AHMED ALLY AWAKA MORRISON SIYO MWIZI WA MAGARI/WANACHAFUA BRAND YA SIMBA SC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 81

  • @halimahalima1984
    @halimahalima1984 2 роки тому +6

    Piga kelee kwa simbaaaa tunaiombeya ushindi 💪💪💪💪moja🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @dottoshilungu908
    @dottoshilungu908 2 роки тому

    Simba nguvu moja🇹🇿🇹🇿🐕🐕❤️❤️❤️❤️❤️

  • @sadickjosam877
    @sadickjosam877 2 роки тому

    Unaogea kwa kujiamini Hadi Raha broo ongera 👏👏👏

  • @sudiabdi4400
    @sudiabdi4400 2 роки тому +1

    Mwenyezimungu nimwema mwaka huu nusu fainali

  • @ramahamyt1145
    @ramahamyt1145 2 роки тому

    Nawapa hongera sana simba kwasafari

  • @KidotiTwiga
    @KidotiTwiga 2 роки тому +4

    Ahmed Mungu atulindie ww

  • @yusuphukimolo3144
    @yusuphukimolo3144 2 роки тому +1

    Simba tuwe makini sana pamoja na wachezaji kujituma kwa moyo hapo ushindi utapatikana

  • @pamelahezron8326
    @pamelahezron8326 2 роки тому +1

    Semaji smart kuliko wootee, anaongea points tu,wengine wanabwata bwata na kuropoka

  • @justineprims618
    @justineprims618 2 роки тому

    Semaji la simbas tanzanian

  • @zanzibar.
    @zanzibar. 2 роки тому

    Wapemba wanasema hakuna kupata kudogo nashukuru aloo kutaja kisiwa chetu asee

  • @jmstudio2388
    @jmstudio2388 2 роки тому

    Mwizi mwiziiiiiiiiiiiiiii mwiziiiiiii atumtaki south

  • @idrisaabdallah3824
    @idrisaabdallah3824 2 роки тому +1

    Unamtetea sijui kwnn

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 2 роки тому +1

    Team ishambulie na kulinda

  • @abdallahmkoyo1113
    @abdallahmkoyo1113 2 роки тому

    Hongera Kwa kazi nzuri

  • @sosomacharles6685
    @sosomacharles6685 2 роки тому +3

    Sura mpaka imebadilika🤣🤣🤣 kawa kama Mau😁😁😁😁

  • @kishimbaboy5403
    @kishimbaboy5403 2 роки тому

    Mungu yupo nac, inshaallah tutashinda

  • @limymasele21
    @limymasele21 2 роки тому +2

    Unaenda kukaa hotel za mbezi mwsho halafu unasingizia uongozi wa Simba

  • @johnmollel3837
    @johnmollel3837 2 роки тому

    Naitakia Simba ushindi south african

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 2 роки тому +1

    Kwa msaada wa tochi ya mzee wa simba itakuwepo africa ya kusini

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 роки тому +1

    Sawa' MAU tumekuskia, Tumekuelewa...!

  • @Directorhernrypro
    @Directorhernrypro 2 роки тому

    Semajiiiii 👏👏👏

  • @hamidurajabu132
    @hamidurajabu132 2 роки тому

    Semaji la CAF🔥🔥🔥

  • @iguchiparkdaacha6882
    @iguchiparkdaacha6882 2 роки тому

    Simba

  • @yusufsong9158
    @yusufsong9158 2 роки тому

    Kocha wao alichanganyikiwa

  • @ellyjeremia9401
    @ellyjeremia9401 2 роки тому +1

    Ukweli unauma Sana mmewatesa Sana Orlando. Jiandaeni na nyie

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 роки тому

    Breaking news!! Morison aiba ng'ombe wa mayele 😊

  • @devotajeremiha6041
    @devotajeremiha6041 2 роки тому

    Simbaaaa 👍👍👍

  • @fatmaamisi7011
    @fatmaamisi7011 2 роки тому +2

    Semaji la Dunia

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 2 роки тому

    Bora msiende mtkula nyingi cna

  • @samuelmwalimu2203
    @samuelmwalimu2203 2 роки тому

    Good evening

  • @halimajuma2340
    @halimajuma2340 2 роки тому

    Semaj la caf

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 роки тому

    wenzentu walitukaba sana na siye twende tukawakabe kwa nguvu zote ili tusiwape mwanya wa kutengeneza nafasi za magoli

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 2 роки тому

    Semaji letu Mimi nakushauri endelea kuhamasisha popote unapotaka usikwamishwe tamaa na yule msukule,na amiongea vile ilimladi TU ukate tamaa na unyong,onyoe,usikubaliane na hiyo mbwa binafusi ningekuwanajua uchawi ningekuwanimeishaliuwa limbwa Hilo,hivi wasiojulikana wako wapi wanimalizie huyu mbwa,pamoja mwenzake senzo ,hawa watu ndo wanaoharibu mpila watanzani,raisi wetu mama Samia nakuomba huyu senzo kwenye nchi yeti aondoke haraka hatakiwi atasababisha machafuko katika mpila wetu

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 2 роки тому

    Kubwa tu ni kujituma, Mwenyezi MUNGU atuvushe salama. ..?

