Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Umetishaaa kinomaaaa
Vizuri sana brother 🙏
uko vzr Kaka mkuvwa
Safi sana
Through mafunzo yako nimeandika song moja Kali sana
tupo pamoja na nmefurah sana kueleweka napata hamasa ya kufundisha zaid
Uko vzr kaka
Wangezaliwa wa Tz 10M kama wewe ungekuwa bora zaidi thanks bro
Nc
Brother nipo na nakuxikiliza
Namanyere Kaka
Asantee kaka najaua sna kuimba ila shida ilikuwa kunata na beat
Kweli boxx
Nakukubali broo jay star hapa ninaimba ilabado nahitaji kujifunza zaidi upo wapi broo naomba namba yako
Hahaha😂
Big up brother, ila nyimbo zina tofautiyana kuna hip-hop, arnb, rege............. Tuta fanyaje sasa?
Duuuh Ila Kuna mabit mengine hizo gram huzisiki
Mwalimu nimekukubali nitumie number yako tafadhali
Bro umetisha kinoma noma Nimekuelewa sana kingine naomba sana namba yako kuna vi2 nataka unielekeze
Pande zp unapatikana mana namba yako siona kaka
Naomba urudie hili somo, maana kwenye "baby nipe" sijaelewa ulisema unamaliza na mkito Yote kwa yote inabdi urudie kwa bidi nyingne tena
Video ya mwendelezo mbona siipati
nimeiachia tayari ipo itazame now
Iyo software gani
Unatumia software gani mkuu kutengenezea beat.
FL STUDIO software
@@PainB8439 ok sawa mkuu
sengerema semgani
wapatikana wapi teachet
nipo sengerema kwa sasa!
@@PainB8439 n Kenya hio ama Tanzania
tanzania
Mwalimu nimekuelewa ila napenda nielewe zaidi kwamba unaingi kama unaingilia pale unapo anzia fn di! di diididi naanzia hapo dididi au ni pa kumalizia tu
Nimekupata Ila weka namb za WhatsApp
Umetishaaa kinomaaaa
Vizuri sana brother 🙏
uko vzr Kaka mkuvwa
Safi sana
Through mafunzo yako nimeandika song moja Kali sana
tupo pamoja na nmefurah sana kueleweka napata hamasa ya kufundisha zaid
Uko vzr kaka
Wangezaliwa wa Tz 10M kama wewe ungekuwa bora zaidi thanks bro
Nc
Brother nipo na
nakuxikiliza
Namanyere Kaka
Asantee kaka najaua sna kuimba ila shida ilikuwa kunata na beat
Kweli boxx
Nakukubali broo jay star hapa ninaimba ilabado nahitaji kujifunza zaidi upo wapi broo naomba namba yako
Hahaha😂
Big up brother, ila nyimbo zina tofautiyana kuna hip-hop, arnb, rege............. Tuta fanyaje sasa?
Duuuh Ila Kuna mabit mengine hizo gram huzisiki
Mwalimu nimekukubali nitumie number yako tafadhali
Bro umetisha kinoma noma
Nimekuelewa sana kingine naomba sana namba yako kuna vi2 nataka unielekeze
Pande zp unapatikana mana namba yako siona kaka
Naomba urudie hili somo, maana kwenye "baby nipe" sijaelewa ulisema unamaliza na mkito
Yote kwa yote inabdi urudie kwa bidi nyingne tena