SAKATA LA UTEKAJI DAR: KITWANGA AFICHUA SIRI/ NINAAPA KWA HILI..!/ SITAKUBALI HADI KUFA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #utekaji #kitwanga #magufuli

КОМЕНТАРІ • 113

  • @geofreymsigala9181
    @geofreymsigala9181 Рік тому +15

    Tukiwa na wanahabari 40% tu kama wewe!!!! Tanzania Tanzania itakuwa imezaliwa Mara ya pili...........
    Very smart and talented Man

  • @godsson5954
    @godsson5954 Рік тому +2

    aise INTERVIEWER unastahili kufanya kazi BBC SWAHILI you got everything it takes God bless you🙏🏻

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 Рік тому +5

    Hongera Sana mwandishi,sijui mtangazaji.tungekua na watangazaji kumi Kama wewe.kwakweli hii nchi ungekua super sana.lkn tunawatangazi ambao kila ukilala ukiamka.wako bize nawakina ambaruth.mara wanawahoji wadada ambao wamefanywa nyuma.yaani iusenge mtupuuuuu.nawachukia Sana washenzi wale.Mungu akulinde kaka songambele.

  • @gebokilembe
    @gebokilembe Рік тому +5

    My brother nafurahishwa sana na kazi yako safi sana

  • @danielsimwanza1046
    @danielsimwanza1046 Рік тому +8

    Labat mtu Sana wew kaka unjua kuuliza maswali mpka sisi tunaosikiliza tunakosa swali

  • @yuathmtenzi2114
    @yuathmtenzi2114 Рік тому

    I enjoyed the Exclusive. Congratulation dar 24

  • @muddyville
    @muddyville Рік тому +2

    We Jamaa ndo MWANAHABARI. Uko very talented yaani.

  • @michaelbwoma2760
    @michaelbwoma2760 Рік тому +2

    Kwenye kitwanga hapo umetishaaa..

  • @farijimwangosi8202
    @farijimwangosi8202 Рік тому +5

    Akimaliza kukiandika naomba hata mie nikipate mkuu,nimetokea kumuelewa sana mzee wangu huyo(Nukuu Failure is not An Option)👏🏻😂😂

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 Рік тому +3

    Mwandishi pia upo bomba unaifaham kazi yako..big up.

  • @kidodosimichael349
    @kidodosimichael349 Рік тому +3

    Mr Kitwanga is a genius indeed 👍

  • @victorlashikoni-ji3js
    @victorlashikoni-ji3js Рік тому +1

    Huyu ni aina ya Magufuli hafai kabisa

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Рік тому +3

    Ameogopa kumutaja Hayati Magufuli. Magufuli agekuwepo Kungekuwa na hope kuwa kama Singapore.

  • @beautyofnaturetz0131
    @beautyofnaturetz0131 Рік тому +3

    The best presenter in Africa. your talent is extraordinary brother keep it up I always appreciate your interviews, very attractive way of asking questions and moderating the interview

    • @brightergermanus2163
      @brightergermanus2163 Рік тому

      IMEANDIKWA MANENO YENU YAWE NDIO NDIO, SIO SIO YANAYOZIDI HAYO ,YATOKA KWA YULE MWOVU AMEEN???

  • @francisrobert9652
    @francisrobert9652 Рік тому +3

    mh kitwange upo vizuri sana umauwezo mkubwa sana kuwa kiongozi ila mnakuwa wapi wakati mkiwa madarakani

  • @chandengao8795
    @chandengao8795 Рік тому +2

    Nchi hii inamipango isiyosimamiwa.
    Mfano binafsi nilisoma Kibaha sec.yaani ni mmoja ya watu wenye uwezo wa kufikiri Ila serikali haituangalii kwa jicho la ufuatiliaji
    Baada ya masomo imezidi Sana kupewa ajira au tuko mtaa na life limetupiga hata mawazo hayafanyi kazi zake

  • @robertnoel5232
    @robertnoel5232 Рік тому +1

    Hongera Kiongozi Charles Kitwanga

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 Рік тому +1

    Wewe kitwanga unataka kujipendekeza kwa rais Samia. Wewe ulitajwa na. Ulihusika katika hujuma ya rasilimali za serikali ukihusisha kampuni ya lugumi, badoi hatujakusahau.

  • @nestor384
    @nestor384 Рік тому

    Mwandishi uko na professionalism ya hali ya juu sana.
    Mhe. Kitwanga anajua who is/was serious among the previous.

