ALLY KAMWE "TUNAENDA KUWEKA REKODI YA KUIFUNGA SIMBA MARA 5 MFULULIZO/TUTAUCHAFUA MJI KWA KELELE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @yudamagesa5594
    @yudamagesa5594 11 годин тому +11

    Ujawai kuniangusha semaji mwenyezi Mungu akupe maisha marefu

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 8 годин тому +3

    Nakuomna M/Mungu mjaalie Nusra kwenye maisha yake Inshaallah

  • @kapondadr5840
    @kapondadr5840 11 годин тому +5

    In shaa Allah ikawe kheri kwetu wananchi 🔰

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 10 годин тому +4

    Ali kamwe jamani mashallah, yanga ni raha sana umekua smst sana mdogo wangu

  • @joycemmassi5046
    @joycemmassi5046 Годину тому

    ❤❤❤😂😂😂 dagaa wanaruka tumbon Ally Kamwe una vituko

  • @kapondadr5840
    @kapondadr5840 11 годин тому +4

    Nilichogundua msemaji wetu 🔰 anatamani sana Simba wabadirike wakati Furaha yetu ni wao kufarakana,,
    Usiwasanue mapema

    • @user-princs
      @user-princs 11 годин тому +1

      😅

    • @peterkandaya565
      @peterkandaya565 5 годин тому

      Ila ukishabikia UTOPOLO lazima ubongo ubend kwa nyuma hv timu ya sita kwa ubora Africa ifundishwe na timu ya 15 kwa ubora,ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni,timu iliyokuwa inapokea wageni eti Leo wanataka Simba wabadilike,hapo kwanza nnchek😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @joycemmassi5046
    @joycemmassi5046 Годину тому

    😢😂😂😂 Aly kasema Moses kazeeka kama Mzee Mpili khaaaa nimecheka sana😅😅😅

  • @DominicMakamba
    @DominicMakamba 6 годин тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂 Semaji la Dunia unatufurahisha

  • @Mhabeshi.Madayi
    @Mhabeshi.Madayi 10 годин тому +4

    Hawatakuelewa semaji lakini wakifikisha mechi 20plas ndo watakuelewa sanaaa😂

    • @peterkandaya565
      @peterkandaya565 5 годин тому +1

      Kweli wazee wameongea ukweli si unaona hata CHadema wanavyofungwa goli la mkono kila siku na CCM😂😂😂😂😂😂😂

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 5 годин тому +1

      ​@@peterkandaya565Na nyiye c mfunge kama ni rahisi hivyo,heti goli la mkono badala msajili wachezaji wenye viwango mnasajili magarasa hayo ndo matokeo yake

    • @peterkandaya565
      @peterkandaya565 5 годин тому

      @@matrida.lunyilija5196 Cha ajabu magarasa wanashika nafasi ya sita kwa ubora Afrika alafu wapokea wageni wanaojificha kwenye kivuli cha CHAMA cha mapumbavu wanashika nafasi ya 17😂😂😂😂😂

  • @joaquimmasengwa1283
    @joaquimmasengwa1283 10 годин тому +2

    Wamemweka mbele "NTEBHA"
    Bila shaka watu wa Lyandu, Mhunze, kishapu wameshanielewa..... mchezaji wa makolokolo anaitwa Ntebha

  • @telvinnicholas
    @telvinnicholas 8 годин тому +2

    Boka awezi cheza Chan, chan ni ya wachezaji wanaocheza league za ndani ya nchi au imekuwa ndani ya Africa 16:10

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 11 годин тому +4

    Semaji MAKOLO lazma waelewe, tulishawapiga mara SITA mfululizo....tutaivunja rekodi yetu wenyewe

    • @peterkandaya565
      @peterkandaya565 5 годин тому

      Aisee Hii timu ya UTOPOLO imejaa matahira wengi Sana,na ndiyo mana Manara aliyekuwa anawatukana walimpokea ila Matahira wanafurahishags muda mwingine wanapunguza stress kwa kutuchekesha😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AdolophinaShawa-pd8yo
    @AdolophinaShawa-pd8yo 9 годин тому +1