  • @bensimon7330
    @bensimon7330 2 роки тому

    Semaji kasema

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 2 роки тому

    Ametusingizia uongo na manar sweka ndani

  • @daviddickson8200
    @daviddickson8200 2 роки тому +1

    Twende kucheza kwa nidham kubwa.

  • @patrkmwata4902
    @patrkmwata4902 2 роки тому +4

    Si tunachojua yule ni mwiz wa magari

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 2 роки тому

    Suspect

  • @nasskidy8196
    @nasskidy8196 2 роки тому

    mwizi yulee si ata juzi alipita na gari ya mkude unatetea wezi makolo kituo cha wezi majambazi makubwakubwa hadi yanafungiwa kwenda nchi zingine😂😂😂

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf 2 роки тому

    CHOKORAA😁😁

  • @linuskyando4155
    @linuskyando4155 2 роки тому +1

    HIVI KUOMBA SAMAHANI KUNA TATIZO GANI? SIFIKIRI KAMA JEURI INASAIDIA CHOCHOTE

  • @ambroseonesmo3782
    @ambroseonesmo3782 2 роки тому

    Kisa kasababisha penalty eti mwizi hayoooooo roho inawauma tu

  • @memannonjera5112
    @memannonjera5112 2 роки тому

    Muharbfu ataiba mpk jezi atakavotoka apo na viatu vya mkude

  • @bakarimkunyulia6687
    @bakarimkunyulia6687 2 роки тому

    Mala atutaki mabango ya GSM apo munapo fanyea mazozi mabango matupu ya GSM

  • @dicksonnyakulinga1703
    @dicksonnyakulinga1703 2 роки тому

    Ulinzi wa nn unyama mmewafanyia hivi africa kusini unapajua unapasikia ww wale

  • @mihayomwanagea9082
    @mihayomwanagea9082 2 роки тому

    Nyie nendenikotu

  • @goodlucklema2558
    @goodlucklema2558 2 роки тому

    Wanted aliyowekewa south Africa ni ya Nini?

    • @josepheliasi9179
      @josepheliasi9179 2 роки тому

      Hajawekewa wanted wamemzuia kuingia nchin mwao cz alizidisha mda w kuishi south afric bila permit

    • @malikabdallah323
      @malikabdallah323 2 роки тому

      Hivi km angekua wanted tz kuna ubalozi wa SA angekua ashakmtwa

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 2 роки тому

      Hivi unajua maana ya wanted ndugu?🤣🤣🤣 Sasa mtu awe wanted halaf umkataze kuja nchinj kwako wakati unamtaka? Dah! 🤣🤣🤣

    • @upendo1020
      @upendo1020 2 роки тому

      @@TM.Sullusi utopolo kuelewa ni ngumu

  • @francembepi2709
    @francembepi2709 2 роки тому

    Jaman ukiachana na morison kuna mchezaji mwingine tutamkosa?

    • @hildantandu5909
      @hildantandu5909 2 роки тому

      Sakho

    • @francembepi2709
      @francembepi2709 2 роки тому

      @@hildantandu5909 dah😧

    • @ally1702
      @ally1702 2 роки тому +2

      Sakho anacheza kadi za kwenye magroup inasemekana zimefutwa

    • @francembepi2709
      @francembepi2709 2 роки тому

      @@ally1702 niliskia pia kuwa wamefutiwa , sasa nimeona watu wanasema hatocheza ndo maana nimeuliza,

    • @shirimq1234
      @shirimq1234 2 роки тому

      Miqsson na chama

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 2 роки тому

    Mkitoka huko yanga anawasubiri

    • @kelyjames8142
      @kelyjames8142 2 роки тому

      Wasenge nyie ,wa kwaida sanaa ,Sasa akilii zetu ziko South Afrika ,utopolo endelea kukaaa mchanganii wasubiri wanaume warudii !!!

    • @fatumakassim64
      @fatumakassim64 2 роки тому

      Yanga ndio time ngani hyo mbona cjui 🤔🤔🤔

    • @mpembawiseeh6590
      @mpembawiseeh6590 2 роки тому

      @@kelyjames8142 waendelee kuchunga ngombee jike wa mayele mwanaumee akirudi awapande

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 2 роки тому

    Hiyo wanted mnayo hoji nyie utopolo niyamikundu yenu

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 роки тому

    Simba punda afe mzigo ufike Orlando hawatoki tena

  • @mwanitusiame575
    @mwanitusiame575 2 роки тому

    Mipovu inakutoka unamudanganya nani yule mwizi mukubwa wamagali na akienda2 kule wanamuchoma moto

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 2 роки тому

    Brand ya Simba imejemgwa na manara cyo wewe

    • @kelyjames8142
      @kelyjames8142 2 роки тому

      Kenge Manara Mganga njaaa ,alishawahi kutoa nn cha kuisaidia Simba ,zaidii ya Peremende 2!!

    • @fatumakassim64
      @fatumakassim64 2 роки тому

      Manara ndio nani uyo Acha kusifia uyu shoga

    • @ramadhanmahongole5663
      @ramadhanmahongole5663 2 роки тому

      Manara CHOKO tu

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 2 роки тому

    Team ishambulie na kulinda