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 Рік тому +4

    MFANO UMEENDA HOSPITAL UNA MGONJWA YUPO HOI,NA ILI UPATE HUDUMA DAKTARI ANATAKA RUSHWA,KAMA NI WEWE UTAFANYA CHAGUZI GANI KATI YA HAYA 1.USITOE RUSHWA MGONJWA AZIDI KUWA KWENYE HALI MBAYA 2.TOA RUSHWA MGONJWA AHUDUMIWE
    🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

  • @mubarakatwaha7776
    @mubarakatwaha7776 Рік тому +1

    Mr Kitwanga unajielewa nami nakuelewa sana, lkn pia ww muandishi siku nikiwa na media yangu utakuwa Director wa media

  • @ShimboPastory
    @ShimboPastory Рік тому +5

    This is professionalism at its best. Well done bro.

  • @aidanwilliam14
    @aidanwilliam14 Рік тому +1

    Huyu Mtangazaji namuona mbali sana i wish BBC wakuone

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 Рік тому +1

    Hapo hakutaka kusema ukweli ccm ndyo iliyo ikiteka watu magu sasa c alkua ni nani c rais tena ccm hebu kua mkweli mm ndugu yangu alitekwa na watu wa usalama

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Рік тому +3

    huyu mheshimiwa kitwanga kichwa sana.

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 Рік тому +8

    Kwa kumsaidia au kumuunga mkono mheshimiwa kuhusu camera security hii inafaida kubwa sana yaani dubai wana kusanya kodi za magari kwa kutumia camera kuna kitu kinaitwa Salik na road camera mzee kama hauna ishu ya msingi town basi ni bora usije au upande train (metro) maana ukivuka kutoka home kuja town inakata ukirudi inakata inategemea utapita mara ngapi ktk ilo eneo serikali inaingiza kipato kikubwa sana kwa kila siku na sisi tuhamke 💪🇹🇿🇦🇪

    • @jamalahmed7057
      @jamalahmed7057 Рік тому

      Security camera hata zikiwekwa wakitaka kufanya yao wanachomoa tu halafu wanazichomeka mwendazake aliweka Security camera mirerani kwenye mgodi lakini bado watu wanapiga

    • @hassanparamana2215
      @hassanparamana2215 Рік тому

      @@jamalahmed7057 basi tutaendelea kuwasindikiza wenzetu kutusua maisha 💪🇹🇿🇦🇪

  • @fimboezekiel9654
    @fimboezekiel9654 Рік тому +2

    Unajua sanaaa

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 Рік тому +1

    Mzee wetu uyo safi sana

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 Рік тому +4

    Huyu mwandishi alipaswa na yeye apewe nafasi. ila huyu waziri ni kivuli

  • @godypatrick6485
    @godypatrick6485 Рік тому +1

    Hapo kwenye watekaji sijalizishwa na majibu yako

  • @emahliypix7942
    @emahliypix7942 Рік тому +6

    Mtangazani upo makini kwny maswali ila kwenye kutekwa kwa watu hayo matukio mzee hajawa transparent kbs..Matukio ni makubwa na anayajua vzrii tangu yupo madarakani..!!

    • @mwana4599
      @mwana4599 Рік тому +1

      Hebu taja watu watatu waliotekwa.

    • @emahliypix7942
      @emahliypix7942 Рік тому +2

      Mo dewj,,ben saa nane..Roma..!!

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Рік тому +12

    Katika wana siasa niliowasikiliza wakihojiwa,. Charles Kitwanga ni mwanasiasa mwenye akiri sana ambaye angeweza kulifikisha taifa hili mbele. Badala yake watu 🎉kama Nape ndiyo wanapewa uongozi. Tanzania bwana

    • @msafirindalu122
      @msafirindalu122 Рік тому +1

      Yupo vzr kwakuwa hajatumia kilevi na kwa ustaarabu hatupaswi kuruhusu mtu atumie kilevi akiwa kazini hata Kama atakuwa na mawazo mazuri tunapaswa kuwa na mashaka na mawazo yake

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      Alikuwa humo humo serekali kafanya nini hao wakikosa vyeo ndio wanakuwa na akili wakiwa kwenye nafasi zao wanaakili tofauti na unavyo waona nje