    ❤❤

  • @RashidiIssanamagono
    @RashidiIssanamagono 9 годин тому +1

    Kulia, kucheka zote ni kelele cha msingi mjipange

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 9 годин тому +2

    Wewe mdomo wako hauna pazia,Pamba jiji na Yanga ni watoto wa baba mmoja GSM sasa inakuwaje umseme hadharani msemaji wake hukuo nyote mzazi wenu mmoja

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 8 годин тому +1

    Wajaze

  • @kabwangaselemani5228
    @kabwangaselemani5228 Годину тому

    Hiyo sio rekodi ni marudio tu

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Годину тому

    Inatakiwa iwe mara tisa kulipa deni na hao mateja😂😂

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Годину тому

    Nafikiri simba ni shemeji zake shetani😂😂😂😂

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 4 години тому

    HUYO KOCHA AFUKUZWE HARAKA...HUMO KOCHA HAMNA...KWANZA ALIKUWA KOCHA MSAIDIZI

  • @SEVENTAIMBEMBELA
    @SEVENTAIMBEMBELA 6 годин тому +1

    Sasa kama mlitupiga mala Saba kelele za nn Sasa mala malefa kaeni kimya sasa mafala nyie na Bado tunataka mhame ligi eti malefa ,mala GSM nyie si mnabilionea nae azamini hizo timu zingine zilizobaki kama anauwezo timu bovu makelele tu

  • @kaderbakshamin2345
    @kaderbakshamin2345 7 годин тому +2

    Ally kamwe huyo ni kocha wa kawaida tu ucmpe kocha kwamba ndiyo hakuna, we furahi tu kwa kupata ushindi na upunguze maneno weka akiba

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 4 години тому +1

      Kocha wakawaida mwaka wa tatu tuu anawakanda bado mna leta dharau??? Kweli nyie masugu

  • @shedyjr3227
    @shedyjr3227 8 годин тому

    Hivi Simba Ni Timu ya Mpila au Timu Ya Uzazi wa Mpango

    • @peterkandaya565
      @peterkandaya565 5 годин тому

      Hv Yanga ni timu ya Mpira au kikundi cha taarabu timu za Mpira zote zipo top ten kwenye CAF Rankings asa wenzetu sijui wa wapi😂😂😂😂😂😂😂😂😊

  • @majiniuhaimnu9150
    @majiniuhaimnu9150 10 годин тому +1

    Huna jipya ww ni hovyo tu

  • @nasseraljahwri6310
    @nasseraljahwri6310 10 годин тому +2

    😂😂😂 Haya mavyura malimbukeni na utoto mwingi, yamejisahau tulishayapigaga mara 7 consecutively

    • @MakunguMasunga-g1f
      @MakunguMasunga-g1f 9 годин тому +1

      Taja mwaka gani mlitupiga mala 7

    • @jr_mkumbojr
      @jr_mkumbojr 9 годин тому +1

      Mwaka gani wewe Kijili

    • @LwingaOsiah
      @LwingaOsiah 9 годин тому +1

      Uongo

    • @saidamir1035
      @saidamir1035 8 годин тому +1

      Kwako ww ndio unaejimaanisha kuwa ni mtoto, unaweza kusema lini ilitokea hivyo Kolo akamfunga bingwa wa nchi hata mara mbili mfululizo.

    • @DIVINEPROMISE-c1n
      @DIVINEPROMISE-c1n 8 годин тому +1

      Mwaka gani usituletee habari za uongo hapa mbumbumbu FC

  • @Kalalambeemagwendela
    @Kalalambeemagwendela 9 годин тому

    😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RafaelJohn-z3f
    @RafaelJohn-z3f 8 годин тому

    Hauna timu wewe endeleeni kununua mechi