipe namba yako ya whatsapp maana mdogo wng kazaliwa nao

  • @ricksonrickson2676
    @ricksonrickson2676 3 місяці тому

    Mbona unahema sana yani kuongea tu hivo, je ukipandishwa mlimani itakuaje

  • @catherinekanono4298
    @catherinekanono4298 2 місяці тому

    Hamisa amerogwa hehehe

  • @GoldenLwila
    @GoldenLwila 3 місяці тому

    Mtangazaji msenge nini

  • @azizambise
    @azizambise 3 місяці тому

    Kwani huyu alikuwa anakimbizwa anavyoongea

  • @magrethmalobola5470
    @magrethmalobola5470 3 місяці тому

    Dada alikuwa anakimbia au😂

    • @hk_ballers
      @hk_ballers 3 місяці тому +1

      Wana kazi kweli hawa 😂😂😂

  • @Neemajames-jo6vw
    @Neemajames-jo6vw 3 місяці тому

    Mi nasoma comment 😂😂😂

  • @LaurentAgley
    @LaurentAgley 3 місяці тому +2

    Oya unaongea vibaya

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 3 місяці тому

    Mtangazaji pole unahema

    • @mayrose9772
      @mayrose9772 3 місяці тому

      Yaaani😂😂😂😂😂😂😂

  • @gideonelias1316
    @gideonelias1316 3 місяці тому

    Kaongea nn huyu mwamb

  • @deborahthobias2126
    @deborahthobias2126 3 місяці тому

    Mtangazaj anaboa

  • @shangwefisima54
    @shangwefisima54 3 місяці тому

    Duuuuuuh😂

  • @DianahJuma
    @DianahJuma 3 місяці тому

    😂😂😂😂

  • @enockabumba7513
    @enockabumba7513 3 місяці тому

    Kasauti kakichokozi

  • @FredricktheonestShayo
    @FredricktheonestShayo 3 місяці тому

    Domo zito du

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 2 місяці тому

    Domo ladenda