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 Рік тому +1

    Safi sana host. Ila Kitwanga kateleza anamuogopa mama😂

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 Рік тому +3

    Mwongo huyo anajua kila kitu

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 Рік тому

    Gud job somo ur real professional

  • @lulujidahbrighton5148
    @lulujidahbrighton5148 Рік тому +2

    Huyu alikua Waziri wa Mambo ya ndani alisemwa na Magufuli eti amelewa namsemaji ni Makonda

  • @godypatrick6485
    @godypatrick6485 Рік тому +1

    Kwenye sensa na mipango yako uliyo taka kuendeleza wizala ya ndani

  • @applepunch9676
    @applepunch9676 Рік тому +1

    Achana na kitabu mzee, kama tu umepata kigugumizi juu ya utekaji, utaandika nini sasa kwenye nkitabu

  • @paulmatikila6241
    @paulmatikila6241 Рік тому +3

    Ameanza vizurii, mwishoni kwenye utekaji amezinguwa mzee! anajuwa watekaji, hanajipya nae huyoo ndo wale wale!

  • @ishengomanelson
    @ishengomanelson Рік тому +1

    Tafuta watu serious next time. We need serious development conversation. Tunataka watu walio critical na wasio na woga

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay Рік тому +5

    China kuna camera kila sehemu, unaweza draw pesa ata saa nane usiku kwa ATM akugusi mtu maana camera kila kona. Bongo pia kukifungwa camera itasaidia kupunguza hualifu.

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 Рік тому

      Hizo camera nazo zitaibiwa kwa Bongo hii

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 Рік тому

      Bongo haina dawa kwa chochote wala camera hawatakamtwa wana ujuzi tofauti hawa waizi

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 Рік тому

      @@ellymaz2187 kamera zinakuwa na seriel number alafu kamera nying zinalindana huwez kuiba kirahisi

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +3

    Ukitaja wote mtaje kwanza J.P.M maana alikupa muda wa kuongoza kwa bahati mbaya ukafeli

    • @godfreymasele8853
      @godfreymasele8853 Рік тому +1

      Hawezi mtaja JPM sababu JPM ALIKUWA MKWELI NA ALISIMAMIA UKWELI. Sasa yeye alifanya madudu akitegemea JOM rafiki yake atamlinda. Alivyomuondoa akajenga chuki dhidi yake.

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Рік тому

      @@godfreymasele8853 Kwa wa Tanzania ukiwajibishwa kwa uzembe badala ya kutafakari na kujirekebisha unaeka bif la kijinga!!!!

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 Рік тому +2

    Mwandishi huyu , anatakiwa kufanya Kazi kwenye shirika kubwa kama BBC, DW, AU angalau Azam tv kwa tanzania. Ni bonge la mwanahabari,

  • @francistadayo1569
    @francistadayo1569 Рік тому +2

    👏👏👏👏👏

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 Рік тому +2

    Huyu mtangazaji namkubali sana

  • @hono1232
    @hono1232 Рік тому +1

    Huyu ndiyo mwandishi mwenye kiwango bora cha juu Tanzania kwa sasa.asipoteze muda kwenye vikampuni uchwara

  • @enocksosthenes4505
    @enocksosthenes4505 Рік тому

    Kwenye swala kubambikiza kesi naenda tofauti na unachoeleza. Nadhani siku yakikukuta utajua wanachokifanya hao unaowatetea. Askari wanaona wapi juu ya sheria kwa kuwa anakamata polisi, anapeleleza polisi, anaendesha mashitaka polisi na anayekuhifadhi sero polisi unadhani wewe kama kiongozi wa polisi unadhani haki kwa raia itapatikanane hapo.

  • @benderarulenge2477
    @benderarulenge2477 Рік тому +1

    Ajira ianzie kijijini ndiyo maana Askari walikuwa na nidhamu sana.lakini Sasa hivi changamoto itaendelea kuwepo tuu,

  • @saidimazengo9934
    @saidimazengo9934 Рік тому +1

    "nchi huwa haiendelezwi na Mass "

  • @ritchiemuta1092
    @ritchiemuta1092 Рік тому +1

    kushindwa kujua nani aliyekua anafanya utekaji wakati magari ya polisi au usalama wa taifa yamekuwa yanatumika na sabaya sasa ana kesi mbaya sana
    kujikosesha UADILIFU wa dating hivyo yote aliyosema bw kitwanga hayana maana maana HANA KWELI ndani ya moyo
    nime stop kumalizia hayo maojiano yamekosa authentic ukweli

    • @byesigwafabian9255
      @byesigwafabian9255 Рік тому

      Mungu aliibariki Nchi yetu ya Tanzania kwani inawatu wengi wenye vichwa vizuri sana lakini kuna sehemu fulani tumekwama. Hii nchi inavichwa sana lakini nadhani tuendelee sana kumuomba Mungu azidi kufungua ufahamu wetu, watu wajenge moyo wakujisomea vitabu vya watu waliofanikiwa, maitafa yalioendelea yenyewe yalitokaje. Taifa liwatafute watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri kusudi mawazo yao yatumike kujenga Taifa na nchi yetu.
      Bado hatujashindwa kusonga mbele bado Afrika tunahitaji viongozi ambao wako siriasi yaani vyombo vyenye maamuzi vikiwa na maamuzi kwamba sasa yatosha lazima tuvuke hapa na kuweka vipaumbele vizito kwamba miaka 50 au 100 inayokuja lazima tuwe mahala fulani hakika inaeezekana.
      Mungu awasaidie viongozi wetu na watu wenye maamuzi sahihi.

  • @Bob-ev2fi
    @Bob-ev2fi Рік тому +1

    This ex cop chief does he real believe police is an army when the slogan is utumishi kwa wote.

  • @heripaulo1008
    @heripaulo1008 Рік тому +1

    Mm hata leo nikipelekwa polisi vibaka wote nawamaliza mapema maana kazi ya kukamata vibaka naifanya sana tena mchana na usiku bac siyo bahati kwa hilo

  • @msafirindalu122
    @msafirindalu122 Рік тому +1

    Mlevi mlevi tu

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Рік тому +1

    LOTS OF BULLSHIT, KWA HOYO POLISI NI SAFI ILA WATANZANIA SIO WAADILIFU. PUMBAVU SANA HUYU

  • @shedrackdamian2870
    @shedrackdamian2870 Рік тому

    Nimeipenda Sana hii🤸🤷🤷🤷😍🥰🤷🥰😍🥰😍🥰

  • @samsonmwakikuti5318
    @samsonmwakikuti5318 Рік тому

    Kitwanga ni kichwa kikubwa sana! I

  • @alladinmaskin6684
    @alladinmaskin6684 Рік тому +3

    Camera ni sahihi hapa dubai Kwa madereva wanafuta Sheria sababu ya camera zinakudaka fasta ukifanya uzembe barabarani na faini inakuja Kwa wakati kupitia plate number ya gari yako

  • @abdulsinga2464
    @abdulsinga2464 Рік тому +2

    Huyu waziri kuna maswari amejibu vizur..kuna maswari..kayakimbia...😀😀

  • @salmanmagwe222
    @salmanmagwe222 Рік тому

    Ila huyu Kitwanga wa ajabu mno,ulipewa madaraka ukaishia kwenye ULEVI.kuongea ni rahisi kuliko kufanya.

  • @frankfrancis5736
    @frankfrancis5736 Рік тому +1

    Mzee Kitwanga Mcheshi sana 😂😂

  • @noveltamhagama4586
    @noveltamhagama4586 Рік тому +1

    Mzee wa kupiga juice

  • @gaspercharles4242
    @gaspercharles4242 Рік тому

    Aftika wenyeuwezo wakufikiri yaani thinkers hasaviongozi hupuuzwa nakusalitiwanawenzao wakishirikiana namanyonyaji yasikuzote nindoto sisikuchomokakwenyemakuchaya wanyonyaji kwakuwaniwashirika wawenyeji.

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 Рік тому +1

    Nahisi kama wanaotoa comments ni polisi tu na raia wametembea mbele

  • @edwinernest2012
    @edwinernest2012 Рік тому +2

    Jamani c aongee Kiswahili!!

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Рік тому

    Wajina hapo kweli umesema, tungekuwa mbali sana kama tungekumbatia technolojia ili kuimarisha ulinzi wa miji yetu Tanzania!

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 Рік тому +1

    No ccm no chadema but a bottle party

  • @shukuranipaul1415
    @shukuranipaul1415 Рік тому +1

    Muheshimiwa akili kubwa 😂

  • @all4970
    @all4970 Рік тому +1

    Namuona mlevi mlevi, asiyejua utendaji on the field wala uhalisia wa nchi yetu..! He is trying to copy from developed countries... Kichwa maji asiye na ubunifu kulingana na shida z wananchi wake! Mwandishi amemhoji vizuri saaan! He thinks he one of the thinkers in Tanzania while he is just a drunken stupid minister Magufuli alimtumbua, pumbavu zake

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz Рік тому +1

    Hata barabarani mkiweka

  • @kalumunaanthony4203
    @kalumunaanthony4203 Рік тому +2

    Mzeee uko poa sema ulizingua

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 Рік тому +1

    Kitwanga

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 Рік тому +1

    Huyu mzee anazungusha sana majibu yake kwa mtu makina hana majibu yaliyo nyoka

    • @mussamsella8560
      @mussamsella8560 Рік тому

      Mtu kama hawezi kukujibu open kama ndege anavomlisha kinda wake chakula mdomoni

    • @mussamsella8560
      @mussamsella8560 Рік тому

      Mtu makini hawezi kukupa jibu open kama ndege anavompa kinda wake chakula mdomoni

  • @msafirikilongo7429
    @msafirikilongo7429 Рік тому +3

    Ushauri wa camera muite waziri mwenzio mpe hiyo ishu itamsaidia

    • @majaliwawilson9372
      @majaliwawilson9372 Рік тому +1

      Wanalijiwa Hilo lakamela toka zimewekwa kamela zile za soid hamsin lini mliona gali imekamatwa hivo wanajuwa wakiweka kamela hela hawata pata kwani tochi nying nizakubambikiwa hivo hawatakii

    • @barnabasdidas9409
      @barnabasdidas9409 Рік тому

      Mzee umejificha utaki kusema ukweli

  • @bamurwakana5452
    @bamurwakana5452 Рік тому +1

    Mm mwenyew nilikuwa nakuchukulia poa kumbe kuna madini yakutosha

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 Рік тому +2

    Huyu mzee mzushi hajui watu kutekwa Tanzania!!!

  • @asifiwekitunga4655
    @asifiwekitunga4655 Рік тому +1

    Yani hata uongeaji wako wa kilevi kabisaa 😂 but you have something in your brain

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 Рік тому +3

    Kitwanga nilifikiri una akili kumbe ni akili za kukariri

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 Рік тому

    Nadharia nyingi, na mzuri, lakini mwisho wake ni huo huo, ndio tunaumia.

  • @AloisMosha-uv2fu
    @AloisMosha-uv2fu 10 місяців тому

    Tunaishi mitaani unajipya

  • @abdulqadirjuma7495
    @abdulqadirjuma7495 Рік тому

    Nilijuwa mtangazaji anaongea na mtu kamili,kumbe ile pombe aliyotolewa nayo bungeni bado imo kichwani.kategwa kidogo tu na mtangazaji anajibu utumbo.eti hajuwi watu walikuwa wanatekwa na nani?mpumbavu mzee huyo.

  • @NiraSaire
    @NiraSaire Рік тому +1

    Huyu mwandishi ni dhahabu

  • @johnsanga9528
    @johnsanga9528 Рік тому +1

    Huyu mzee anajua sana!

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️

  • @quentinsylvia3877
    @quentinsylvia3877 Рік тому +1

    Maswali yako kijana no mazuri mno...hats majibu ya Mr kitwanga no mazuri na ufafanuaji wake ....ila swala la utekaji watu tz aliwezi kufafanuliwa na kiongozi wa serikali...hata mmoja na sio km halitambuliki au hawajui tubakie hivyo kusikiliza na kukubali tuu

  • @aminahassan561
    @aminahassan561 Рік тому +3

    Nyumbani hakuna utaratibu mzuri wa kuhesabu watu huku wanafanya ila hawshesabu vitu wala Mali za watu hakuna nchi ambayo sensa haifanyiki wana hesabu watu ila sikwa malengo mabovu kaya huyo jambazi mwanamke

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 Рік тому +3

    Ivi Ayo mawazo mawazili WA CCM awawezi kuyachukua maana wakiweka camera rushwa watapataje nchi zilizoendelea kila sehemu kuna camera ndio sababu barabarani akuna polis wengi kama Tz kila Kona polis wamejaa kujikusanyia rushwa

  • @victorlashikoni-ji3js
    @victorlashikoni-ji3js Рік тому +1

    Huyu ni aina ya Magufuli hafai kabisa

  • @enocksosthenes4505
    @enocksosthenes4505 Рік тому

    Magari ya polisi kila likitokea tatizo huwa hawana mafuta hivyo nakumbuka usemi wa mpango sio matumizi